Wanaume wakiacha usaliti kwenye mahusiano, wanawake pia wataacha

Sawa mkuu nimeusoma mtazamo wako.
Nilivyokuelewa ni kwamba unakazia kuwa kucheat ni jadi ya wanaume. Kwa wanawake sio jadi yao.

Pamoja na hayo kumbuka mwanaume huyo mwenye jadi ya kucheat huwa anapita na wake za watu, hivyo uwiano wa kucheat upo sawa kwa wanaume na wanawake.
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Gafla mlevi akaropokaa mbona mkeo anatoa kinyeo gud tu.......hapo ndo utajua wamawake noma we mkiishika hata tako utasikia ntampigia baba mchugaji na kofi juu anakupaaaaaa
 
uuuwiii kumbe uwiano ni 1:1
Basi tuache kucheat aisee nlijua wanawake wapo nyuma sana kwenye kucheat.. Basi ni dhahiri wanawake wanacheat kwa usiri wa hali ya juu sana. Wanawake wabaya sana
 
Vitu vingi wanawake wanajifunza kwa wanaume.

Anyways; kwa mwanamke it’s not worthy the action. Kuna mengi ya kufanya…….
 
Kuna wanawake wanacheat bila hata waume zao kuwacheat. Kila mmoja afanye kulingana na nafsi yake ilivyomtuma, kesi ikiletwa mezani kila mmoja atajitetea kivyake na atahukumiwa kivyake. Tusihalalishe kosa la mwanamke kwa sababu mwanaume pia amefanya. Mbona kwenye mema hawalipizi iweje kwenye mabaya tu, mbona sisi tunawapa hela lakini wao hawatupi? Kama wanataka twende sambamba kwenye kila kitu na wagharamie cost za ku-mantain mahusiano kama tunavyofanya sisi bwana wako kakununulia IST na wewe mnunulie passo, bwana wako kakununulia iphone pro max 15 na wewe mnunulie samsung s23 ultra., wasiishie kulipiza kwenye ku-cheat tu.
 


Soma
https://www.jamiiforums.com/threads/chaguzi-mbili-kuu-pale-unapogundua-mkeo-anakusaliti.2202067/
 
Hata Potifa hakuwahi kubaini kuwa mkewe anamfukuzia yule dogo Yusufu. Wanawake ni wasiri mno.
uuuwiii kumbe uwiano ni 1:1
Basi tuache kucheat aisee nlijua wanawake wapo nyuma sana kwenye kucheat.. Basi ni dhahiri wanawake wanacheat kwa usiri wa hali ya juu sana. Wanawake wabaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…