Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

Sasa mkuu kila anekutongoza umkubali kulala nae si litakuwa bwawa.. mahusiano yenyewe hayaeleweki siku mbili mmeachana

Ndio maana tunaseMa no sex
When it comes to women, body counts are matters
Bwawa kivip akat hiyo ni kama mpira inarud katika hali yake after 1 hour?
 
Bwawa kivip akat hiyo ni kama mpira inarud katika hali yake after 1 hour?
Kwaiyo nyuchi kubwa sababu ni nini mkuu
Si mnasemaga kutumika sana ndio sababu au Leo Hii mmeifuta
 
Kuna jamaa yangu alinyimwa mzgo et mpaka ndoa, ebhana ee kumbe kuna mwamba hua anakachua taratibu bila shart

No Money and basic needs till marriage.
 
Kuna mmoja aliniletea hizo swaga me nkakubali vizuri kabisa, Haikupita hata week eti ananiambia Gas imeisha, nkamwambia asijali tutanunua tukifunga ndoa, Mpaka leo hajanicheki tena
 
Kuna mtoto wa kigogo mmoja ( Waziri ) alimpa hii condition tukakaa kwenye mahusiano miaka mitatu bila sex.

Mwaka jana September akaniambia niende kwao nkajitambulishe nimuoe nkachomoa eti bado umri, ujana na bla bla kibao. Nkampotezea miezi miwili akinitafuta simjibu ghafla January mwaka huu naona status ameolewa.

Now nmegundua nmepoteza mwanamke aliyenipenda kwa dhati juzi nmemtafuta akawa analia tu eti ooh nmeolewa na mtu ambaye sikua na future nae uliumiza hisia zangu na nilijua ulikua uninicheat na friend zangu ila nkawa nakaa kimya

NB Kiukweli nmetembea na more than five friends wa huyu mwanamke. All in all sijajipanga kuoa at this time
 
Nasubir muendelezo
 
Wewe ndio mji
nga
 
Wanawake wanacontrol sex men Money & attention weka vikwazo vya kiuchumi atanyioka tu
 
Nilifanyiwa hivyo na mtu wa ndoto yangu, nikashindwa uvumilivu nikaruka ukuta, nilipodondokea likamea zao, nikalazimishwa kuvuna nilete ghalani ndiye huyo ananipa kichaa kila kukicha
Anakupaje kichaa?
 
Akimjibu bikra anayo vipi atamuoa bila kuomba sex??
Wengine hudanganya kuwa ni bikra, mwanaume anasubiri ndoa, kumbe huku wahuni wanampakua tu. Ukioa unakuta bwawa la Mwl Nyerere.
 
Duuh
 
Duuh kisa chako kizuri sana mkuu huyo mtoto wa waziri ulikutana nae wapi!?
Je ni mzuri (tako plus titi)?

Na ni kweli ulidate naye 3 years bila kumtafuna?
 
Mkuu, huyo ana pressure tu na ndoa.
 
Akishakwambia hivyo hiyo ni nusu ya ushindi...usikatae utaichakata kabla ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…