Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Umekuja mjini toka kigoma fuata taratibu za ulipofikia sio vizuri kujiamulia kila kitu hapa mjini bana sio ujiji.
Unakuta mtu anatafuna dagaa wabichi mabarabarani yaani kuweka mfukoni kabisa kama karanga kuhalibu bajeti za watu tu, mkirudishwa kigoma mnaanza fitina zenu .
Mbaya kabisa anapika ugali anachukua dagan wabichi anatafunia asee sijui kichefuchefu hasikii.
Wakigoma mnawezana na wakigoma wenzenu daah aseeeh