Wanaume walio oa Kwa sababu hizi ndio wamepatia kuoa

Uko Sawa kabisa... Ndo maana unakuta mwanaume ni mlevi kinoma akitaka kuoa hatafuti mlevi mwenzie akiwa na lengo la kuacha pombe anatafuta mlokole na mfia dini.
Kabisa
 
Umeremba vizuri kichwa cha habari na pia umeanza na kukandia sababu za kuoa kwa mapenzi sawa ila baada ya hapo ukapotea kiasi.
Nakubali hatuoi kwa sababu za mapenzi kama mapenzi yako ni for a reason and with expiry date.

Lakini pia hatuoi kwa personal interests. Unless tuite Mutual Interests. Interests zako zioane na interests za mwenzako.

Mimi ndoa na taasisi zingine naziweka kapu moja. Ninapooa na ninapoanzisha biashara au non profit project zimefanana
Lazima uwe na vision, mission, objectives, core values na short and long term goals.

Unapotaka kuoa ni the same lazima huyo unayetaka kumuoa afit in kwenye mipango hizo ambazo mainly ni malengo ya
1) kiroho
2) Kiuchumi
3) Familia na kijamii
4) Kitaaluma
5) Nk

Huyo mwanamke anayefit in kwenye hizo hapo juu ina maana ana the same vision and mission

Haina maana ukimuoa mke mwenye vision tofauti na wewe ndoa haitafana bali kutahitajika a lot of energy ili hiyo ndoa iende mbele.
 
Umeremba vizuri kichwa cha habari na pia umeanza na kukandia sababu za kuoa kwa mapenzi sawa ila baada ya hapo ukapotea mazima
Nakubali hatuoi kwa sababu mapenzi kama mapenzi yako ni for a reason and with expiry date
Lakini pia tukioa kwa personal interest we are finished. Unles tuite Mutual Interest. Interests zako zioane na interests za mwenzako.

Mimi ndoa na taasisi zingine naziweka kapu moja. Ninapooa na ninapoanzisha biashara au non profit project zimefanana
Lazima uwe na vision, mission, objectives, core values na short and long term goals.
Unapotaka kuoa ni the same lazima huyo unayetaka kumuoa afit in kwenye mipango hizo ambazo mainly ni
1) Spiritual goals
2) Economical Goals
3) Family and relatives au Social things
4) Career Goals
Etc

Huyo mwanamke anayefit in kwenye hizo hapi juu ina maana ana the same vision and mission

Haina maana ukimuoa mke mwenye bision tofauti na wewe ndoa haitafana bali kutahitajika a lot of energy ili hiyo ndoa iende mbele.
Mkuu ukianza Tena mambo ya mission Na vission utawachanganya watu.

Mambo muhimu anayo yahitaji mwanamke yanajulikana Wala huitaji kufundishwa kama wewe Ni mwanaume Kweli.

Mwanamke anahitaji mambo ya fuatayo kutoka Kwa mwanaume.

1. Hela
2.hela
3.hela.
.
.
1000,000,000. Hela.

Mwaka Jana dada angu ambae ana uraia Marekani ameishi huko toka mwaka 99 amefunga ndoa Kwa ajili ya MAKARATASI na jamaa anatoka Bahrain.

Jamaa kampa sister dola laki 2.

So ninapo SEMA kuhusu interest zako simaanishi wewe uwe Na mapumbu Tu nope.

Nilikuwa naongea Na mwanaume ambae anataka kuoa. Ambae anajua mwanamke anahitaji kutunzwa.

Lazima kuwe Na reciprocity
 
Mambo muhimu nayo yahitaji mwanamke yanajulikana Wala huitaji kufundishwa kama wewe Ni mwanaume Kweli.

Mwanamke anahitaji mambo ya fuatayo kutoka Kwa mwanaume.

1. Hela
2.hela
3.hela.
.
.
1000,000,000. Hela.

Mwaka Jana dada angu ambae ana uraia Marekani ameishi huko toka mwaka 99 amefunga ndoa Kwa ajili ya MAKARATASI na jamaa anatoka Bahrain.
Mkuu ukianza Tena mambo ya mission Na vission utawachanganya watu.

Mambo muhimu anayo yahitaji mwanamke yanajulikana Wala huitaji kufundishwa kama wewe Ni mwanaume Kweli.

Mwanamke anahitaji mambo ya fuatayo kutoka Kwa mwanaume.

1. Hela
2.hela
3.hela.
.
.
1000,000,000. Hela.

Mwaka Jana dada angu ambae ana uraia Marekani ameishi huko toka mwaka 99 amefunga ndoa Kwa ajili ya MAKARATASI na jamaa anatoka Bahrain.

Jamaa kampa sister dola laki 2.

So ninapo SEMA kuhusu interest zako simaanishi wewe uwe Na mapumbu Tu nope.

Nilikuwa naongea Na mwanaume ambae anataka kuoa. Ambae anajua mwanamke anahitaji kutunzwa.

Lazima kuwe Na reciprocity

Jamaa kampa sister dola laki 2.

So ninapo SEMA kuhusu interest zako simaanishi wewe uwe Na mapumbu Tu nope.

Nilikuwa naongea Na mwanaume ambae anataka kuoa. Ambae anajua mwanamke anahitaji kutunzwa.

Lazima kuwe Na reciprocity
 
Umeremba vizuri kichwa cha habari na pia umeanza na kukandia sababu za kuoa kwa mapenzi sawa ila baada ya hapo ukapotea kiasi.
Nakubali hatuoi kwa sababu za mapenzi kama mapenzi yako ni for a reason and with expiry date.
Lakini pia hatuoi kwa personal interests. Unless tuite Mutual Interests. Interests zako zioane na interests za mwenzako.

Mimi ndoa na taasisi zingine naziweka kapu moja. Ninapooa na ninapoanzisha biashara au non profit project zimefanana
Lazima uwe na vision, mission, objectives, core values na short and long term goals.
Unapotaka kuoa ni the same lazima huyo unayetaka kumuoa afit in kwenye mipango hizo ambazo mainly ni malengo ya
1) kiroho
2) Kiuchumi
3) Familia na kijamii
4) Kitaaluma
5) Nk

Huyo mwanamke anayefit in kwenye hizo hapo juu ina maana ana the same vision and mission

Haina maana ukimuoa mke mwenye bision tofauti na wewe ndoa haitafana bali kutahitajika a lot of energy ili hiyo ndoa iende mbele.
Exactly
 
Aiseee,ww jombaa unaThe Akili kubwa ,the genius,sijui nikuiteje popote ulipo uzidi kubarikiwa nakupunguziwa dhambi namizigo yamadeni uliyonayo,nidhahiri shahiri kuwa wanawake huja kwetu maranyingi sio kwasababu wanatupenda nikwakua Wana agenda nje yamahaba napenzi ,

wanakuja kwetu Kwa agenda mfano,kupunguza ukali wamaisha,au vyovyote vile,ndio manaa hata mwanaume ukicheat mwanamke nikawaida Sana Tu,au binti kigorianaweza kutoka kimahaba namwanaume aliye nawanawake hata watatu ,bila kujali inmaradi matakwa yake yanatimizwa barabara

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Itawachukua Mda watu kukuelewa mkuu,napengine itachukua Mda Ila mada yako nifikirishi Sana nainauhalisia Sana Sana,trust me

wanaokupinga hawanajustifications za maana,yaani nihivi umegonga kwenye point mwanaume kumuoa mwanamke Kwa kigezo cha mahaba namapenzi only,nasio vitu vingine nje yamaswala Yangono nihatari nahuishi ktk pressure namgandamizo wamawazo

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Itawachukua Mda watu kukuelewa mkuu,napengine itachukua Mda Ila mada yako nifikirishi Sana nainauhalisia Sana Sana,trust me wanaokupinga hawanajustifications za maana,yaani nihivi umegonga kwenye point mwanaume kumuoa mwanamke Kwa kigezo cha mahaba namapenzi only,nasio vitu vingine nje yamaswala Yangono nihatari nahuishi ktk pressure namgandamizo wamawazo

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Pamoja Sana mkuu
 
Aiseee,ww jombaa unaThe Akili kubwa ,the genius,sijui nikuiteje popote ulipo uzidi kubarikiwa nakupunguziwa dhambi namizigo yamadeni uliyonayo,nidhahiri shahiri kuwa wanawake huja kwetu maranyingi sio kwasababu wanatupenda nikwakua Wana agenda nje yamahaba napenzi ,wanakuja kwetu Kwa agenda mfano,kupunguza ukali wamaisha,au vyovyote vile,ndio manaa hata mwanaume ukicheat mwanamke nikawaida Sana Tu,au binti kigorianaweza kutoka kimahaba namwanaume aliye nawanawake hata watatu ,bila kujali inmaradi matakwa yake yanatimizwa barabara

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Pamoja Sana mkuu
 
Thread hii inaonyesha Jinsi Gani Wanaume wamechanganywa na Wanawake mpaka Mmewakatia Tamaa

Mwanaume utapitia Stage zote hizo ila Moyo wako ndio utaamua. Utaoa ila Utamtafuta Ambaye Moyo wako ukimuona Utapump Fast that is Love
 
Back
Top Bottom