Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

Sawa mkuu.hii Kwa watu wazima
Ila mateen wa siku hizi hawawezi
 
Sio wote wanatanguliza pesa..naamini wapo waelewa huko nje
 
Humu jf wakisema tupange list ya watu wanaoweza kupanga hoja na kuzitetea top 3 yangu wewe humo

Kujadili na wewe mada moja pande tofauti inahitaji mtu ajipange
Unaniudhigi sometimes🤸
Zemanda
 
Hakuna Generation wanawake wanaliwa kama hii
 
Shida ni nyinyi wenyewe. Ukishatongozwa na kikaeleweka unaanza kupata matatizo muda huo huo.
Kodi inaisha
Unaibiwa iphone
Unapata mgonjwa ambaye inabidi usafiri ukamuone
Mjomba anameza shoka nk nk.
Sasa hawa vijana jobless ukishamtwisha furushi la madai kama hilo nguvu ya kuwa na wewe anaitoa wapi? Hata kutongoza wanaogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…