JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,556
- 18,428
Mambo mawili,Ifike mahala sasa muweke unafki pembeni na mgeuze shilingi, angekua ni Mrussia mwanamke amekukuta sijui stand ya bus, sijui supermarket au kibanda cha kubet amekuita hutaenda kumsikiliza? akakwambia wewe ni handsome sana na umevaa kitanashati hutajichekelesha chekelesha? akakwambia msindike anapoenda au jioni mkutane kwa chakula cha usiku hutatoa namba au kumfata kama zombie kasikia harufu ya damu?
Jitafakari tu mwenyewe, na mkomwe wako kama bus la Tahmeed, na kunuka kwako kibeberu bado mzungu amekusifia hutamfata wewe au kwa vile jambo limetokea kwa wanawake basi ndio makasiriiiiiko, na kwanini wanaume wa Kiafrika hasa wa Tanzania mnafurahi sana jambo baya likimkuta mwanamke? ni wivu kua somehow mnatamani kua wao ama nini?
Mnashindwa hata na kuku ikitokea jike anapatwa na shida jogoo humdefend kwa haraka sana,
Kuna michokoraa mingine humu humu inadiriki kusema "wanawake WOTE Malaya" yaan hapo amemjumuisha mama ake alomzaa kwa uchungu na bibi ake alosababisha mama ake akazaliwa na yeye bichwa box likazaliwa, laiti kama hao wazee wake wangejua kua litoto lao linawaona Malaya tu kisa wamemzaa! mama wa watu angebana miguu wakati linatoka akajipunguzia maumivu ya kuchanwa uke na mbichwa wake mkubwa na bado uzeeni amuite malaya, aibu yenu!
Kwenye dunia hii mbaya ilojaa wakina Epstein na kina Mrussia badala ya kufurahia wanawake zenu kudhalilishwa namna ile na 'mzungu' mlipaswa muungane kwa pamoja kupinga huo udhalilishaji, unyanyasaji, ukandamizaji, ubaguzi wa rangi, wote kwa sauti moja tungekemea ili watoto wetu wa kike waishi kwa usalama,
Hapo hapo tungezigeukia serikali zetu zinazoendesha nchi kidhalimu bila kujali hali za kipato kwa wananchi wao, umaskini wa kupindukia ndio unafanya wanawake na vijana kujiingiza katika mambo hatarishi,
tumeona yule dada Mghana anayeishi Newyork alivyomkataa Mrussia, kwanza sababu ana exposure pili ana pesa zake, wengine wote walidumbukia kirahisi wakiamini umaskini wao utaenda kumalizwa ama kupunguzwa kabisa.
Aibu yenu pia viongozi wa Afrika na aibu zaidi kwa serikali ya Kenya kwa kushindwa kusema neno kupitia sakata la huyo mpuuzi,
Tukirudi kwenu nyie mnaojiita wanaume lakini mmekosa kariba ya kiume, mmekua watu wa vichambo, bullying, kejeli na matusi dhidi ya wanawake zenu (hata hapa mtakuja na mkianza vichambo vyenu haraka mzitoe kende mzining'inize paleeeee, niwape madera ili mchambe vizuri)
Mrussia huyo huyo angewaita mngeenda na hotelini kwake mngefika, hayo mengine sijui sasa kama yangefanyika au mngekaza lol, ila kwenda mngeenda acheni unafki.
Nipo na popcorn zangu hapa na mwamvuli. ๐ฟ๐ฅคโฑ๏ธ
Aliitwa Maumba.. Alikuwa fundi cherehaniExactly na ndio msingi wa hii mada na kingine kama ni muathirika kama wengine wanavyodai, kama kawaambukiza hao wamama zaidi ya 100 je huo Ukimwi utaishia kwa hao wamama peke yao? jamii itabaki salama? huyu mshenzi amenikumbusha enzi za Jangwani sekondari nasikia kuna mzee aliitwa 'Kaumba' nipo tayari kukosolewa, aliwasambazia VVU watoto wa shule hiyo kama wote,
Mshana Jr naomba utuwekee kumbukumbu sawa kwenye hili
Anything so far?๐Basi nilifananisha na mmoja anaitwa Secret bird.... haya haya ngoja nisipitwe na umbea ๐
Akiwatajia tu Mercedes wote wanakimbilia kulee๐ ๐ kuna wengine tunawaheshimu vzr tu na id zao๐ซขMmh nimeona, 50k imewatoa watu udenda, wengine wanajitilisha huruma, wengine wanalalamika emails hazijibiwi, wengine wana bembeleza kufunguliwa inbox hehehehe wanaume wa kibongo haooooo...hapo mbongo mwenzao angekua yule Mrussia je si ingekua mtafutano na mtifuano๐๐๐
Blessings Kutoka kwa baba๐Anataka kublesiwa nini?
Ila kuna kuitwa halafu kuna kunyooshewa kidole kama mtu anachagua ng'ombe ๐๐๐Ifike mahala sasa muweke unafki pembeni na mgeuze shilingi, angekua ni Mrussia mwanamke amekukuta sijui stand ya bus, sijui supermarket au kibanda cha kubet amekuita hutaenda kumsikiliza? akakwambia wewe ni handsome sana na umevaa kitanashati hutajichekelesha chekelesha? akakwambia msindike anapoenda au jioni mkutane kwa chakula cha usiku hutatoa namba au kumfata kama zombie kasikia harufu ya damu?
Jitafakari tu mwenyewe, na mkomwe wako kama bus la Tahmeed, na kunuka kwako kibeberu bado mzungu amekusifia hutamfata wewe au kwa vile jambo limetokea kwa wanawake basi ndio makasiriiiiiko, na kwanini wanaume wa Kiafrika hasa wa Tanzania mnafurahi sana jambo baya likimkuta mwanamke? ni wivu kua somehow mnatamani kua wao ama nini?
Mnashindwa hata na kuku ikitokea jike anapatwa na shida jogoo humdefend kwa haraka sana,
Kuna michokoraa mingine humu humu inadiriki kusema "wanawake WOTE Malaya" yaan hapo amemjumuisha mama ake alomzaa kwa uchungu na bibi ake alosababisha mama ake akazaliwa na yeye bichwa box likazaliwa, laiti kama hao wazee wake wangejua kua litoto lao linawaona Malaya tu kisa wamemzaa! mama wa watu angebana miguu wakati linatoka akajipunguzia maumivu ya kuchanwa uke na mbichwa wake mkubwa na bado uzeeni amuite malaya, aibu yenu!
Kwenye dunia hii mbaya ilojaa wakina Epstein na kina Mrussia badala ya kufurahia wanawake zenu kudhalilishwa namna ile na 'mzungu' mlipaswa muungane kwa pamoja kupinga huo udhalilishaji, unyanyasaji, ukandamizaji, ubaguzi wa rangi, wote kwa sauti moja tungekemea ili watoto wetu wa kike waishi kwa usalama,
Hapo hapo tungezigeukia serikali zetu zinazoendesha nchi kidhalimu bila kujali hali za kipato kwa wananchi wao, umaskini wa kupindukia ndio unafanya wanawake na vijana kujiingiza katika mambo hatarishi,
tumeona yule dada Mghana anayeishi Newyork alivyomkataa Mrussia, kwanza sababu ana exposure pili ana pesa zake, wengine wote walidumbukia kirahisi wakiamini umaskini wao utaenda kumalizwa ama kupunguzwa kabisa.
Aibu yenu pia viongozi wa Afrika na aibu zaidi kwa serikali ya Kenya kwa kushindwa kusema neno kupitia sakata la huyo mpuuzi,
Tukirudi kwenu nyie mnaojiita wanaume lakini mmekosa kariba ya kiume, mmekua watu wa vichambo, bullying, kejeli na matusi dhidi ya wanawake zenu (hata hapa mtakuja na mkianza vichambo vyenu haraka mzitoe kende mzining'inize paleeeee, niwape madera ili mchambe vizuri)
Mrussia huyo huyo angewaita mngeenda na hotelini kwake mngefika, hayo mengine sijui sasa kama yangefanyika au mngekaza lol, ila kwenda mngeenda acheni unafki.
Nipo na popcorn zangu hapa na mwamvuli. ๐ฟ๐ฅคโฑ๏ธ
KUTAFUNA na KUTAFUNWA ni tofauti.Ifike mahala sasa muweke unafki pembeni na mgeuze shilingi, angekua ni Mrussia mwanamke amekukuta sijui stand ya bus, sijui supermarket au kibanda cha kubet amekuita hutaenda kumsikiliza? akakwambia wewe ni handsome sana na umevaa kitanashati hutajichekelesha chekelesha? akakwambia msindike anapoenda au jioni mkutane kwa chakula cha usiku hutatoa namba au kumfata kama zombie kasikia harufu ya damu?
Jitafakari tu mwenyewe, na mkomwe wako kama bus la Tahmeed, na kunuka kwako kibeberu bado mzungu amekusifia hutamfata wewe au kwa vile jambo limetokea kwa wanawake basi ndio makasiriiiiiko, na kwanini wanaume wa Kiafrika hasa wa Tanzania mnafurahi sana jambo baya likimkuta mwanamke? ni wivu kua somehow mnatamani kua wao ama nini?
Mnashindwa hata na kuku ikitokea jike anapatwa na shida jogoo humdefend kwa haraka sana,
Kuna michokoraa mingine humu humu inadiriki kusema "wanawake WOTE Malaya" yaan hapo amemjumuisha mama ake alomzaa kwa uchungu na bibi ake alosababisha mama ake akazaliwa na yeye bichwa box likazaliwa, laiti kama hao wazee wake wangejua kua litoto lao linawaona Malaya tu kisa wamemzaa! mama wa watu angebana miguu wakati linatoka akajipunguzia maumivu ya kuchanwa uke na mbichwa wake mkubwa na bado uzeeni amuite malaya, aibu yenu!
Kwenye dunia hii mbaya ilojaa wakina Epstein na kina Mrussia badala ya kufurahia wanawake zenu kudhalilishwa namna ile na 'mzungu' mlipaswa muungane kwa pamoja kupinga huo udhalilishaji, unyanyasaji, ukandamizaji, ubaguzi wa rangi, wote kwa sauti moja tungekemea ili watoto wetu wa kike waishi kwa usalama,
Hapo hapo tungezigeukia serikali zetu zinazoendesha nchi kidhalimu bila kujali hali za kipato kwa wananchi wao, umaskini wa kupindukia ndio unafanya wanawake na vijana kujiingiza katika mambo hatarishi,
tumeona yule dada Mghana anayeishi Newyork alivyomkataa Mrussia, kwanza sababu ana exposure pili ana pesa zake, wengine wote walidumbukia kirahisi wakiamini umaskini wao utaenda kumalizwa ama kupunguzwa kabisa.
Aibu yenu pia viongozi wa Afrika na aibu zaidi kwa serikali ya Kenya kwa kushindwa kusema neno kupitia sakata la huyo mpuuzi,
Tukirudi kwenu nyie mnaojiita wanaume lakini mmekosa kariba ya kiume, mmekua watu wa vichambo, bullying, kejeli na matusi dhidi ya wanawake zenu (hata hapa mtakuja na mkianza vichambo vyenu haraka mzitoe kende mzining'inize paleeeee, niwape madera ili mchambe vizuri)
Mrussia huyo huyo angewaita mngeenda na hotelini kwake mngefika, hayo mengine sijui sasa kama yangefanyika au mngekaza lol, ila kwenda mngeenda acheni unafki.
Nipo na popcorn zangu hapa na mwamvuli. ๐ฟ๐ฅคโฑ๏ธ
Uliona wapi Mwanaume akadhalilishwa kingono?Ifike mahala sasa muweke unafki pembeni na mgeuze shilingi, angekua ni Mrussia mwanamke amekukuta sijui stand ya bus, sijui supermarket au kibanda cha kubet amekuita hutaenda kumsikiliza? akakwambia wewe ni handsome sana na umevaa kitanashati hutajichekelesha chekelesha? akakwambia msindike anapoenda au jioni mkutane kwa chakula cha usiku hutatoa namba au kumfata kama zombie kasikia harufu ya damu?
Jitafakari tu mwenyewe, na mkomwe wako kama bus la Tahmeed, na kunuka kwako kibeberu bado mzungu amekusifia hutamfata wewe au kwa vile jambo limetokea kwa wanawake basi ndio makasiriiiiiko, na kwanini wanaume wa Kiafrika hasa wa Tanzania mnafurahi sana jambo baya likimkuta mwanamke? ni wivu kua somehow mnatamani kua wao ama nini?
Mnashindwa hata na kuku ikitokea jike anapatwa na shida jogoo humdefend kwa haraka sana,
Kuna michokoraa mingine humu humu inadiriki kusema "wanawake WOTE Malaya" yaan hapo amemjumuisha mama ake alomzaa kwa uchungu na bibi ake alosababisha mama ake akazaliwa na yeye bichwa box likazaliwa, laiti kama hao wazee wake wangejua kua litoto lao linawaona Malaya tu kisa wamemzaa! mama wa watu angebana miguu wakati linatoka akajipunguzia maumivu ya kuchanwa uke na mbichwa wake mkubwa na bado uzeeni amuite malaya, aibu yenu!
Kwenye dunia hii mbaya ilojaa wakina Epstein na kina Mrussia badala ya kufurahia wanawake zenu kudhalilishwa namna ile na 'mzungu' mlipaswa muungane kwa pamoja kupinga huo udhalilishaji, unyanyasaji, ukandamizaji, ubaguzi wa rangi, wote kwa sauti moja tungekemea ili watoto wetu wa kike waishi kwa usalama,
Hapo hapo tungezigeukia serikali zetu zinazoendesha nchi kidhalimu bila kujali hali za kipato kwa wananchi wao, umaskini wa kupindukia ndio unafanya wanawake na vijana kujiingiza katika mambo hatarishi,
tumeona yule dada Mghana anayeishi Newyork alivyomkataa Mrussia, kwanza sababu ana exposure pili ana pesa zake, wengine wote walidumbukia kirahisi wakiamini umaskini wao utaenda kumalizwa ama kupunguzwa kabisa.
Aibu yenu pia viongozi wa Afrika na aibu zaidi kwa serikali ya Kenya kwa kushindwa kusema neno kupitia sakata la huyo mpuuzi,
Tukirudi kwenu nyie mnaojiita wanaume lakini mmekosa kariba ya kiume, mmekua watu wa vichambo, bullying, kejeli na matusi dhidi ya wanawake zenu (hata hapa mtakuja na mkianza vichambo vyenu haraka mzitoe kende mzining'inize paleeeee, niwape madera ili mchambe vizuri)
Mrussia huyo huyo angewaita mngeenda na hotelini kwake mngefika, hayo mengine sijui sasa kama yangefanyika au mngekaza lol, ila kwenda mngeenda acheni unafki.
Nipo na popcorn zangu hapa na mwamvuli. ๐ฟ๐ฅคโฑ๏ธ
Duh!...Malaya ni mwanamke, mwanaume ni mtombaji, tuelewane kwenye hilo.
Kwa mimi inategemea na huyo mdada wa kizungu ana muonekano gani, kuna wazungu wengine hapana aisee Dr. Mariposa leo dadaDr wangeenda wanakimbia wasituchoshe......nani anapenda umasikini bwana!!!!!?ยฟ
SEMA tu zao la wanaume wa kiafrika hasa tanzania kwa sasa ni shida tupu.
Sir John Deere ni mtengeneza matrekta maarufu duniani allience one tobacco ltdNishakutana na limama la kizungu Midland hotel morogoro likaniganda nikakimbia. Mwili wa baridi kama nyoka .aise mimi na ngozi nyeupe mbalimbali
Ameedit zile videos bhana, behind the scene alikua anawaahidi mambo makubwa ndio maana walikubaliIla kuna kuitwa halafu kuna kunyooshewa kidole kama mtu anachagua ng'ombe ๐๐๐
Hakuna cha muonekano bhana tuwe wakweli, ukimuona mzungu umeiona VISA hii hapaaa, nani anataka kuishi mavumbiniKwa mimi inategemea na huyo mdada wa kizungu ana muonekano gani, kuna wazungu wengine hapana aisee Dr. Mariposa leo dada
Wewe labda hujui tu Wakenya wanavyoabudu wazungu.Ameedit zile videos bhana, behind the scene alikua anawaahidi mambo makubwa ndio maana walikubali
Nimeshangaa nimeikuta mishababi inakenua kenua kwa mwanaume mwenzao hadi nimetetemeka walai, nimeishiwa na pawa๐ฅน๐๐๐Akiwatajia tu Mercedes wote wanakimbilia kulee๐ ๐ kuna wengine tunawaheshimu vzr tu na id zao๐ซข
Nimeshangaa nimeikuta mishababi inakenua kenua kwa mwanaume mwenzao hadi nimetetemeka walai, nimeishiwa na pawa๐ฅน๐๐๐