Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Hauwezi kupata maendeleo bila kuwa na mke huu ni ujinga na upumbavu ulio walemaza wanaume walio wengi kwa kiwango kikubwa.
Gharama ya UTAJIRI wa single ni kubwa Sana kuliko alieoa!

Utafutaji unamafanya mwanamme asiwe na Muda wa kujipikia hivyo hula hotelini na na kuongeza gharama ya Maisha ya KILA SIKU!

Pia kuhonga KWA ajili ya penzi na out ni kubwa Sana na inamkosti single man!!

Nilisoma hiyo zamani Sana!

Mwendo ukawa wa kinyonga
 
Mke ni chanzo cha Umaskini pia ni kikwazo cha maendeleo, ndoa zimekuwa miradi wacha kupotosha watu

Tafuta pesa ishi vizuri mtoe mama yako uswahilini mpeleke ushuani fanya wazazi wako wajivunie uwepo wako.

Watoto wa kutosha bila kusahau premarital agreement, Mwanaume halisi anafanya hivyo, sasa wewe uliyesoma uzi wa jamaa jiroge nenda kaoe utakaa ukijuta maisha yako yote.
 
Hyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana
 
Back
Top Bottom