Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

Watu wamenunuliwa magari,
Wamejengewa nyumba,
Wamepelekwa serengeti na tarangire,
Hivyo vyote ni kazi ya pm rafiki we ulikuwa hujui na miaka yote uliyoishi humu 😅😁😁😁😁
 
Hao ndo ma don wa hapa JF mkuu. Usijilinganishe nao!
 
Watu wamenunuliwa magari,
Wamejengewa nyumba,
Wamepelekwa serengeti na tarangire,
Hivyo vyote ni kazi ya pm rafiki we ulikuwa hujui na miaka yote uliyoishi humu [emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Dah,..
Umenifanya nitabasamu.
Kumbe kuna mengi humu..,kwahiyo mtu akifanyiwa hayo uliyotaja anakuja kukusimulia?
Au wewe ndiye mfanyaji?

Unaniwazisha ujue,[emoji848]
 
Dah,..
Umenifanya nitabasamu.
Kumbe kuna mengi humu..,kwahiyo mtu akifanyiwa hayo uliyotaja anakuja kukusimulia?
Au wewe ndiye mfanyaji?

Unaniwazisha ujue,[emoji848]
😅😅😅😅😅😅, nacheka kama tahira ni hivi jf ni kama mkoa tu wenye watu,

Hivyo kuna watu wa kila aina humu mambo ni mengi sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Sasa ww kama member unachagua uishije humu

Mi nimeamua niwe mfuatiliaji tu wa mambo ya watu, ndo nimejua hivyo vitu.

Sina uwezo wowote wa kiuchumi wa kumjengea mtu nyumba, kumnunulia gari au kumpeleka tarangire mi ni kapuku. Ila jua tu kuna ma don humu.

Anyway nimekutag uzi wa vituko mtandaoni shinda kule utakutana na huyo rafiki ako mshana
 
Poa,
Nitaitika kwenye tag.[emoji106]
Pia nitajitaidi kuzungukia vizuri kijiji chetu ili wanakijiji wanitambue,
Shukrani
 
Bila kuwemo Mpwayungu Village hiyo list ni batili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…