WANAUME: Umewahi kukutana na mwanamke mzuri anayejiuza barabarani mpaka ukajiuliza pamoja na uzuri wote kakosaje mwanaume wa kumhudumia?

Kiongozi ni PM namba zake.

KAZI ni kipimo cha utu
 
Sasa naamini, kama ambavyo kuna wanaume wanunuzi jf, basi hata wadada wauzaji huenda wapo humu. Sijui mnapata wapi courage ya kununua kei!
Tumetofautiana kidogo tu, Mimi naona humu jf hamuna mwanamke hata mmoja wamejivika taaswira ya wanawake lakini sijui Ni jinsia gani, hawaeleweki kabisa au wewe ushawahi kuwaelewa wanawake wa humu?
 
Every buyers tale
 
Tumetofautiana kidogo tu, Mimi naona humu jf hamuna mwanamke hata mmoja wamejivika taaswira ya wanawake lakini sijui Ni jinsia gani, hawaeleweki kabisa au wewe ushawahi kuwaelewa wanawake wa humu?
Unamaanisha nini kusema hamna wanawake humu?

Kuna wanawake warembo sana humu, wanaojitambua sana tu. Ila kwenye msafara wa Kennedy hata mamba wamo.
 
Anaachaje sasa wakati wanunuaji amjaacha?
 
Unamaanisha nini kusema hamna wanawake humu?

Kuna wanawake warembo sana humu, wanaojitambua sana tu. Ila kwenye msafara wa Kennedy hata mamba wamo.
Kama huamini fungua uzi uulize Kama Kuna mwanamke yeyote humu, hao watakaojitokeza wafuatilie Kama utapata yeyote mwenye sifa za kuitwa mwanamke, mark my words utashangaa utakayo kutana nayo
 
Wanawake wazuri sana sio wa kuoa utakufa pressure bureee,mara nyingi wanatumia uzuri wao kama kitega uchumi. Pia wanawindwa daily na wanaume wenye pesa na sometimes mvuto kuliko wewe mwenye mke,hali hiyo huwaba kiburi fulani hivi kwenye mahusiano.

Watumie kwenye starehe zako za kingono kisha chapa lapa,hao machangu wengine wamekimbia ndoa zao kisa michepuko . Huko nako wanaachwa na kuishia kujiuza ili waweze kuishi mjini .
 
Kama huamini fungua uzi uulize Kama Kuna mwanamke yeyote humu, hao watakaojitokeza wafuatilie Kama utapata yeyote mwenye sifa za kuitwa mwanamke, mark my words utashangaa utakayo kutana nayo
Hata wanaume pia hawako real hapa jf,mtu anatongoza inbox akikubaliwa anakuja kufungua uzi jinsi alivyomla mrembo flani wa jf. Imebidi wanawake wafanye adaptation kwa sababu mazingira ni toxic kwao.
 
Ndio , nikiwa nasoma nchi jirani nilikutana na malaya wawili wakali kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…