SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Kiukweli wanawake mna roho mbaya....teni tu ndo imekuwa nongwakidogo eti una teni hapo sasa kama mie mwanamke unataka hela yangu yanini kwasababu gani??
Niazime laki nakurudishia badae 😅😅😅😅😅😅WAnaume wakileo.
Mnaanza mahusiano anaanza kusema unafanya nini ??
Mko kwenye maongezi kidogo eti una teni hapo sasa kama mie mwanamke unataka hela yangu yanini kwasababu gani??
Dunia ilipoanza adam aliambiwa atatafuta kwa uchungu. Na hawa atazaa kwa uchungu na vitu vyote hadi kulea mwanaume ndio anahusika .
Sasa yamekuwa hayooo leo wanaume wanapigania kutunzwa imebaki wazae tu . Ndio imebaki.
Sasa wanaume wazamani wanaheshima wanakujali wanakupenda nakukupa muda wake.
Ila waleo ahaaa khali wamezidi wanataka haki sawa ipi???
sawa tuwekewee n ya wanawake wa zamani na wa leo, ikoje tuchakate kwa pamojaWAnaume wakileo.
Mnaanza mahusiano anaanza kusema unafanya nini ??
Mko kwenye maongezi kidogo eti una teni hapo sasa kama mie mwanamke unataka hela yangu yanini kwasababu gani??
Dunia ilipoanza adam aliambiwa atatafuta kwa uchungu. Na hawa atazaa kwa uchungu na vitu vyote hadi kulea mwanaume ndio anahusika .
Sasa yamekuwa hayooo leo wanaume wanapigania kutunzwa imebaki wazae tu . Ndio imebaki.
Sasa wanaume wazamani wanaheshima wanakujali wanakupenda nakukupa muda wake.
Ila waleo ahaaa khali wamezidi wanataka haki sawa ipi???
NAUNGA MKONO HOJAHuyo mwanaume amekuoa au unaendekeza umalaya tu?..
Samahan lakn
HahahahaHuyo mwanaume amekuoa au unaendekeza umalaya tu?..
Samahan lakn
Pole sana,ila 10K nayo ya kulaamikaWAnaume wakileo.
Mnaanza mahusiano anaanza kusema unafanya nini ??
Mko kwenye maongezi kidogo eti una teni hapo sasa kama mie mwanamke unataka hela yangu yanini kwasababu gani??
Dunia ilipoanza adam aliambiwa atatafuta kwa uchungu. Na hawa atazaa kwa uchungu na vitu vyote hadi kulea mwanaume ndio anahusika .
Sasa yamekuwa hayooo leo wanaume wanapigania kutunzwa imebaki wazae tu . Ndio imebaki.
Sasa wanaume wazamani wanaheshima wanakujali wanakupenda nakukupa muda wake.
Ila waleo ahaaa khali wamezidi wanataka haki sawa ipi???
Mimi sio mwanaume yeye ndio anisupport vinginevyoo ataenda kutunza kwinginePole sana,ila 10K nayo ya kulaamika