antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo huna hata hawara mana unawaogopa wanawake wote unawaona kama nyoka. Huna hata mwanamke/hawara/ girlfriend?Kwangu mm n woteee maanaa uhalisiaa wa mwanamkeee jinsi alivyo na ni nyoka kiasi gan nilishuhudia kwa mama alinibebaa miezi tisaa ,,je huyo ntakae kutanae labda ktk ndoaa c n shetan zaidi ,,atakuwa na huruma gan kwangu labdaa ashindwe kunifanyaa ktu mbayaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo umekubali kumpikia?Utoto raha sana[emoji28][emoji28]
Ila twende mbele turudi nyuma, kijana hutaki kuoa/kuolewa utofauti wako na shoga/lesbian ni upi, tena kuna baadhi ya mashoga/lesbians nawajua wameoa/kuolewa.
Mwanaume hatakiwi kuwa na visingizio, kukabiliana na changamoto ndo uanaume[emoji28][emoji28]
ukigongewa nawewe gonga, usipogonga jua utagongewa[emoji3516]
What else[emoji124]View attachment 2483609
Mzee wa Punyeto ,,itakuua shauri yako
Chapaa ilaleee.....Kwa hiyo huna hata hawara mana unawaogopa wanawake wote unawaona kama nyoka. Huna hata mwanamke/hawara/ girlfriend?
Si ata wewe unaona nimekubali mkuu kwan shida iko ap[emoji1787][emoji1787]Kwahiyo umekubali kumpikia?
Sio kweli. Mbona anakuwa na wanawake kadhaa na anawazalisha na kuwaridhisha na wengine wanakula wake za watu?Kiufupi mwanaume asie taka kuoa hana zana za kufanyia kazi inayompeleka kwenye hiyo ndoa anaogopa kuaibika. Ova[emoji1787]
59 seconds rule [emoji38]
Upo sahihi vijana wengi wanao changia hii mada kama sio wajinga basi ni wapumbavu na walimbukeni wasio na ufahamu mpana wa mambo mbalimbali hapa duniani.Mbona Mna hasira na wanaume ambao wamechagua kutooa. Kwani wanakuwa wamepunguza nini duniani kwa kutooa.
Plus wanawake Sasa hivi wamesema they don't need a man so why mnawapigia kelele wanaume ambao wamejichagulia kukaa pembeni.
Je wameathiri Uchumi WA duniani
Je wameongeza joto duniani
Waacheni kwanza watasaidia Kupunguza ongezeko LA watu duniani. So resources zitabalance na watu waliopo
Feminist watainjoy zaidi maana they want to be single and do whatever they want.
And mtoa Mada who told you that mtu asiyetaka kuoa Ana sifa zote ulizotaja halo juu Hiyo research yako ulifanya kwa waseja wangapi? And iko lako limechapishwa wapi.
Plus mbona kama unawafoeka hivi..... Waache waishi watakavyo..... Kila mtu anachagua kile apendacho kama ambavyo mtu anachagua kwenda motoni au MBINGUNI
Una uelewa kiasi gani wa mambo mkuu ?1. Wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa hivyo wana experience mbaya (Adverse Childhood Effect).
2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua magumu hawatayamudu au mke atatumia mali zake.
3. Wanauelewa mdogo wa binadamu, wakiamini ili waoe basi wapate mtu ambae hatakua na dosari hata moja, huu ni ujinga, hakuna aliekamilika.
4. Hawana imani ya dini na wamejihalalishia zinaa.
5. Ni malimbukeni wa kufata mkumbo.
6. Wao wenyewe ni wenye tabia mbovu, hivyo kila wanaemuona wanaamini anatabia mbovu kama za kwao.
7. Wanauwezo mdogo wa ku jaji mambo, wakiona mwenzao anasumbuliwa basi wanamini nao itakua hivyo, au waliumizwa huko mbeleni.
Kwanini ni muhimu mwanaume kuoa?
1. Kupata watoto na kuwatengenezea umoja, kuwa na watoto bara na pwani, kila mtoto na mama yake, ni chanzo cha mgawanyiko wa familia nyingi. Unapooa unatulia na familia yako.
2. Kupata safe sex na halali, unapooa, unasex kwa halali na unakua na uhakika wa uwena wake na usalama, hamsaidii mwanaume kusex na wanawake hivyo hovyo.
3. Kupata mashirika wa karibu, kitu amambacho wanaume hawajui, kadri unavyozeeka ndo unahitaji mtu wa karibu sana kua na wewe, mtoto wako wa kike au wakiume hawezi kukuhudumia ukishazeeka, mke wako atafanya hivyo. Pia ni raha kuwa na mwandani wako mnaeshare mambo yenu mbali mbali.
Kuna mambo nakubali si ya kuvumilia hata kidogo, hasa suala la usaliti, lakini kwa asilimia kubwa mambo mengi ni kuvumiliana, hakuna aliekamilika na hatatokea, cha msingi ni kupata ambae anamapunguvu unayoweza kuyavumilia, pia uamini pia wewe mwenyewe unamambo ambayo mwenzio anakuvumilia.
Ndoa ni raha, ndoa inaleta utulivu.
My dedication to my beloved wife is " One friend" by Dan Seals
Sasa huyo wa kuchapa ilale hawezi kukuua akitaka?
Kwani swala la ndoa ni hiari au lazima ?Hutaki ndoa, unataka uishije? Au unataka uwe kitombi?
Una tambua sifa na tabia za wanaume wote hapa duniani ?Mwanaume anayeogopa kuoa ni mwanaume wa kuogopwa.....yaani ni mwanaume anayeogopa kuwa mwanaume
Wewe ni wakike au wakiume ?Wanaume wa Jf watakuja kukupopoa sasa hivi. Wanajazanaga ujinga hivi hivi😂😂😂 na wengi wanaoanzisha mada za msioe ni wale waliooa na wana familia zao zinaenda vizuri tu. Na mapoyoyo wanaoitikia ni wale ambao vischana vyao vinaliwa na hao waume za watu😂😂akili kumkichwaaa
Unadhani vipaumbele vyako ndivyo vipaumbele vya watu wote duniani ?Kweli kabisa mkuu familia ni kitu Cha mhimu Sana katika maisha ya binadam,mfano mm familia ilisafiri likizo hii ya krismas yaani maisha yalikua magumu sn linyumba unaona halina maana hata kurudi nyumban unaona uvivu,ukizeeka pia familia yako ndio ya kupambana mpaka mwisho ndugu wanaweza wasionekane ila hauwezi ukamtelekeza mzazi labda unatafuta laana.
Mkuu shida sio ndoa tatizo vijana tunaoa watu wasio sahihi ndio maana tunaona ndoa sio nzuri ila ukibahatika kuoa Binti aliyelelewa na wazazi wote wawili vizur utaenjoy shida tunaoa masterduu hapo ndiyo changamoto.Na mabinti waliolelewa upande mmoja ni changamoto labda ubahatishe.Nyakati hizi ukitaka kuishi na mwanamke kwenye ndoa ni lazima ujifanye zoba, ujitie upofu, ujitie kiziwi ndio unaweza kuishi na mwanamke wa nyakati hizi.....lakini ukiishi kama mume ndani ya nyumba hauwezi kudumu naye........
Ndoa ni jambo la msingi kwenye maisha lakini changamoto na varangati yanayotendeka kwenye ndoa yanawaacha vijana dilemma kuamua.......
Nimeshuhudia vijana wengi waliokuwa wamestawi kimaisha lakini wamekuja kuporomoshwa na wake zao..... wengine tumewazika kwa kushindwa kuhimili machungu......
Wapo wanaoishi kwenye ndoa ilimradi lakini kimsingi nafsi zao zimeshakufa na wanatembea kama wafu.........
Zamani nilikuwa nahamasisha vijana wengi Suala la kuoa lakini Siku hizi kijana akinifuata kuniomba ushauri namkwepa sana.....maana kwa namna moja au nyingine nimewaingiza vijana wengi kwenye matatizo nikiwahamasisha waoe.....
Hakuna kijana rijali asiyependa kuoa....,isipokuwa yanayoshuhudiwa mitaani kuhusu wanandoa yanatisha na kutia kinyaa kabisa.......