Wanaume walio oa Kwa sababu hizi ndio wamepatia kuoa

Ndo maana alitaka mwanamke mwenye watoto tayari ili aoneepo mfano, alifatilia asili ya mwanamke husika, chotara wa kihindi/kiarabu angepata huyo pia angeoa, ama asili ya usomali, habesh tutsi aliangalia humo,,ila tu awe mtanzania kwa kuzaliwa na makuzi,aliamini hata akitoka na sura yake ila sio kwa asilimia zote,,

Halafu huyo mtu huko alishakuwa na watoto kwa mujibu wake watoto wametoka na sura personal hasa wa kike Sasa anasemaga eti kampa taabu bintiye havutii kimuonekano so hakutaka kurudia kosa, alisisitiza nahitaji mwanamke wa kutazamika anichanganyie damu anipe watoto wazuri
 
"Huna hisia nae" ndio kitu gani?
Utandawazi unawavuruga sana watu kwa kuwalisha mind controling mashudu. Mwanaume yeyote aliye kamili lazima awe na hisia kwa mwanamke yeyote aliye kamili ( na hii ndio namna nature ilivyo tushape).

There is no such thing as love, there is only personal interests.
 
Nakazia
 
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]jamani dunia ina mambo sana!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Umenikumbusha Binti mmoja hivi alienda kwa Mganga akitaka Mwanaume tajiri. Kumbe haya yanawezekana

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Genious
 
Je utampa sababu hizi huyo mwanamke ili ikiwezekana naye asiwe na mapenzi ya dhati kwako?
Na wanawake nao waolewe kwa sababu zipi, japo zipo zinazoingiliana.
 
Uko sahihi
 
Afadhali umesema wewe mkuu huyo jamaa ameujua ukweli lakini hataki kuukubali Kwa Sababu unamuuma Na labda amesha kosea kuoa tayari
Kuna mtoto wa dada yangu alioa mwalimu, watu wakaanza kumsema umempendea nini huyu mwanamke. Kumbe alilenga mbali. Alijua wazazi wake hawana kipato kikubwa so akioa mwalimu wazazi watatibiwa kwa bima, yeye anafanya bishara zake so anatibiwa yeye, watoto na wazazi wake. Mpaka leo ni 15 years wako pamoja. Aliachana na pisi kali hiyo ,ilikuwa na vizinga na kupenda mambo makubwa.
 
Thread hii inaonyesha Jinsi Gani Wanaume wamechanganywa na Wanawake mpaka Mmewakatia Tamaa

Mwanaume utapitia Stage zote hizo ila Moyo wako ndio utaamua. Utaoa ila Utamtafuta Ambaye Moyo wako ukimuona Utapump Fast that is Love
UKioa au kuoa kwa kigezo cha upendo pekee imekula kwako. Nilifanya hili kosa na sitakaa nirudie. Baada ya miaka 5 nikaona hatuwezi kwenda popote. I called off. Upendo una tabia ya kupungua ,kama hakuna kitu kingine cha ku offer utajuta kuzaliwa.
 
Wanaume waliooa Kwa sababu ulizotaja wewe walishawahi kutendwa na hawana tumaini la mapenzi tena yaani ulimwengu wa mapenzi sio wao tena , nafsi ya mtu imeumbiwa kupenda , ili inahtajika something with negative power kuweza kuondoa hyo Hali ya kupenda , na ikishaondoka ndo ulivyosema wew kinawezekana
 
Wanaanza kukuchapia mapema tu hata kama hujafulia

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Well noted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…