Wanaume wa kibongo acheni unafki: Angekuwa mzungu mwanamke amewaita msingeenda?

Hakika mkuu.

Wahenga walisema; "Nyuki wakali ndo wenye asali tamu."
 

Dada usiwe mjinga kama huyo jamaa from Russia.

Kutukana wanaume won’t help you.

Hadi sasa inaonyesha wanaowasaidia hao victims ni wanaume unaowatukana.

Moja ya mtu wa kwanza kutoa msaada ni Larry Wadowo.

Mke wa mtu anaacha watoto anaenda ghetto kwa mrusia wewe unaona huyo mwanamke yupo sawa?
 
Wapo wanaume kibao wanaolelewa na wazungu.

Ni kwamba tu kuna ile dhana potofu kwamba mwanamke akiwa kicheche ni vibaya/ajabu kuliko mwanaume.

Mbali na hayo hakuna cha ajabu kwenye hii case.

Halafu punguza kufoka Dr. utaumwa presha.
Wrong.

Mwanamke ane mengi zaidi kutopeza kwenye sex kuliko mwanaume. Hii si dhana yakufukirika ni biology.

1. Mwanamke anaweza kupata mimba, jamii zetu si wajinga kutaka wanawake wajitunze. Mwanamke akipata mimba hiyo inaleta shida hadi kwenye finance kama hana msaada.

2. Mwanamke ni rahisi sana sana kupata STDs na si hivyo tu hii inawaletea shida baadae infertility etc.

3. Nguvu ipo kwa anayemwingilia mwenzake. Kwa muktadha huu mwanamme ndiye anayemwingilia mwanamke. Mwanamke hata awe vipi anavyakupoteza zaidi. Fikiria ukiwa umetulia.
 
Wapo wanaume kibao tu wanaolelewa na wazungu.

Ni kwamba tu kuna ile dhana potofu kwamba mwanamke akiwa kicheche ni vibaya/ajabu kuliko mwanaume.

Mbali na hayo hakuna cha ajabu kwenye hii case.

Halafu punguza kufoka Dr. utaumwa presha.
hahahaha presha haipandi wala haishuki nishamwaga povu langu mie wakereketwa wakafueπŸ˜„
 
Larry ni mwanaume na nusu, ndio maana hakuwaita malaya hao victims badala yake kaingia front kuwasaidia, nawatukana wanaume wanaowabeza na kuwaita majina mabaya, kama wewe hapo huo mstari wa chini umeshawahukumu, nyie ndio nilokua nawazungumzia hapa
 
Binafsi naona wale wanawake makosa yao yapo kiimani na kitamaduni zaidi (uzinzi) ila kwa kawaida sioni cha ajabu
Kuchepuka wakati umeolewa tena na stranger ni jambo la hovyo, lakini mwenye makosa makubwa zaidi ni huyo Mrusi, tena kosa lake sio kuwapiga mjegeje wake za watu, bali ni kuwarekodi kwa siri na kusambaza video zao za utupu, kitu ambacho sio vizuri
 
Larry ni mwanaume na nusu, ndio maana hakuwaita malaya hao victims badala yake kaingia front kuwasaidia, nawatukana wanaume wanaowabeza na kuwaita majina mabaya, kama wewe hapo huo mstari wa chini umeshawahukumu, nyie ndio nilokua nawazungumzia hapa

Unachanganya mambo na pengine hufahamu sana unachoongea?

Wewe kuwaita majina/kuwatukana wanaume unaodai wanadhalilisha wahanga wa mrusia hauna tofauti na hao wanaume.

Onyesha wapi nimesema uwongo.
 
Hii ni sahihi kabisa. Baadhi ya wanawake hadi size za uke zinaongezeka kutokana na kufanya mapenzi na wanaume wengi wenye mijegeje size tofauti tofauti lakini mwanaume hata awagonge wanawake wangapi maumbile yake hayaathiriki

Mkuu, mimi sifahamu kuhusu kuongezeka size ya papuchi au vipi nachotaka kusema kwenye comment zangu zote kwenye huu uzi ni kwamba mshahara wa dhambi ni mauti.

Hao wanawake wa Kikenya hala haina haja yakupindisha maneno wamekosea. Haiwezekani wewe ni mama umeolewa halafu unaenda kwa Mrusia kuliwa saa chache baada ya kufahamiana. Unaakili wewe?

Mtoa mada anataka kulaghali wasichana wadogo waone sawa tu kutoa papuchi hovyo hovyo.
 
Mtoa mada anataka kulaghali wasichana wadogo waone sawa tu kutoa papuchi hovyo hovyo.
inaonesha umeisoma mada yangu ukiwa na hasira na jazba, kunywa maji kwa wingii, weka tabasamu kwenye uso wako halafu anza kuisoma upya mstari kwa mstari
 
Unachanganya mambo na pengine hufahamu sana unachoongea?

Wewe kuwaita majina/kuwatukana wanaume unaodai wanadhalilisha wahanga wa mrusia hauna tofauti na hao wanaume.

Onyesha wapi nimesema uwongo.
Sijakurupuka kuileta hii mada, kuna mada inatembea humu kuhusu huyo fedhuli Mrussia comments za humo ndio zimenifanya nilete hii mada, upoooo? walengwa wanajijua na wanasonya huko walipo
 
lakini mwenye makosa makubwa zaidi ni huyo Mrusi, tena kosa lake sio kuwapiga mjegeje wake za watu, bali ni kuwarekodi kwa siri na kusambaza video zao za utupu, kitu ambacho sio vizuri
Exactly na ndio msingi wa hii mada na kingine kama ni muathirika kama wengine wanavyodai, kama kawaambukiza hao wamama zaidi ya 100 je huo Ukimwi utaishia kwa hao wamama peke yao? jamii itabaki salama? huyu mshenzi amenikumbusha enzi za Jangwani sekondari nasikia kuna mzee aliitwa 'Kaumba' nipo tayari kukosolewa, aliwasambazia VVU watoto wa shule hiyo kama wote,

Mshana Jr naomba utuwekee kumbukumbu sawa kwenye hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…