Unamuona mzuri sababu macho yana kudanganya,beautifulness of women is a combination of many things .wengine mnawaona wazuri kwa macho lakini ukikaa nae wiki moja tu unamchoka na wala hutamtamani tena na wengine mionekano yao ni ya kawaida ila kadri mwanaume anavyoishi naye ndio uzuri wake unaonekana unafikiri ni kwanini not every glistering is a gold.