Wanaume wa kibongo acheni unafki: Angekuwa mzungu mwanamke amewaita msingeenda?

inaonesha umeisoma mada yangu ukiwa na hasira na jazba, kunywa maji kwa wingii, weka tabasamu kwenye uso wako halafu anza kuisoma upya mstari kwa mstari
Nimekuuliza hapa wewe unatofauti gani na wanaume unaowatukana?

Onyesha werevu wako na si mambo yasiyo na msingi.

Pili, onyesha sehemu nimetukana au kudhalilisha hao wanawake walioenda kwa huyo mrusia.

Tatu, namna yako ya kufikira imekaa kilaghai na kukwepa uwajibikaji, hao wanawake wakikenya wamekosea ndiyo maana baadhi ya familia zinazojielewa wamekerwa na tabia hii chafu.
 
Wewe hebu nipishe mie nitolee kisirani chako hapa, wazimu wako pelekea mkeo, nishasema nilichosema imekuuma kanisemee kwa baba angu 😃😃
 
Basi nilifananisha na mmoja anaitwa Secret bird.... haya haya ngoja nisipitwe na umbea 💃
Mmh nimeona, 50k imewatoa watu udenda, wengine wanajitilisha huruma, wengine wanalalamika emails hazijibiwi, wengine wana bembeleza kufunguliwa inbox hehehehe wanaume wa kibongo haooooo...hapo mbongo mwenzao angekua yule Mrussia je si ingekua mtafutano na mtifuano😂😂😂
 
Hawa mbwa (Love box) wanafki sana humu, jitu linatukana wanawake malaya utasema lilijizaa lenyewe leba likatanua matraco yake likajizaa..!!

Humu wanaume wangapi wana to mber vibibi vya kizungu ili waishi free abroad??
Na sio vibibi wengine vinapelekewa moto mpaka na vibabu..!!

Kabla ya kusema wanawake malaya, vipi nyie wanaume mnaokula na kuliwa mpaka na wanaume wenzenu? Nyie ni kina nani?
Maana mmevuka level ya umalaya…!!
 
Waambie waambie haoooooooooo👌
Wanajikuta vidume wakati mafile yao ya sirini tunayoooooooo

Aibu zao
 
Wewe hebu nipishe mie nitolee kisirani chako hapa, wazimu wako pelekea mkeo, nishasema nilichosema imekuuma kanisemee kwa baba angu 😃😃
Dada fikiria vizuri kwenye bichwa lako.

Hii si personal, hii ni mada umeweka jamvini.

Ukiandika mada ukiwa umekengeuka tutakuonyoosha bila kukuonea haya. Hiyo inakufanya ujisikie vibaya?

Nimekuuliza wewe unatofauti gani na hao wanume unaowatukana?
 
Waambie waambie haoooooooooo👌
Wanajikuta vidume wakati mafile yao ya sirini tunayoooooooo

Aibu zao
😹😹😹👌
Wanafoka km vichaa, wanaacha kutunza wake na watoto zao mpaka wanaenda kujisell kwa Russian huko..!!

Umenifurahisha sana kuwasema viongozi wa Africa, hili nalo jipu kubwa.
Sababu ya uongozi mbovu wananchi maisha magumu mpaka wanaamua kujiuza..!! Wenyewe wamekalia viti ikulu yanajilimbikizia mali tu..!!

Africa njaa kali ndiomana watu wanafanya yote haya..!!
 
Uko sahihi kabisa. Beach boys kibao wanajipitisha ufukweni ili wanawake wa kizungu wawatunuku kwa imani kuwa watapelekwa ulaya. Na hivi hao wavulana kibao ambao wako tayari kutembea mpaka Sauzi wangekuwa na ubavu wa kumkataa Karen? Kwa kweli ni unafik.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…