Clepatina
JF-Expert Member
- Apr 8, 2023
- 1,266
- 2,577
Roho wa Mungu ametamalaki juu yangu na kunituma kuandika huu uzi ili kuokoa ndoa na mahusiano yanayokaribia kuvunjika kwa jambo alillolitengeneza Mungu.
Ninaongea na wewe mwanaume ambae umechoshwa na kiburi,gubu,jeuri na maneno ya kukera ya mkeo.
Pole sana baba.Najua hicho sicho ulichokitegemea siku ile unamtolea mahari.
Najua ulitegemea awe mpole,mtiifu,mnyenyekevu,msikivu na asiye na udhubutu wa kukupandishia sauti tena ya ukali lakini haya ndo yametamalaki ndani mwako na ushamchoka na unafikiria umuache utafute mwingine asiye na viburi na visirani.
Roho wa Mungu kaniagiza nikuambie kuwa kabla hujamuacha mkeo kwa viburi/visirani na gubu nihakikishe unajua kitu inaitwa PMDD yaani Premenstrual dysphoric disorder.
Wote tunajua wapo wanawake wana tabia)mdomo mchafu kutokana na malezi n.k ila wapo wanawake ni wake wema kabisa,wana malezi bora,wana hofu ya Mungu na wamejitoa kuishi kwa unyenyekevu na utii kwa waume zao ILA wanapokua kwenye siku zao wanageuka kuwa LADIES FROM HELL. Ananuna bila sababu, anakua mkali,kila kitu kwake ni kibaya.Namaanisha mkeo anakua na changamoto za "kiakili".
Wanaume wengi mkisikia hedhi kitu kinachokujia akilini ni damu ila nawaomba sana mjue,kwa mwanamke damu ni sehemu ndogo ya hedhi.
Mwanamke anapokua/karibia hedhi HORMONES zinafanya mwili na akili za mwanamke vinakua upside down na mwanamke anabadilika muonekano na tabia katika hizi siku za hedhi.
Hizi hormones zina nguvu sana kwa mwanamke kiasi kwamba kuna wanawake wakiwa mwezini wanakua suicidal, yaani wanakua wanaona kila kitu ni kero na kibaya.Kama kaolewa mumewe anaweza akamuambia kitu cha kawaida tu yeye kikamkwaza kikamuuma mpaka akatamani ajiue kumbe sio akili yake ni hormones zinam control.Na sio kwa mume tu,anakua hivyo kwa kila mtu.
Asipotamani kujiua ndo hivyo atanuna wee au utamuambia kitu cha kawaida atakupa majibu ya ajabu ajabu hadi ushangae na Wapo wanawake wakiwa hedhi wanaumwa hadi wanalazwa hospitali.
Unafikiri ni kwanini Mungu alisema wanawake tuwatii wanaume na Mungu huyo huyo ndo akatuumba wanawake akiwa katuwekea hizi hormones zinazosababisha sometimea baadhi(BAADHI) yetu tuwe na viburi na gubu?
Mimi sijui ila ninachojua mmeambia muishi na wanawake kwa akili.Sasa leo nakuongezea akili kidogo zitakazokusaidia kuishi na sisi wanawake.
Kabla yakufikiria kumuacha mkeo hebu kwanza ujue mzunguko wa hedhi wa mkeo.Is she a witch wiki moja au mbili kabla ya kuona siku zake? Je akishaona)maliza anarudia kuwa malaika?
Kama unagundua anakua wa "hovyo" sambamba na hedhi basi huyo sio akili zake na wala hajifanyishi.Hormones zinampelekesha huyo.Wewe cha kufanya ISHI NAE KWA AKILI ya ziada kipindi hicho.Sio tena ndio na wewe uanze kupelekeshana nae uzidi kumtibua.Ukitaka kwenda nae head to head na wewe utakua "chizi" tu kama yeye na nyumba yenye machizi wawili lazima ibomoke.
Pia ieleweke kila mwanamke anaathiriwa tofauti na hormones za period sasa usije ukasema mbona mke wa kaka yangu au jamaa yangu kasema mkewe yuko poa tarehe zote.
Mfano mimi siumwagi tumbo wala sina mood swings(au ninazo sijijui,ukiwa chizi hujijui) ila huwa nakosa appetite ya kula na vizunguzungu.
Mbali ya hedhi pia mwanamke akiwa mjamzito mambo ni yale yale HATUJIFANYISHI.Mabadiliko ya mwili na akili ni makubwa sana.
Najua kuna wachache wachache mtakaonielewa na kuokoa ndoa zenu ila kuna mtakaoniona nimeandika vapour sbb tayari mshaamini wanawake ni wengi ila wakuoa ni wachache,sawa sikatai ila wanawake wazuri pia wapo.Hii machinery ya kutotolesha watoto msiichukulie poa jamani,inapitia mengi.
KINGINE:Nashauri kabla ya kuoana TUPIMAME AFYA YA AKILI KWANZA.Achana na hormones za hedhi.Unaweza oa/olewa na mtu ukimuona yuko poa tu kumbe mtu hayuko sawa kiakili.Kichaa sio anaokota makopo tu.Maofisini makazini wapo watu wasomi wanaongea fresh tu ila ni vichaa.Unaweza oana mwanzoni yuko poa badae kitu ika trigger wazimu ukapanda viburi,chuki,majibu ya hovyo,sexy fantansiies za ajabu na wengine mpaka kuuana kumbe ulioa 'mgonjwa'.Kwa wanawake anaweza kuwa vizuri tu ila akapata kichaa cha mimba na asikae sawa tena.Haya mambo yapo ni real na tusiyachukulie poa.
Suala linaloenda kupekenyua ubongo wa mtu haliponi kwa vibao wala matusi bali kwa hekima na hata maombi kwa wenye imani .
Narudi zangu kulala nikiwaaga kwa kusema WANAUME WETU TUNAWAPENDA TUNAWAHESHIMU NA TUNAWATII ILA TUNAWAOMBA MTUVUMILIE SOMETIMES SIO AKILI ZETU NI HORMONES
Joannah