Wanaume wa enzi hizo mpo bado au yalishawafika? Tujuzane!

Mkuu zamani kulikuwa na ges au unazungumzia zamani ya mwaka gani?
 
Sio kweli shindikanaa 🀫 kwani nyumbani hauna WiFi Google fiber? Mbona matajiri wa jf tunayo kitamboπŸ˜›πŸ˜›
Basi nimebaki mimi tu ndio sina🀣
 
Hello mtani wangu mrefu πŸ™‚ uko poa my dear.

Mwenzio nilikua naumwa kidogo nipo kwenye dose sijui ni stress au ni nn but I'll be fine we unaendeleaje bestie angu 😍☺️
Kalpana πŸ”«πŸ”«πŸ”«
 
Kalpana πŸ”«πŸ”«πŸ”«
Hyo tag juu sikuiona my dear...pole sana aiseee...una stress ya nini sasa...acha stress maliza dose kunywa maji mengi...lala kwa wakati...halafu uje unambie tena kama stress bado zipo nikupe ushauri
 
Hyo tag juu sikuiona my dear...pole sana aiseee...una stress ya nini sasa...acha stress maliza dose kunywa maji mengi...lala kwa wakati...halafu uje unambie tena kama stress bado zipo nikupe ushauri
Stress za upweke na kazi nyingi i guess dose inakaribia kuisha i feel better now Asante bestie wangu kwa kunijulia hali

Be blessed πŸ€—β€οΈπŸ°
 
Familia kufanikio inategemea aina ya mke uliomo ndani mo
 
Wanawake wa siku hizi wamejiingiza kwenye tamaa za mamikopo na mamichezo yanayohitajia pesa kila muda....hivyo ukiwa mtu wa kurundika mahitaji ndani anajua Kodi ya meza itakuwa ya kubembelezana hivyo itakwenda kinyume na mipango yake.......

Wewe unajaza vitu vya muhimu ndani kwa manufaa ya familia yeye baada akupongeze ndio kwanza ananuna.....
 
Haya masimango wanayo Vijana wa miaka hii pekee

Sisi enzi zetu mwaka 47 hatukuwahi kuwa na masimango Kwa Bibi zenu, ndiyo maana tumeendelea kudumu pamoja hadi tumezeeka sasa πŸ€—
πŸ’πŸ₯°
Ongeeni na vijana jamani, kama ugali nao ni kitu cha kumsimanga mtu ni heri wabaki kuishi kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…