Wanaume wa mtandaoni wengi wahuni

Wanawake wengi wa mtandaoni ndo wanaongoza kwa kuomba hela na utapeli wa kutosha
Mtu hakujui anaanza kukufungulia visa lukuki vya matatizo ya kutunga ya nyumbani kwao... anahitimisha kuomba na hela kwa mtu hata asiyemjua πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸΎ

Wanahisi pesa ni kitu kirahisirahisi kutolewa na hawajijui kama huwaga wanajiharibia mapema kwa kukosa stamala

Wanawake zetu wa kiswahili ni MAPOPOMA kwakweli
 
Huyo siyo 'WANAWAKE WENGI', huyo ni tapeli anakupanga akupige. Ukijifanya una kamoyo ka ibada tu, lazima urudi hapa kufungua thread kwa ile ID yako ya malalamiko.
 
Achana naye ukimpa kesho upo ukurasa wa mbele na picha ya chupi lako kaweka shosti

Wewe mtafute lile zee tudeal nalo, hiv vitoto vipotezee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie asiwe anakimbilia tu kwenye agree, awe anasoma terms and condition.πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…