WANAUME: Umewahi kukutana na mwanamke mzuri anayejiuza barabarani mpaka ukajiuliza pamoja na uzuri wote kakosaje mwanaume wa kumhudumia?

Kungulu hafugiki.
 
Sijakataaa.. ila pia wako wengi sana ambao hawana maisha magumu na wanajiuza, asa hawa sijui tunawaweka kwenye kundi gani. Au ndo wana mapepo ya ngono😃😃
Wana high sex drive.

Hata wanaume wapo ambao sex drive yao ipo juu kiasi kwamba anapiga goli nyingi kiasi kwamba hatosheki na mwanamke mmoja
 

Mengine majini
 
Eeh mkuu yani naona kabisa kazi yakuuza haiwez nimemshauri vitu vingi sana kuhusu maisha nimegundua wanawake wengi wanaanza kujiuza ni shinikizo kutoka kwa marafiki na shida nilimpima had ngoma dg yupo Neg- naamin awezi kurudia
Ikiwa shida ilimpeleka kujiuza atarudi kujiuza. Maisha nje ya ukahaba bila mtaji kwake haiwezekani.
 
Wakati wewe unamshangaa kumbe na yeye anakushangaa, anajiuliza "mbona mwanaume mzuri kabisa huyu mtanashati ananunua malaya, amekosa mchumba kweli au ana matatizo"


Ishawahi kumtokea mshkaji wangu, alinihadisia kwamba malaya mmoja alimwambia "wewe sio wa kununua malaya, hufananii kabisa"....haya maneno yalimchanganya sana mshkaji wangu.
 
Hiyo biashara sawa na madawa ya kulevya addiction yake kwa mdada mzuri sura na tako anaondoka na laki tatu kila siku ....hakuna kazi utampa atakubali ...kumbuka anakuja hajasoma ...nimeongea na malaya wengi kujua wanapatq tsh ngapi kwa siku akiwa wa kawaida tu kwa siku hakos 30000tsh ...au 50000tsh
 
[emoji2957][emoji2957]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…