JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
hata watumiaji wa JF wanawafaidi sana mashangazi wa Upanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hatua ya mwisho kuwavutia kwanza af wakija wakute moto 😅Na kupiga mashine kisawa sawa
Me ndo nasikia leooo hahahahhLugha imekua.Ari yuu e "chipser"?😂😂😂
Walimu wa sekondari1. Daktari wa Magonjwa ya Wanawake.
2. Lecturers
3. HRs
4..
Kuna sisi madalali
Nakaziaaa!!!Tafuta hela uache kuona Mkaanga chips, fundi simu,, bodaboda,wasusi wa kiume na hao master kucha wanafurahia uumbaji wa Mungu,,,
NARUDIA TENA TAFUTA PESAAAAAA [emoji855][emoji41]
Hiyo no 2 ndo enyewe sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nlichogundua kwa wadada ni viwil tu unawaburuza
1.kua handsome
2. Kua na pesa
Wadada wame base hapo tu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata watumiaji wa JF wanawafaidi sana mashangazi wa Upanga
MtafungwaUalimu hasa wa sekondari
Njia panda ya jela hiyoWalimu wa sekondari
Wauza bucha,madereva na wauza urembo/duka la mangi.Nimefanya utafiti wa kutosha. Hivyo nina 100% na kile ninachokizungumza
(a) Fundi Simu
(b) Chipser (Mkaanga Chips)
(c) Bodaboda (Afisa Usafirishaji)
(d) Wasusi wa kiume na wapaka rangi kucha
(e) ?
CCM sijui kwa level gani.Na sie maafisa chichiemu?
Uko sahihi,ukiwa na kimojawapo kati ya hivi utawaendesha utakavyo hawanaga ujanja.Mimi nlichogundua kwa wadada ni viwil tu unawaburuza
1.kua handsome
2. Kua na pesa
Wadada wame base hapo tu....