Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

Counter attack Ni kumpandisha daraja housegirl kua mother house 😊😊

Binafsi huwa siwezi kuvumilia DHARAU najua watoto wangeteseka kwa kukosa mapenziiiiiii na malezi ya pande mbili

Najua sisi wanaume tuna unya ng'au wetu mwingi TU Ila hupaswi kuvumilia mwanamke mpumbavu na mshenzi mwenye DHARAU ya kiwango Cha SGR
 
Video ya mda ni acting
 
Babu tunawajua hao acha kuwapamba Sana mafaili yao tunayo Mimi mmojawapo nishakutana na hicho kisanga cha hayo maeneo usiguse
 
Nikiona watu wanapinga hili huwa nabaki kushangaa. Mimi ni miongoni mwa wahanga wakubwa
 
Bro kuna stereotype na kuna rekodi ya kitabia. Hivi nikikwambia wazaramo wanapenda sana shughuli yaani mdundiko au zile sherehe zao wanawake za kuvaa sare sijui kumtoa mtoto sijui nini wamakwenda kuweka kambi wiki na marafiki nitakuwa nawasingizia?

Au nikisema wanawake wa kinyakyusa wanapenda sana kupanda kichwani wanaume zao nitakuwa nafanya stereotyping?

Si kwamba tunasema wote wapo hivyo ila majority wapo hivyo na mimi personally siongei vitu vya kuhadithiwa tu nimeshuhudia tabia na baadhi nimekaa nao nimewasikia kabisa wakitamka fikra zao kuhusu mahusiano na wanayachukuliaje wanakwambia kabisa kuwa wao shida ya kuwa na mwanaume ni kutafuta pesa nae ila baada ya hapo hawana haja ya mahusiano nae sababu hawana shida ya life companionship.

Yeye anataka awe mwenyewe na watoto wake tu ndio anakuwa comfortable. Ni kama wanazaliwa wakiwa misandrist sababu ya makuzi na sumu za mama zao tokea utotoni.

Fuatilia mzee mimi situngi story hizi.
 
Una miaka mingapi mkuu? Naona bado hujapevuka ipasavyo.
 
Mkuu huyo kijana anaonekana bado hajakua, hayajui makabila ya kaskazni. Wanawake wa kule wana kila aina ya tamaa ya kumiliki mali, na hata akimiliki kamwe hatotosheka endapo akaona kuna namna ya kumiliki mali zingine.

Kama wewe ni mume unamhudumia kwa kumpa laki 5 kwa mwezi ndani ya ndoa, ikatokea kuna mwanaume anaweza akampa laki 7 au 8, moyo wake wote atauweka hapo kwa mwanaume mwingine.

Linapokuja suala la mali na fedha, wapo tayari kufanya lolote lile ili wamiliki na wakishamiliki tu kuna namna watatamani wawe single ili wawe na uhuru zaidi.

Yanayosemwa kuhusu wanawake wa huko Kibosho, Machame n.k ni sahihi kabisa kwa zaidi ya 95%.
 
Mwanamke wa kichaga anaweza akakuona unakufa hivi na akabaki anakutazama.

Kufanya kitu ili kukukomoa wewe mwanaume kwake sio shida kabisa. Mali yake ni mali yake tu na wala sio yenu hata kama mmechangia kwa namna gani, na ukitaka ugombane nae, basi gusa kwenye kitu anachomiliki yeye.

Ukiwa na cha kwako atatamani kiwe chake, kila kitu kizuri atakitamani kiwe chini yake. Hapo sijazungumzia kiburi, hasira n.k

Wanawake wa huko kuoa sishauri kabisa kwa mtu yeyote yule, nasema hivi kutokana na uzoefu ambao mimi mwenyewe nimepitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…