Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

K mpya kila mwanaume anapenda. 72 wengi sana hao.

Tunashauri aliyeweka kanuni hiyo abadilishe abakize watatu tu, kwa threesome hawakinaishi ili mtu kuweza kufanya na mitikasi zingine huko firdausi.
Mnataka kuipeleka threesome mpaka firdaus kweli? 😹

Hivi wanawake tutapewa nini?
Mashababi 72 au? 😹
 
Mnataka kuipeleka threesome mpaka firdaus kweli? 😹

Hivi wanawake tutapewa nini?
Mashababi 72 au? 😹
Firdausi ndiyo!
Si wanakwambia huko hakuna cha kuabudu tena, ni mwendo wa kula raha tu!

Dhahania ya kufikirisha sana!

Yawezekana roho zote za wanadamu zikageuzwa 'dume', halafu mabikira wakawa ni wa kubumba, unawakuta huko wamesubirishwa.

Hawezekani shari na heri zote zielekezwe kwa jinsia pendwa!
 
Unaijua ile watu wanasema “Traamu kama nini” sasa hiyo “nini” ndo raha niliyoipata 😹😹😹
ebu nione 😊😊

ulivyo ivaa
Your browser is not able to display this video.
 
😹😹😹 Hivi aliyetunga hiyo hadithi alifikiria nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…