mariam.
huyu mrembo alikuwa mtu wa dodoma,nilifahamiana naye baada ya mimba yake kunipenda,alinipenda kweli akanipenda tena,mpaka tamu alikuaa tayar kunipa.
huyu alikuwa anajiuza mkoa x,mitaa x,akakutana na jamaa akamwelewa sana.kumuuliza kulikoni mbona na uzuri huu mazingira haya,binti akamwambia mimi kwetu ni kama dhahabu kwenye zizi la ng`ombe,nimekuzwa na bibi yangu na wadogo zangu 2 wa kiume,mama yetu aliishafariki baba hatumjui,tumechoka tumechakaa home,sikufanikiwa hata kumaliza shule ya msingi nikaingia mjini kujaribu maisha,mpaka nimetua kwenye league hizi maana sioni nuru mbele,nikipatacho chochote nawatumia nyumbani wajihifadhi.
mwamba akamsihi,kama yuko tayari waanze maisha mapya maisha ya tumaini jipya na taswira nyingine,ambayo binti alikuwa akiitaman,ni mrembo lakini hapendi kazi anayoifanya sio passion yake kabisa.akakubali akashika mimba,jamaa akambeba akampeleka nyumbani kwao,ambako yeye alikuwa mtoto wa pekee kwa mama yake,mama aliyekuwa na kazi inamlipa vyema tu,mpaka kuhudumia mwanaye wa kiume manunuzi ya nguo,matanuzi maeneo ya starehe nk,mama akampokea mkwe,akaelezwa na hali halisi,akiangalia mkwe sio wa kitoto ni mtu kweli,na ni very innocent lakini pia anaonekana ana akili ya maisha,akamkaribisha home,akamuunganisha kwenye huduma na matumizi kwa upendo wote akiamini ndio usingizi wa mwanaye.
ghafla mwanaye akaanza kwenda maeneo yake ya viwanja,kukesha huko na kurudi night sana au asubuhi kabisa,binti akakutana na mimi sasa,nikapendwa kweli kweli mpaka hela napewa,akanambia kiukweli jamaa sijawahi mpenda kama nilivyokupenda wewe,sababu tu aliniahidi ataniondolea aibu hii na kunihifadhi,lakini ghafla kabadilika,anaonyesha kunichoka kabisa.
binti ananambia hayo mimba ni miezi 6,ila ukimtizama lazima mate yakutoke.nilimwambia jambo,jifungue kwanza tutafanya jambo,akakubali siku zikaenda,nikapata.safari flani nikaondoka hapo mtaani,nilikoenda nilikaa miezi 11,bila mawasiliano naye,siku narudi lakini nikiwa mkoa mpya kikazi, napata na simu,moja ya namba ngeni kuingia ilikuaa ya kwake,akanambia flani nilijifungua mtoto wa kiume,jamaa hajawahi kueleweka,mkwe alikubali kumhudumia mjukuu wake,mpaka umri flan watamchukua,mimi nitarudi kuendelea na mishe zangu,roho iliniuma sana.
ni miaka 12 sasa imepita,hata sijabahatika kujua mariam yuko wapi.
binti alikuwa mzuri kweli kweli,wale wazuri namaanisha.
wapo wanawake wazuri na wanajiuza kwa sababu ya shida,unaweza muhifadhi na mambo yakaenda sawa kabisa.