Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Sitaoa ila ntakaa na Mwanamke.
Ili akizingua tu ...
Natoa Maelekezo magumu.
Ili akizingua tu ...
Natoa Maelekezo magumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Ni ndoa ndio iliyosababisha huyo mtoto awe na ADE's ni Adverse childhood experiences, (sio effects)1. Wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa hivyo wana experience mbaya (Adverse Childhood Effect).
2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua magumu hawatayamudu au mke atatumia mali zake.
3. Wanauelewa mdogo wa binadamu, wakiamini ili waoe basi wapate mtu ambae hatakua na dosari hata moja, huu ni ujinga, hakuna aliekamilika.
4. Hawana imani ya dini na wamejihalalishia zinaa.
5. Ni malimbukeni wa kufata mkumbo.
6. Wao wenyewe ni wenye tabia mbovu, hivyo kila wanaemuona wanaamini anatabia mbovu kama za kwao.
7. Wanauwezo mdogo wa ku jaji mambo, wakiona mwenzao anasumbuliwa basi wanamini nao itakua hivyo, au waliumizwa huko mbeleni.
Kwanini ni muhimu mwanaume kuoa?
1. Kupata watoto na kuwatengenezea umoja, kuwa na watoto bara na pwani, kila mtoto na mama yake, ni chanzo cha mgawanyiko wa familia nyingi. Unapooa unatulia na familia yako.
2. Kupata safe sex na halali, unapooa, unasex kwa halali na unakua na uhakika wa uwena wake na usalama, hamsaidii mwanaume kusex na wanawake hivyo hovyo.
3. Kupata mashirika wa karibu, kitu amambacho wanaume hawajui, kadri unavyozeeka ndo unahitaji mtu wa karibu sana kua na wewe, mtoto wako wa kike au wakiume hawezi kukuhudumia ukishazeeka, mke wako atafanya hivyo. Pia ni raha kuwa na mwandani wako mnaeshare mambo yenu mbali mbali.
Kuna mambo nakubali si ya kuvumilia hata kidogo, hasa suala la usaliti, lakini kwa asilimia kubwa mambo mengi ni kuvumiliana, hakuna aliekamilika na hatatokea, cha msingi ni kupata ambae anamapunguvu unayoweza kuyavumilia, pia uamini pia wewe mwenyewe unamambo ambayo mwenzio anakuvumilia.
Ndoa ni raha, ndoa inaleta utulivu.
My dedication to my beloved wife is " One friend" by Dan Seals
Incredible!Nyuma ya keyboard
nimeoa Mamujee Product kitambo sana, ndoa yetu tamu ina mwaka wa tatu sasa, Feb 13th ni anivesari yetu
yuko submissive 100%
Kwa nini ?Ukiwa maskini ndoa lazima kabisa
Ujinga wa hawa wanaume upo wapi na uelevu wako wewe ulio oa upo wapi tofauti na hao wanaume ?Kuna aina mbili za wanaume ambao mi naweza kusema ni wajinga
1.Anayeogopa kuoa
Msaidiane maisha na rahisi kupata mwanamke anayekupenda kuliko ukishika Hela..Kwa nini ?
Kwa hiyo wanaume wasio oa wana ogopa wanawake ? Jitahidi kujua sifa na tabia mbalimbali za wanaume na sio wanaume tu bali za aina mbalimbali za makundi ya watu hapa duniani hii itakusaidia kuzika mitazamo yako hasi kuhusu watu mbalimbali ndani ya jamii yako.
Sifa za wanaume kamili ni zipi ?Wanaume wasiooa hawaogopi wanawake. Wanaume wanaohamasisha kutooa kwa kigezo cha kwamba wanawake ni wasumbufu ni Wanaume waoga wasibeba sifa za wanaume kamili
Wewe maisha yako hauwezi kuya endesha mpaka usaidiwe haujioni kana kwamba wewe ni dhaifu sana ?Msaidiane maisha na rahisi kupata mwanamke anayekupenda kuliko ukishika Hela..
We pungaa Wajinga wa kwenu hukoo.Wewe ni mjinga jitahidi kujielimisha.
Samahani kama maneno yangu yatakuwa yame kukera.
ntolee mavi hapaKumbe ume kiri kuwa kuna watu wenye mawazo tofauti na jamii pia tambua wanaume wote dunia hawa fanani mawazo, tabia na hata sifa.