Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Hahhahaa shoga ghafla kwebye uzi wake akasema nisilemzee mazoea..mara we bibi sitaki mazoea..uzi mwingine akasema ni pm..aise ikabidi nibaki nashangaa tuUnajifanya umemsahau?? Nakukumbusha leo weekend imeanza tukutane kumalija [emoji23][emoji23][emoji23]
Haoohaoo uduguuu maisha ndio hayahayaaa ujue!!Wa kuzaa nao wako wapi?? Ni kutafuta kushinda ustawi wa jamii kudai child support na kupigana vikumbo uduguu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja niendelee kutafuta pesa nikiamua kuzaa, nilee mtoto wangu kwa raha
Hapa ungetuita tuwatandike mabanzi hadi wakaseme kwa wazazi wao 🤬🤬🤬leo nimekutana na kundi la maslay queen wakidiss wanaume wasio na pesa aisee wangekuwa na mamlaka basi wangepitisha azimio kuwa mabroke guys wote wauliwe.
🤣🤣Wenzio hawataweza we tafuta tu Pesa broooo
Sio kitonga hiyo ndio maana ya True love kuelewa hali ya mwenza wako.Acheni kupenda vitonga, toeni pesa [emoji2222]
cha muhimu kukojozwa🤣 unatujua vizuri unaigiza tuGheto lenyewe la kugongea Mxxiewwww!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Uzi ufungweeeeIeleweke hakuna mwanaume asie na pesa, wote mna pesa, shida inaanzia unataka utumie na nani? Hiyo manzi ni size Yako?
Hahhahaa shoga ghafla kwebye uzi wake akasema nisilemzee mazoea..mara we bibi sitaki mazoea..uzi mwingine akasema ni pm..aise ikabidi nibaki nashangaa tu
Haoohaoo uduguuu maisha ndio hayahayaaa ujue!!
Sio kitonga hiyo ndio maana ya True love kuelewa hali ya mwenza wako.
Tunakuja hivyo hivyoMfyuuu! Nitake radhi mie Mileage inasoma kilomitazzz zakutroshaaa!!😊😊😊
Ma slay queen wanakuwaje??NAKAZIA,
ma slay queen tusiwape dyudyu tena ili wajue umuhimu wetu
cha muhimu kukojozwa[emoji1787] unatujua vizuri unaigiza tu
wanapenda maisha ya juu.... hata kama huna hela atalazimisha umtimizie ukikataa anakuacha😂 wako kimaslahi zaidiMa slay queen wanakuwaje??
utani wa ngumi😅 au sioAfu ss hivi wengi mmevua ubingwa….golini kipa hakuna
Aisee,hatari sana.wanapenda maisha ya juu.... hata kama huna hela atalazimisha umtimizie ukikataa anakuacha[emoji23] wako kimaslahi zaidi
Hee...sijaona..uzi gani? Bas ana stress...sikumjibu nilimpa mshangao...eti usinizoee.wtfVisungura anavyokunywa vinampeleka race, mwenyewe alinitukana akanikuta na me nimeamka na hangover za pombe za kizambia nilimporomoshea mitusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshendwweeeeee komaeni ma na vigoriiiiii vibinti vibichiiii Sie hapana!Tunakuja hivyo hivyo
utani wa ngumi[emoji28] au sio
mtaachana tu[emoji23] utaturudia sisi