Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaWengine wanaowa ili wapate heshima kwenye Familia, wengine wanaowa apate uhakika wa mbunye yaani hata akipandwa na migenye usiku wa manane apalamie chombo chake Cha Starehe,
Ila sipingani na wewe Mzee Baba wengi wanaowa au kuolewa kwakuona kitu Fulani kwa muhusika ninao mfano uliohai ambao ulimkuta ndg yangu yaani jamaa aliyemzalisha alijua mwenzangu na mie ni Mpemba na hiyo nikutokana na muonekano wa mwenzangu na mie yaani ngozi ya mwili na Nyele Soo baada ya kujua siyo Mpemba mwamba ikabidi abadili gia angani kwakusema Hana kazi na wakati huo mwenzangu na mie keshatundikwa Mimba, sasa mwenzangu na mie namuona yupoyupo tuu akisubili ndoaa wakati mwenzake Hana time nayeye anasubiri ajiongezi ili mwamba aoe Mwanamke wa Ndoto yake.
Note:Mapenzi hayana mjuaji maamuzi tunayochukua juu ya mapenzi ni Hisia na mihemko na jazba
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
This is what I am talking aboutKuna mjeda mmoja alioaga kwanza Dada mrembooo mnooo!!akaja akamtenda vzr sana lile pigo takatifu,wakatengana akaja oa baada ya muda mda yule sura personal ukiwaona njiani mkaka huwezi dhani yule ni mkewe!ila aliapaga hatakaa aoe mwanamke mrembo sana Bali ataoa mwanamke wa kumzalia na kumlelea watoto tu!!
Katika kipande cha video cha mahojiano ya Ndg Augustino Mrema na waandishi wa habari mara tu baada ya kufunga Ndoa! Amesema "nimepata mwenza kwa ajili ya kunisaidia mimi sasa ni mzee na nina kisukari nahijitaji kuchomwa sindano asubuhi kila siku huyu mama tutashirikiana nae"Nakazia
Kwani unakagua wanaokukatalia ndio unapata jibu kwake?Umekosea kuoa nn mkuu?
Shikilia hapahapa Bro. Wasikutoe kwenye Reli.Mkuu ukianza Tena mambo ya mission Na vission utawachanganya watu.
Mambo muhimu anayo yahitaji mwanamke yanajulikana Wala huitaji kufundishwa kama wewe Ni mwanaume Kweli.
Mwanamke anahitaji mambo ya fuatayo kutoka Kwa mwanaume.
1. Hela
2.hela
3.hela.
.
.
1000,000,000. Hela.
Mwaka Jana dada angu ambae ana uraia Marekani ameishi huko toka mwaka 99 amefunga ndoa Kwa ajili ya MAKARATASI na jamaa anatoka Bahrain.
Jamaa kampa sister dola laki 2.
So ninapo SEMA kuhusu interest zako simaanishi wewe uwe Na mapumbu Tu nope.
Nilikuwa naongea Na mwanaume ambae anataka kuoa. Ambae anajua mwanamke anahitaji kutunzwa.
Lazima kuwe Na reciprocity
Sio kweli. Mimi niliozwa kwa kile tunachoita family integrity keeping miaka hiyo na sikupata kuchagua na ilibidi niishi nae na sikupewa choice Bali ilibidi nijifunze kumpenda kadili siku zinavyoenda. Nasema hadi Sasa ni mke wangu wa miaka 31 na hatujatetereka hadi Leo.Mi nimekuelewa mkuu..............ila huwezi kuishi na mtu ambaye huna hisia naye kabisa
Toa sababu moja kuu kwanini niamini mawazo yako?Kama umeoa mwanamke Kwa Sababu sijui unampenda Sana, au anakupenda Sana au ni mzuri Sana blah blah blah , wewe ni kichaa. U will be dis appointed big time.
Don't marry for love but marry for your personal interests which have nothing to do with love.
Kama ukioa for ur personal interests basi hata single mother mwenye watoto watano Kila mmoja Na baba ake unaweza kumuoa as long as ur union with her will guarantee ur personal interests.
Mwanamke haolewi Kwa Sababu ya kuwa Na mapenzi kwake. Mwanamke anaolewa Kwa Sababu ambayo haihusiani Na mapenzi kabisa.
Asilimia kubwa ya wanaume wanao lalamika kutendwa Na wake zao , waliwaoa wanawake Hao Kwa Sababu za kitoto kama tajwa hapo juu..
Wanaume wanao waua wake zao Kwa wivu wa kimapenzi nk waliwao wanawake Hao Kwa Sababu waliwapenda Sana ..
MWANAMKE ANAPASWA KUOLEWA KWA MOJAWAPO KATI YA SABABU ZIFUATAZO
Sababu zipo nyingi Sana nyingine utajaziliza mwenyewe.
1. UNAMUOA KWA SABABU UNATAKA MAKARATASI: Wewe ndio huyo upo zako Marekani, ndoto yako ni kuwa na uraia WA Marekani , njia rahisi ya wewe kutimiza ndoto zako ni kuoa mwanamke raia WA Marekani. So unaoa mwanamke wa kimarekani sio Kwa Sababu unampenda ila Kwa Sababu unataka kupata uraia wa Marekani. Hapo Sasa wewe ndio umeoa
2. WA KUKUTOLEA DHAMANA POLISI AU MAHAKAMANI
kwenu Songea umekuja dar kutafuta Maisha huna shughuli rasmi Wala huna ndugu dar, Na Kwa nature ya Kazi zako unaweza kuwa mikononi mwa vyombo vya dola at any given time so unaoa mwanamke ambae atakuwa anakuja kukutolea dhamana polisi au MAHAKAMANI in case umepata tatizo..
Huyo mwanamke utakae muoa atapaswa kuwa mkaazi wa dsm mwenye extended family yake ndani ya dsm. Ukiwa katika kundi hili Na ukawa umeoa mwanamke WA Aina hii bila Shaka utamuheshimu Sana and u can forgive even adultery Kwa Sababu wewe unacho kitaka ni MTU wa kuwa anakusaidia ku organise bail unapokuwa matatani.
Na hapo namzungumzia kijana anae fanya kazi halali kabisa ingawa sio rasmi kama vile umachinga, ufundi n.k . Ama Kwa kijana anae fanya shughuli za mission town basi ikiwezekana amtafute hata shemeji yake Na IGP
3. KWA SABABU UNATAKA MBEGU YAKE: Mfano wewe ni mfupi , unataka kupata watoto warefu , basi nenda pale South Sudan tafuta binti mrefu oa au unataka kuwa na watoto chotara basi unaoa mzungu au mwarabu.
4. WA KUKUHUDUMIA MARADHI AU UZEE : Kama alivyo fanya Mzee Mrema au Mfalme Daud ( 1 wafalme 1:4)
5. KWA SABABU UNATAKA WATOTO FULL STOP
Mwanamke ni shamba linalo tembea. Tofauti Kati ya mwanamke na shamba la babu yako analotumia kulima mbilimbi huko kijijini kwenu Isungachupi ni kwamba Hilo Shamba la babu yako halijijui kama lina exist lakini mwanamke yeye yupo conscious kwamba ana exist.
Wewe Ni mkulima mwenye jembe ( dushe) Ili uitwe mkulima bora ni lazima upate mazao Tena yaliyo Bora . So unahitaji kupata shamba Zuri lililo Na rutuba upande mbegu zako ziwe incubated for 9 months Kisha upewe zao au mazao yako.
So unapoenda kuchagua Shamba Kwa ajili ya Kupanda mbegu zako unatakiwa kuzingatia kanuni ya UDONGO NA MBEGU kanuni ya UDONGO NA MBEGU inasema kwamba ili upate mazao Bora Ni lazima upande mbegu zako kwenye ardhi nzuri.
Ukipanda mbegu zako kwenye shamba lenye ardhi nzuri utapata mazao Bora Kwa Sababu mbegu zako zitakuwa favoured Na ubora wa udongo lakini ukipanda mbegu zako kwenye udongo mbaya basi utapata mazao mabaya au hutopata mazao kabisa..
So ninacho kihitaji kutoka kwake sio heshima Wala mapenzi. Ninacho kitaka kutoka kwake ni watoto. Mkulima sihitaji shamba langu linipende Wala liniheshimu . Ninacho hitaji ni mazao Tu. Heshima akimuheshimu baba Ake inatosha. Kupenda akimpenda mama ake inatosha pia.
The only real thing that u can get back from ur woman is ur children. Other things are nothing but fake and fake only.
Sababu nyingi mno nyingine unaweza kuongezea wewe mwenyewe..
Kikubwa usioe Kwa Sababu eti umempenda mwanamke huyo
Oa Kwa Sababu tofauti na kupenda/mapenzi . Wewe ndio utakuwa umeoa Kwa Sababu ambazo ni sahihi.
Hata wanawake huwa hawaji kwenye ndoa Kwa Sababu eti anakupenda. Noope huja Kwa Sababu tofauti kabisa ambazo hazihusiani na mapenzi kama vile kufuata Mali, urahisi WA Maisha, watoto wake kusoma n.k( Joyce Kiria anasema alikubali kuolewa Na DJ Nelly Kwa Sababu hakuwaga na Kodi ya nyumba so aliamua kuolewa ili akae sehemu bila kulipa kodi
View attachment 2163737
View attachment 2163787
🤣🤣🤣Shikilia hapahapa Bro. Wasikutoe kwenye Reli.
Sio kweli. Mimi niliozwa kwa kile tunachoita family integrity keeping miaka hiyo na sikupata kuchagua na ilibidi niishi nae na sikupewa choice Bali ilibidi nijifunze kumpenda kadili siku zinavyoenda. Nasema hadi Sasa ni mke wangu wa miaka 31 na hatujatetereka hadi Leo.
Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile aa
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna ki njemba kimoja hakina mbele wala nyuma,Kilienda kuoa Kwa tajiri kikiwa na lengo la kuinuliwa kiuchumi na demu alikuwa alikuwa kashakielewa kijamaa licha hakikuwa na kitu.Baba mkwe alikijengea nyumba kali pamoja na mwanae na ki jamaa kikapewa mtaji saivi kina bang town na mtoto mkali wa tajiri na maduka ya jumla uchumi uki shine.[emoji2]
Sasa wewe oa kisa tako au kisa mguu wa bia au kisa umekufa umeoza kwake hujiwezi uone show yake[emoji4]
He is the true son of his father. Ehee ikawaje mkuu?Japo umeandika kiwepesi na mzaha ila kuna pahala umegusa uhalisia,, mimi kuna mwanaume aliniambia kabisa sababu kuu ya kutaka kuoa anahitaji mwanamke wa kumzalia watoto wazuri,, maana sura yake anaona iko 'personal', vigezo vingine vipo ila hasa alitaka watoto wazuri na alitaka mwanamke mwenye watoto/ mtoto ili aone mfano wa uzao wake utakavyokuwa,, kwahiyo bhana kuna wanaume wana maamuzi na hesabu zao kali,
This is what I am talking about. Watu watafute kisa cha Rais mmoja wa Afrika ambae binti yake mrembo akiwa anasoma Marekani alikutana na jamaa msenegali aliekuwa akisoma na kucheza kikapu nchini humo. Baba MTU alimtuma mama wa binti huyo kwenda Marekani kumwambia binti yake aachane na mwanaume huyo haraka Sana.Sio kweli. Mimi niliozwa kwa kile tunachoita family integrity keeping miaka hiyo na sikupata kuchagua na ilibidi niishi nae na sikupewa choice Bali ilibidi nijifunze kumpenda kadili siku zinavyoenda. Nasema hadi Sasa ni mke wangu wa miaka 31 na hatujatetereka hadi Leo.
Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
Kaoa mdada aliyemkuta akiwa na watoto watatu, ishu ya msingi apate watoto wazuri kimuonekano, hata wawili tu, ila hii inafanya kazi ukiwa na uwezo mzuri kiuchumi kinyume na hapo ni ngumuHe is the true son of his father. Ehee ikawaje mkuu?
Yes mwanaume unae taka kuoa lazima uwe Na uwezo WA kumudu gharama ZA kumtunza mke wako.Kaoa mdada aliyemkuta akiwa na watoto watatu, ishu ya msingi apate watoto wazuri kimuonekano, hata wawili tu, ila hii inafanya kazi ukiwa na uwezo mzuri kiuchumi kinyume na hapo ni ngumu
Wakiwepo Kama wewe kumi nadhani nchi hii ingekuwa mbali sana,,Yes mwanaume unae taka kuoa lazima uwe Na uwezo WA kumudu gharama ZA kumtunza mke wako.
Ninyi Ni Malaika WA Mungu ambao mnatakiwa kuishi kwenye pepo.
Hata Mungu alimpa Kwanza Adam pepo( Eden) Kisha ndio AKAMPA Hawa