ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Kwa utafiti upi ?10. Usela mavi
11. Tatizo la kisaikolojia
12. Inferiority complex
14. Ukosefu wa nguvu za kiume
13. Ushoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa utafiti upi ?10. Usela mavi
11. Tatizo la kisaikolojia
12. Inferiority complex
14. Ukosefu wa nguvu za kiume
13. Ushoga
Ongezea huyo manzi alikuwa mjamzito na alienda hospital kujifungua.Na tatizo kubwa la wanaume wenye ndoa Ni kugongewa wake zao na akina sisi tusioa[emoji23]
Juzi Kati nchini Uganda Kuna jamaa alimfumania mkewe hospitilini akiliwa na dogo mwenye miaka 22.
Ndoa ni ubatili mkubwa Sana jamani.
Hakika, una oaje huku bado una utitiri wa mijanamke nje ? si bora unge acha tu.Mtu aliyeoa ni yule ambaye Hana michipuko .
Wengine mmeaoa ndoa uchwara
Mkuu ubaya ni kuwa jamii kubwa ya kiafrika imeiweka elimu kando, kiufupi haina elimu ina fanya mambo mengi kama kasumba.Una fikra duni sana zilizojawa na uoga na wasiwasi usio na sababu yoyote Ile, au ni ujinga wa kuwa na social conformity, yaani unakosa self will.
Usijizime data, Kila mtu anajua unafiki wa ndoa, hata wewe unajua. Unaposema "ndoa ni kuvumiliana, eti Kila mtu na mapungufu yake" nakosa kabisa sababu ya kuvumila huo unafiki. Yaani uvumilie kitu pasipo na faida yoyote!
Nisiandike mengi sana;
Nitajie faida moja tu ya KUOA ambayo asyeoa haipati.
Hivi Yesu alioa?1. Wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa hivyo wana experience mbaya (Adverse Childhood Effect).
2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua magumu hawatayamudu au mke atatumia mali zake.
3. Wanauelewa mdogo wa binadamu, wakiamini ili waoe basi wapate mtu ambae hatakua na dosari hata moja, huu ni ujinga, hakuna aliekamilika.
4. Hawana imani ya dini na wamejihalalishia zinaa.
5. Ni malimbukeni wa kufata mkumbo.
6. Wao wenyewe ni wenye tabia mbovu, hivyo kila wanaemuona wanaamini anatabia mbovu kama za kwao.
7. Wanauwezo mdogo wa ku jaji mambo, wakiona mwenzao anasumbuliwa basi wanamini nao itakua hivyo, au waliumizwa huko mbeleni.
Kwanini ni muhimu mwanaume kuoa?
1. Kupata watoto na kuwatengenezea umoja, kuwa na watoto bara na pwani, kila mtoto na mama yake, ni chanzo cha mgawanyiko wa familia nyingi. Unapooa unatulia na familia yako.
2. Kupata safe sex na halali, unapooa, unasex kwa halali na unakua na uhakika wa uwena wake na usalama, hamsaidii mwanaume kusex na wanawake hivyo hovyo.
3. Kupata mashirika wa karibu, kitu amambacho wanaume hawajui, kadri unavyozeeka ndo unahitaji mtu wa karibu sana kua na wewe, mtoto wako wa kike au wakiume hawezi kukuhudumia ukishazeeka, mke wako atafanya hivyo. Pia ni raha kuwa na mwandani wako mnaeshare mambo yenu mbali mbali.
Kuna mambo nakubali si ya kuvumilia hata kidogo, hasa suala la usaliti, lakini kwa asilimia kubwa mambo mengi ni kuvumiliana, hakuna aliekamilika na hatatokea, cha msingi ni kupata ambae anamapunguvu unayoweza kuyavumilia, pia uamini pia wewe mwenyewe unamambo ambayo mwenzio anakuvumilia.
Ndoa ni raha, ndoa inaleta utulivu.
My dedication to my beloved wife is " One friend" by Dan Seals
Kukamilika kiakili ki vipi ?Ndoa ni kwa wanamume tena waliokamilika kiakili sio kwa wanaume au wavulana..
Jamani oeni wanawake ambao ni wa hadhi zenu watakaowatii na kuwaheshimu na kuheshimu ndoa mbona bado wapo
Mwanadamu sio jiwe.... mwanadamu ni kiumbe chenye nafsi huru........ndio maana waliokuwa marafiki wakubwa usishangae wanakuwa maadui wakubwa.....na maadui wakubwa wanakuwa marafiki..........Mkuu shida sio ndoa tatizo vijana tunaoa watu wasio sahihi ndio maana tunaona ndoa sio nzuri ila ukibahatika kuoa Binti aliyelelewa na wazazi wote wawili vizur utaenjoy shida tunaoa masterduu hapo ndiyo changamoto.Na mabinti waliolelewa upande mmoja ni changamoto labda ubahatishe.
Wanaume wanaopinga ndoa wana matatizo hasa ya malezi, na wengine hawana nguvu za kiume wameingia kwenye mkumbo wa kupinga ndoa ili kuficha madhaifu yao. Sina data...ndivyo ilivyo according to me.Nimehitaji data kuthibitisha kuwa wanaume wasio oa wana upungufu wa nguvu za kiume ? Ni rahisi tu unaweza kufanya hivyo.
Basi usinge toa hilo hitimisho katika kundi la watu.Sina data...
Maisha ni magumu mtaani. Vijana tuko na hali mbaya. Pasi ndefu haiwezi kupigwa na familia. Unaweza kuuvumilia ubao ukiwa pekeyako na mtu hawezi jua kuwa koo limekauka. 😀Sio kweli ni mfumo tu wa maisha walio chagua wao, jamii yetu hii ya kiafrika haina elimu ndio maana hutafsiri hivyo.
N story ndefu ,ilaa baba alikuwaa jemedari kweli kwelii maana hata baada ya kufariki alituachia Mali za kutoshaa ,mashamba na madukaa kadhaa ,Mali alizoziacha zimetubebaa sana kwa kusimamiwaa na kaka mkubwa na mkewee ...mkee wa kaka tulimgeuza kuwa mama mm na ndugu zangu ,,,,ila now day MUNGU mwema maisha yanasongaa ,n story ndefuu sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Malezi ckupingii....Wanaume wanaopinga ndoa wana matatizo hasa ya malezi, na wengine hawana nguvu za kiume wameingia kwenye mkumbo wa kupinga ndoa ili kuficha madhaifu yao. Sina data...ndivyo ilivyo according to me.
Neno langu sio sheria..
Inasikitisha Sana kwa kweliOngezea huyo manzi alikuwa mjamzito na alienda hospital kujifungua.
Ndoa ndoano mkuu...Nna kaka angu nae alikuwa anapigwa na mkewe alinyanyaswa sana alikuwa anapelekeshwa aisee ila wameachana angeuliwa aiseee sijui inakuwaje mtu anakuwa dhaifu kiasi kile
Hao wasio na nguvu ndo wanashabikia kataa ndoa ili waonekane hawataki kuoa kwasababu ya matatizo ya kwenye ndoa kumbe kuna wanachokificha.Malezi ckupingii....
Ilaa kukosa nguvu za kimue c kwel maana kukosaaa nguvu za kiume niugonjwa km magonjwa mengine ambayo yanatibikaa km ukifata masharti ya docta na kuzingatiaa dawa.n km vile ukiumwa malaria unaenda hospital unapewa dawa ukizngatia unaponaa....ss cjui ww unazungumzia ukosaji gan wa nguvu za kiumee madam Demi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio inakuhusu wewe umejielezea wewe, hizo points zote ni za enzi za ujima sio enzi hizi za maisha ya kijanza na yenye vibes za maana.1. Wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa hivyo wana experience mbaya (Adverse Childhood Effect).
2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua magumu hawatayamudu au mke atatumia mali zake.
3. Wanauelewa mdogo wa binadamu, wakiamini ili waoe basi wapate mtu ambae hatakua na dosari hata moja, huu ni ujinga, hakuna aliekamilika.
4. Hawana imani ya dini na wamejihalalishia zinaa.
5. Ni malimbukeni wa kufata mkumbo.
6. Wao wenyewe ni wenye tabia mbovu, hivyo kila wanaemuona wanaamini anatabia mbovu kama za kwao.
7. Wanauwezo mdogo wa ku jaji mambo, wakiona mwenzao anasumbuliwa basi wanamini nao itakua hivyo, au waliumizwa huko mbeleni.
Kwanini ni muhimu mwanaume kuoa?
1. Kupata watoto na kuwatengenezea umoja, kuwa na watoto bara na pwani, kila mtoto na mama yake, ni chanzo cha mgawanyiko wa familia nyingi. Unapooa unatulia na familia yako.
2. Kupata safe sex na halali, unapooa, unasex kwa halali na unakua na uhakika wa uwena wake na usalama, hamsaidii mwanaume kusex na wanawake hivyo hovyo.
3. Kupata mashirika wa karibu, kitu amambacho wanaume hawajui, kadri unavyozeeka ndo unahitaji mtu wa karibu sana kua na wewe, mtoto wako wa kike au wakiume hawezi kukuhudumia ukishazeeka, mke wako atafanya hivyo. Pia ni raha kuwa na mwandani wako mnaeshare mambo yenu mbali mbali.
Kuna mambo nakubali si ya kuvumilia hata kidogo, hasa suala la usaliti, lakini kwa asilimia kubwa mambo mengi ni kuvumiliana, hakuna aliekamilika na hatatokea, cha msingi ni kupata ambae anamapunguvu unayoweza kuyavumilia, pia uamini pia wewe mwenyewe unamambo ambayo mwenzio anakuvumilia.
Ndoa ni raha, ndoa inaleta utulivu.
My dedication to my beloved wife is " One friend" by Dan Seals
Napenda kuwa malaya. Am proud.Huwezi kujadili hii mada muhimu, mawazo yako ni ya kimalaya sana.