Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Binafsi siogopi ndoa hata kidogo.Lakini nina sheria zangu na red line yangu ambayo siku mke aki ivuka na ku cross iyo red line kwishaaaa habari yake namwacha mara moja on the spot..!!!

Binafsi zinaga uvumilivu wa kijinga na sheria za kipumbavu za kusema eti mkifunga ndoa hamruhusiwi kutengana hadi kifo....Yani Mwanamke afanye ujinga wake kwa kigezo eti dini hairuhusu kutengana....Aiseee!!! Labda sio kwangu Yani nitamtimua siku hiyo hiyo akafie mbeleeee!!!

Dini sometimes zinalea na kuendekeza ujinga...Mwanamke akizingua Fukuzia mbali haraka sana hakuna kulea ujinga.

Never ever!!!!!
 
1. Wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa hivyo wana experience mbaya (Adverse Childhood Effect).

2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua magumu hawatayamudu au mke atatumia mali zake.

3. Wanauelewa mdogo wa binadamu, wakiamini ili waoe basi wapate mtu ambae hatakua na dosari hata moja, huu ni ujinga, hakuna aliekamilika.

4. Hawana imani ya dini na wamejihalalishia zinaa.

5. Ni malimbukeni wa kufata mkumbo.

6. Wao wenyewe ni wenye tabia mbovu, hivyo kila wanaemuona wanaamini anatabia mbovu kama za kwao.

7. Wanauwezo mdogo wa ku jaji mambo, wakiona mwenzao anasumbuliwa basi wanamini nao itakua hivyo, au waliumizwa huko mbeleni.

Kwanini ni muhimu mwanaume kuoa?
1. Kupata watoto na kuwatengenezea umoja, kuwa na watoto bara na pwani, kila mtoto na mama yake, ni chanzo cha mgawanyiko wa familia nyingi. Unapooa unatulia na familia yako.

2. Kupata safe sex na halali, unapooa, unasex kwa halali na unakua na uhakika wa uwena wake na usalama, hamsaidii mwanaume kusex na wanawake hivyo hovyo.

3. Kupata mashirika wa karibu, kitu amambacho wanaume hawajui, kadri unavyozeeka ndo unahitaji mtu wa karibu sana kua na wewe, mtoto wako wa kike au wakiume hawezi kukuhudumia ukishazeeka, mke wako atafanya hivyo. Pia ni raha kuwa na mwandani wako mnaeshare mambo yenu mbali mbali.

Kuna mambo nakubali si ya kuvumilia hata kidogo, hasa suala la usaliti, lakini kwa asilimia kubwa mambo mengi ni kuvumiliana, hakuna aliekamilika na hatatokea, cha msingi ni kupata ambae anamapunguvu unayoweza kuyavumilia, pia uamini pia wewe mwenyewe unamambo ambayo mwenzio anakuvumilia.

Ndoa ni raha, ndoa inaleta utulivu.

My dedication to my beloved wife is " One friend" by Dan Seals
1. Ni ndoa ndio iliyosababisha huyo mtoto awe na ADE's ni Adverse childhood experiences, (sio effects)

2. Sio uoga ila ni calculated risk taking, kumbuka experiences hushape hulka ya mtu,, and bad experiences got a lot of effect than good one.

3. Na kutokukamilika kwao yet still hawataki rekebishika wakiamini kuwa being submissive is for fools

4. Hoja ya dini haifanyi kazi kwa wasio na dini,, pastors hao hao ndio hula kondoo

5. Mwenzako akinyolewa wewe tia maji,, haiwezekani wanangu kumi wamepigwa matukio na mm kama kondoo niingie huko huko

6. Who are you kujumuisha kila asiyependa kuoa ana tabia mbovu. [emoji848][emoji849]

7. Haiwezekani una miaka 8 tangu uanze mahusiano na hujawah kuwa na good experience then utegemee nikaape kuwa i won't leave no matter what,, ntaumiza mtoto wa mtu bure

Kwanini mwanaume asioe

1. Kuna familia kibao watoto wanaishi kama paka na mbwa ni maadui balaa

2. Medical lab zimejaa kama zote

3. Kuwa na mke haikupi guarantee ya yeye kukuhudumia pindi mtakapokuwa wazee

NB:MIMI SIO MFUASI WA HIT AND RUN
 
Kuna aina mbili za wanaume ambao mi naweza kusema ni wajinga
1.Anayeogopa kuoa
2.Anayeogopa kuacha mke...

Ili uwe na courage ya kuoa lazima uwe na courage ya kuacha mke pindi mambo yatakapokuwa hayaepekiki

Ni kweli ndoa Haina returns kubwa kwa mwanaume tofauti na zamani lakini uoga wakuoa ni kuprove kwamba huwezi kuwa leader na mwanaume ni leader by nature..

Lakini ukiwa na assets za 300m hivi kabla ya kuoa ni busara kufanya cohabitation badala ya ndoa ya kanisani.

Rahisi kuingia,rahisi kutoka.Utabariki ndoa uzeeni huko[emoji2][emoji2][emoji2].

Ukiwa maskini ndoa lazima kabisa
 
Kwa hiyo wanaume wasio oa wana ogopa wanawake ? Jitahidi kujua sifa na tabia mbalimbali za wanaume na sio wanaume tu bali za aina mbalimbali za makundi ya watu hapa duniani hii itakusaidia kuzika mitazamo yako hasi kuhusu watu mbalimbali ndani ya jamii yako.

Wanaume wasiooa hawaogopi wanawake. Wanaume wanaohamasisha kutooa kwa kigezo cha kwamba wanawake ni wasumbufu ni Wanaume waoga wasibeba sifa za wanaume kamili
 
Haya mambo ni kwel ingekua watu wanaoa inavyotakiwa kusinge kuwa na Wimbi la single mother , kuna namna kutokuoa kunafaida ya afya ya akili.
 
Back
Top Bottom