Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Una fikra duni sana zilizojawa na uoga na wasiwasi usio na sababu yoyote Ile, au ni ujinga wa kuwa na social conformity, yaani unakosa self will.
Usijizime data, Kila mtu anajua unafiki wa ndoa, hata wewe unajua. Unaposema "ndoa ni kuvumiliana, eti Kila mtu na mapungufu yake" nakosa kabisa sababu ya kuvumila huo unafiki. Yaani uvumilie kitu pasipo na faida yoyote!

Nisiandike mengi sana;

Nitajie faida moja tu ya KUOA ambayo asyeoa haipati.
 
Mkuu mimi nipo hapa,umenigusa
2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua magumu hawatayamudu au mke atatumia mali zake.

4. Hawana imani ya dini na wamejihalalishia zinaa.
 
Mkuu ubaya ni kuwa jamii kubwa ya kiafrika imeiweka elimu kando, kiufupi haina elimu ina fanya mambo mengi kama kasumba.
 
Hivi Yesu alioa?
 
Mwanadamu sio jiwe.... mwanadamu ni kiumbe chenye nafsi huru........ndio maana waliokuwa marafiki wakubwa usishangae wanakuwa maadui wakubwa.....na maadui wakubwa wanakuwa marafiki..........

Mnaweza mkaanza vizuri baadae akaja kuwaka tamaa na akawa kiumbe Cha ajabu......watu wengi wanaoteseka au walioteseka kwenye ndoa....hawakuyatarajia waliyokuwa wakifanyiwa na wapendwa wao.......

Usione ukadhani....people change....
 
Nimehitaji data kuthibitisha kuwa wanaume wasio oa wana upungufu wa nguvu za kiume ? Ni rahisi tu unaweza kufanya hivyo.
Wanaume wanaopinga ndoa wana matatizo hasa ya malezi, na wengine hawana nguvu za kiume wameingia kwenye mkumbo wa kupinga ndoa ili kuficha madhaifu yao. Sina data...ndivyo ilivyo according to me.
Neno langu sio sheria..
 

Nna kaka angu nae alikuwa anapigwa na mkewe alinyanyaswa sana alikuwa anapelekeshwa aisee ila wameachana angeuliwa aiseee sijui inakuwaje mtu anakuwa dhaifu kiasi kile
 
Wanaume wanaopinga ndoa wana matatizo hasa ya malezi, na wengine hawana nguvu za kiume wameingia kwenye mkumbo wa kupinga ndoa ili kuficha madhaifu yao. Sina data...ndivyo ilivyo according to me.
Neno langu sio sheria..
Malezi ckupingii....
Ilaa kukosa nguvu za kimue c kwel maana kukosaaa nguvu za kiume niugonjwa km magonjwa mengine ambayo yanatibikaa km ukifata masharti ya docta na kuzingatiaa dawa.n km vile ukiumwa malaria unaenda hospital unapewa dawa ukizngatia unaponaa....ss cjui ww unazungumzia ukosaji gan wa nguvu za kiumee madam Demi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wasio na nguvu ndo wanashabikia kataa ndoa ili waonekane hawataki kuoa kwasababu ya matatizo ya kwenye ndoa kumbe kuna wanachokificha.
 
Hio inakuhusu wewe umejielezea wewe, hizo points zote ni za enzi za ujima sio enzi hizi za maisha ya kijanza na yenye vibes za maana.

Hata mfanyeje chama chetu hakitavunjika na hamtuwezi.

Kauli mbiu kuoa ni ufala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…