Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 1,236
- 2,060
Nkimwambia hasikii😹😹Eeeh!! ndiwoo hakuna kugawa urithi wa bibi bure 😹😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nkimwambia hasikii😹😹Eeeh!! ndiwoo hakuna kugawa urithi wa bibi bure 😹😹😹
Bwawa kivip akat hiyo ni kama mpira inarud katika hali yake after 1 hour?Sasa mkuu kila anekutongoza umkubali kulala nae si litakuwa bwawa.. mahusiano yenyewe hayaeleweki siku mbili mmeachana
Ndio maana tunaseMa no sex
When it comes to women, body counts are matters
Kwaiyo nyuchi kubwa sababu ni nini mkuuBwawa kivip akat hiyo ni kama mpira inarud katika hali yake after 1 hour?
Ntafungua nyingineni kawaida humu kukuta mtu ana id zaidi ya moja
Achana nae 😹Nkimwambia hasikii😹😹
Kuna mtoto wa kigogo mmoja ( Waziri ) alimpa hii condition tukakaa kwenye mahusiano miaka mitatu bila sex.Habarini,
Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada wengi tu sahivi nikiwatongoza wananipa majibu haya sijui wananionaje..
No sex till marriage, ni idea nzuri kidini lakini wakuu is it worth waiting..
Kwa wadada, ni kila mwanaume anaewatongoza mkamkubali mnamwambiaga hakuna sex hadi ndoa, au kuna baadhi ya wanaume mnawaambiaga hivyo.
Melancholic Lamomy mzabzab Natafuta Ajira Xi Jinping Zemanda Chakorii To yeye Zuleykha Miss Natafuta Madame B Strong and Fearless The redemeer Mwachiluwi Poor Brain DeepPond cocastic Mzee wa kupambania ephen_ GENTAMYCINE
Nasubir muendelezoMi nilivumilia miaka 4 alafu ule wa 5 nikakakuwa siwesi oa mwanamke ambae sijaona uchi wake.basi akalia tukanunuana kama wiki 1 hivi (wakati huo ndugu zake walishaninua maana nilikua naenda hadi kwao.)basi nikanunuaa na yeyee kanunuaa kama wiki hizi siku akapiga sim mwenyewe anauliza (sikuelewi)mi nikamwambia siwwzi uziwa mbuzi kwenye gunia)basi akasema "umeviliaika yote hiyo alafu hapa mwishoni mdio nanashindwa?"nikamwambia pote la mbali ukipata mtu ulewa nimekuruhisu,basi mda huo huo akapiva simu "uko wapi"nikamwambia niko gheto nafanya usafi na mda si mrefu nitatoka,akasema nakuja,kimoyomoyo nikasema leo ni leo .kweli bana baada ya muda mtoto wa watu huyo akaja na ndizi na pande kuku. Ooo nimekuletea zawadi ikammjibu sitaki zawadi hiyo ,akasema unataka ipi!nikamwambia iyo hapo kati patamu !akasema njoo nionyeshe .sikuchelewesha baada ya dakika 45 tukajikuta !!!°
!!!!!!!
Ngoja nikapupute mchanga kwenye gari kwanza ........
ngaKuna dem aliwah niambia hvyo,nikawa nakutana nae tunapiga story na kumshika shika tu makalio,nikawa nimepotezana nae mwaka mmoja nikamkuta ni singo mama,nilibak kushangaa tu
Kumbe wakat mimi naishia kushika makalio kuna mjinga alikuwa anaipiga,afu alivyomjinga analeta mazoea tena kwangu anataka niwe nae
Anakupaje kichaa?Nilifanyiwa hivyo na mtu wa ndoto yangu, nikashindwa uvumilivu nikaruka ukuta, nilipodondokea likamea zao, nikalazimishwa kuvuna nilete ghalani ndiye huyo ananipa kichaa kila kukicha
Wengine hudanganya kuwa ni bikra, mwanaume anasubiri ndoa, kumbe huku wahuni wanampakua tu. Ukioa unakuta bwawa la Mwl Nyerere.Akimjibu bikra anayo vipi atamuoa bila kuomba sex??
DuuhKuna mtoto wa kigogo mmoja ( Waziri ) alimpa hii condition tukakaa kwenye mahusiano miaka mitatu bila sex.
Mwaka jana September akaniambia niende kwao nkajitambulishe nimuoe nkachomoa eti bado umri, ujana na bla bla kibao. Nkampotezea miezi miwili akinitafuta simjibu ghafla January mwaka huu naona status ameolewa.
Now nmegundua nmepoteza mwanamke aliyenipenda kwa dhati juzi nmemtafuta akawa analia tu eti ooh nmeolewa na mtu ambaye sikua na future nae uliumiza hisia zangu na nilijua ulikua uninicheat na friend zangu ila nkawa nakaa kimya
NB Kiukweli nmetembea na more than five friends wa huyu mwanamke. All in all sijajipanga kuoa at this time
Duuh kisa chako kizuri sana mkuu huyo mtoto wa waziri ulikutana nae wapi!?Kuna mtoto wa kigogo mmoja ( Waziri ) alimpa hii condition tukakaa kwenye mahusiano miaka mitatu bila sex.
Mwaka jana September akaniambia niende kwao nkajitambulishe nimuoe nkachomoa eti bado umri, ujana na bla bla kibao. Nkampotezea miezi miwili akinitafuta simjibu ghafla January mwaka huu naona status ameolewa.
Now nmegundua nmepoteza mwanamke aliyenipenda kwa dhati juzi nmemtafuta akawa analia tu eti ooh nmeolewa na mtu ambaye sikua na future nae uliumiza hisia zangu na nilijua ulikua uninicheat na friend zangu ila nkawa nakaa kimya
NB Kiukweli nmetembea na more than five friends wa huyu mwanamke. All in all sijajipanga kuoa at this time
Ningefanyaje sasa,wakat nilikuwa najisikia raha tu kuwa na pisi kali ya kuhang nayo hata kama siigegediWewe ndio mji
nga
Mkuu, huyo ana pressure tu na ndoa.Habarini,
Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada wengi tu sahivi nikiwatongoza wananipa majibu haya sijui wananionaje..
No sex till marriage, ni idea nzuri kidini lakini wakuu is it worth waiting..
Kwa wadada, ni kila mwanaume anaewatongoza mkamkubali mnamwambiaga hakuna sex hadi ndoa, au kuna baadhi ya wanaume mnawaambiaga hivyo.
Melancholic Lamomy mzabzab Natafuta Ajira Xi Jinping Zemanda Chakorii To yeye Zuleykha Miss Natafuta Madame B Strong and Fearless The redemeer Mwachiluwi Poor Brain DeepPond cocastic Mzee wa kupambania ephen_ GENTAMYCINE
Sasa na wewe utajuaje kama ni bikra.Naweza kufikiria kulikubali kama ni virgin otherwise aende zake huko.
Basi sawaa!!Sikulazimishi kuamini huo ni uamuzi wako bibie