WANAUME: Umewahi kukutana na mwanamke mzuri anayejiuza barabarani mpaka ukajiuliza pamoja na uzuri wote kakosaje mwanaume wa kumhudumia?

WANAUME: Umewahi kukutana na mwanamke mzuri anayejiuza barabarani mpaka ukajiuliza pamoja na uzuri wote kakosaje mwanaume wa kumhudumia?

Yeah pale kahumba kulikuwa na demu mzuri afu mtamu kichizi nilikuwa najiuliza maswali mengi sana yaani ukimuangalia ni demu mkali haswaa daah sijui alipoteleaga wapi
 
Unamuona mzuri sababu macho yana kudanganya,beautifulness of women is a combination of many things .wengine mnawaona wazuri kwa macho lakini ukikaa nae wiki moja tu unamchoka na wala hutamtamani tena na wengine mionekano yao ni ya kawaida ila kadri mwanaume anavyoishi naye ndio uzuri wake unaonekana unafikiri ni kwanini not every glistering is a gold.
Point sana hii mkuu
 
Vijana wanaoa wife materials lkn wanachepuka kwa wanawake wa ndogo zao.ambao ni wazuri kupitiliza
 
Utakuwa umezoea kuchukua uchafu wa barabarani na low quality aisee. Ukienda kule Instagram utajiuliza kwanini hawa hawajaolewa na mabilionea.
 
Back
Top Bottom