ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Kubishana na nature ki vipi ?Rekebisha hapo kwenye "wanaume wa JF"!Wasiopenda,kuogopa na kuepuka kuoa ni wanaume wa sampuli ya peke yao.Wanabishana na nature.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubishana na nature ki vipi ?Rekebisha hapo kwenye "wanaume wa JF"!Wasiopenda,kuogopa na kuepuka kuoa ni wanaume wa sampuli ya peke yao.Wanabishana na nature.
Watu sahihi ni wapi hao ?Mkuu shida sio ndoa tatizo vijana tunaoa watu wasio sahihi ndio maana tunaona ndoa sio nzuri ila ukibahatika kuoa Binti aliyelelewa na wazazi wote wawili vizur utaenjoy shida tunaoa masterduu hapo ndiyo changamoto.Na mabinti waliolelewa upande mmoja ni changamoto labda ubahatishe.
Mtu aliyeolewa akiliwa na mwanaume wake ni halali kama mtu mwingine akifanyq hivyoo anajiharibia ndoa yake niraha mwanzoni ila muendelezk ni mmbaya haya .Na tatizo kubwa la wanaume wenye ndoa Ni kugongewa wake zao na akina sisi tusioa😂
Juzi Kati nchini Uganda Kuna jamaa alimfumania mkewe hospitilini akiliwa na dogo mwenye miaka 22.
Ndoa ni ubatili mkubwa Sana jamani.
Una mshauri vipi mke anaye pigwa na mumewe nusu kufa ?Zikabili siyo kukimbia.Haujaletwa duniani kucheza kibindankoi!
Pole sanaHyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maisha gani utaya furahia ukioa tofauti na usipo oa ? Zingatia vitu vya msingi vinavyo patikana kwenye ndoa pekee.Nini hasara?Hasara roho!Oa ujiinjoi maisha!
Una fahamu sifa na tabia za wanaume wote hapa duniani ?Tushawachambua kundi gani ni wanaume na kundi gani linasindikiza genge.
Wenye mitazamo tofauti mko wachache sana. Wengi ndo wanakujaga kutukana ooh feminists ooh single mother sasa unakuta thread ina comments elfu tatu wanaume wanaongea sera za kitoto ilibidi kaka zao muwarekebishe maana wanawafanya wote muonekane design hiyo kumbe sio
Aisee🤔Mtu aliyeolewa akiliwa na mwanaume wake ni halali kama mtu mwingine akifanyq hivyoo anajiharibia ndoa yake niraha mwanzoni ila muendelezk ni mmbaya haya .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimepaliwa kwa kicheko.Utaskia eti, yaani mi
Nioe af nije nigawane mali na mwanamke never. Ukimuuliza una mali gani, subwoofer na kitana. Mbafffffff🤣
Hakika na ujinga ni miongoni mwa vitu vitatu vikuu vinavyo liangamiza taifa hili.Mtoa mada ni mjinga
Kumbe ume kiri kuwa kuna watu wenye mawazo tofauti na jamii pia tambua wanaume wote dunia hawa fanani mawazo, tabia na hata sifa.Wanawadhalilisha kiukweli. Sasa mtafananaje wakati mna mawazo tofauti.
Mara nyingi hizo adha ni sababu ya kipatoDuuh! baba alikuwa mlemavu au alikuwa Mpole sana? inakuwaje mwanaume anyanyaswe na mkewe kiasi hicho? alizidiwa kipato na mama? hebu dadavua ndugu. Mke wangu hana ubavu hata wa kunisonya!!
Wewe ni mjinga jitahidi kujielimisha.Hili nalo neno. Wanataka wanaume kamili wawaoe wao🤣 wanawamba ngoma upande wao
Wapo wanaume wasiopenda ndoa na sio ndoa tu hata mahusiano ya kimapenzi kwao ni kero jitahidi kusoma tabia na sifa mbalimbali za wanaume wala hauta staajabu hili.But, hakuna mtu anachukia ndoa wala hapendi ndoa. Ndoa ni tamu sana(Nasema kwa nadharia).
Poleee, sio wanawake wote wako na roho ya ukatili kama huyo.Hyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauwezi kupata maendeleo bila kuwa na mke huu ni ujinga na upumbavu ulio walemaza wanaume walio wengi kwa kiwango kikubwa.. kama huwez fanya kitu cha maendeleo bira Usaidiz wa huyo unaye muita mke inabid tukupime akili