Wanaume wanaofanya kazi hizi huufurahia sana uumbaji wa mola. Wanafaidi mema ya nchi

Wanaume wanaofanya kazi hizi huufurahia sana uumbaji wa mola. Wanafaidi mema ya nchi

hata watumiaji wa JF wanawafaidi sana mashangazi wa Upanga
 
Tafuta hela uache kuona Mkaanga chips, fundi simu,, bodaboda,wasusi wa kiume na hao master kucha wanafurahia uumbaji wa Mungu,,,



NARUDIA TENA TAFUTA PESAAAAAA [emoji855][emoji41]
Nakaziaaa!!!
 
Mimi nlichogundua kwa wadada ni viwil tu unawaburuza


1.kua handsome


2. Kua na pesa

Wadada wame base hapo tu....
Uko sahihi,ukiwa na kimojawapo kati ya hivi utawaendesha utakavyo hawanaga ujanja.
Wale wengine waliotajwa na mtoa mada huwa wanapewa mara moja moja kwa kuonewa huruma tu
 
tuulize sisi wenye crown zetu mjini tunawatafuna vibaya mno
 
Back
Top Bottom