Sijakataaa.. ila pia wako wengi sana ambao hawana maisha magumu na wanajiuza, asa hawa sijui tunawaweka kwenye kundi gani. Au ndo wana mapepo ya ngono😃😃Ila malaya wengi wanafanya kutokana na ugumu wa maisha?
Ndo sababu kubwa hata hao wana ndoa shida ni ugumu wa maisha hawez wawe vzr kiuchumi af mke ajiuze.Ni kweli
Hapana ni hao ni asilimia ndogo fanya research utaona.Sijakataaa.. ila pia wako wengi sana ambao hawana maisha magumu na wanajiuza, asa hawa sijui tunawaweka kwenye kundi gani. Au ndo wana mapepo ya ngono😃😃
Kuna kaukweli iv.Wazuri hawaolewi .
Angalia mtaani kwako wanawake walioolewa wazuri ni wawili kati ya ishirini vingine ni vituko mpaka unajiuliza waliwaza nini waume zao kuwaowa
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kwakweli inabidi nifanye research nigundue mengi zaidiHapana ni hao ni asilimia ndogo fanya research utaona.
Mume wake atakua ni kama mleta mada, yaani huyo mwanamke huwezi kumwambia mtu kama hajiuzi, Kwanza doesn't make any sense mwanamke kulala baa amelewaDuh mume wake atakupaka mafuta.
Kabisa. utajua mengi ila wapo wanawake wengine wako stable financially ila wanauza ili swala ni mtambuka.Kwakweli inabidi nifanye research nigundue mengi zaidi
Mume wake atakua ni kama mleta mada, yaani huyo mwanamke huwezi kumwambia mtu kama hajiuzi, Kwanza doesn't make any sense mwanamke kulala baa amelewa
😀😀 Mzee unaonekana unamjua Chala vzr.Mfano kuna yule mkuu wa mkpa anataka kupambana na umalaya, wakati yeye pia ni malaya
Kabisa. utajua mengi ila wapo wanawake wengine wako stable financially ila wanauza ili swala ni mtambuka.
Ndo maana chalamila mission ya kuondoa malaya aitafanikiwa.
you can not judge the book by it's cover,wewe kuangalia uzuri wake hukutaka hata kujiuliza amebeba nini kwenye ubongo wake?yani unafikiri watu hawaoni huo uzuri,inawezekana kila anayejaribu kuishi naye anagundua ana matatizo yake ambayo hayavumiliki,ndio maana hata ulipomuuliza akakwambia hana boyfriend.Juzi kati hapa nilikuwa naangalia ministry moja,mdada ni mzuri hatari,alikuwa anaelezea yeye kila mwanaume aliyekuwa anatembea naye alikuwa anakufa,au wengine walikuwa wanapata magonjwa hawaponi,na wengine walikuwa wanafilisika,sasa my friend hivi vitu ukienda kichwa kichwa lazima ulie......Juzi kati nliingia chobiksi, katika harakati zangu za kusaka mbususu.
Daah nlikutana mdada Mmoja huyo, alikuwa anajiuza barabarani halafu bei cheap, nilimla, yule mdada ana personality nzuri, ana tabasamu nzuri, nikashangaaa nkajisemea kweli humu duniani kuna uchawi, yani mdada kama yule anakosaje mwanaume wa kumhudumia??
Nikajiuliza ni kwamba 90% ya wanaume tumechoka kipesa kiasi hicho, coz nlimuuliza kama ana boyfriend akaniambia hana.
Kwa personality na muonekano wa yule mdada, ningekutana nae mazingira tofauti na ya pale, ningemuoa na kumuweka ndani bila kujiuliza mara mbili huku nkimuhudumia kipesa 100% Au kama ningekuwa tajiri najichanga nampa mtaji kiasi aachane na kujiuza hata kwa muda.
Daah maisha haya, ukiwa mtu wa ku-visit sehemu wanakojiuza wadada mara kwa mara looh utakutana na mengi
Malaya awez acha tabia yake ukiwa nae ana act decent sana yeye ana focus maokoto tu.you can not judge the book by it,s cover,yaani wewe kuangalia uzuri wake hukutaka hata kujiuliza amebeba nini kwenye ubongo wake?yani unafikiri watu hawaoni huo uzuri,inawezekana kila anayejaribu kuishi naye anagundua ana matatizo yake ambayo hayavumiliki ndio maana hata ulipomuuliza akakwambia hana boyfriend...
Hao ndio wale wanaojiita Independent woman, hawatakagi kuolewa... Kazi yao ni umalaya na kutafuta mabwana... Utakuta wanaishi maisha mazuri lakini hawana kazi halali...
Huyo haoleki, wanakwambia ndoa ni kifungo
Hawa malaya wanabeba maroho machafu,mikosi na laana.sio vzr kununua changu.you can not judge the book by it's cover,yaani wewe kuangalia uzuri wake hukutaka hata kujiuliza amebeba nini kwenye ubongo wake?yani unafikiri watu hawaoni huo uzuri,inawezekana kila anayejaribu kuishi naye anagundua ana matatizo yake ambayo hayavumiliki,ndio maana hata ulipomuuliza akakwambia hana boyfriend.Juzi kati hapa nilikuwa naangalia ministry moja,mdada ni mzuri hatari,alikuwa anaelezea yeye kila mwanaume aliyekuwa anatembea naye alikuwa anakufa,au wengine walikuwa wanapata magonjwa hawaponi,na wengine walikuwa wanafilisika,sasa my friend hivi vitu ukienda kichwa kichwa lazima ulie......
Nilishawahi sio siri yule dada alikua kama malaika.
Nikamwita akajua mteja nkamwambia Nataka tukalale Hadi asubuhi akanipa DAU.
Tukaenda Mboo haisimami mawazo yangu sio nimle ila nilitaka kupata nae mazingira ya kuongea uso kwa jicho hadi kieleweke.
Kufika Room dada anasaula nikamwambia Tulia Tulia Taratbuuu tupige vinywaji kwanzaa, akataka Ma vilevi nikamwambia NOOO hapa agiza juice au kitu kisicho na kilevi Akakubali.
Sijawahi ona MALAYA wakujiuza akirudisha Hela kwa kuntupia,
Ile nimeingiza tu Topic nataka uwe mpenzi wangu, akabadilika akaniacha nimalizie.. Nikajua anaelewa somo si unajua pgo za wadada Oooh My Goodness....
Bwana nilivyomaliza nikampa maiki aanze kujibu ya moyoni mwake akaniuliza We Kaka Umemaliza?
Nikamwambia NDIO akasema hela zako hizo hapo sina muda mchafu wa kusikiliza unayoyaongea akaniacha akatoka.
ile siku nilipata LOSS kulipia ROOM halafu hamna wakulala nae.
Nikawa namfata daily akiniona anakunja kona ananikwepa
Ki ufupi yule dada alishanletea noma ile sehemu nikatolewa nnje na mabausa na nkapigwa red card nisionekane pale
Wanangu nawambia ukweli angenkubaliaga mimi ningekua na mke aliewahi jiuza Na wala nisingejali ile mwanamke ilikua ni mwanamke na nusu.