Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
We umeleta mbupu hizo kunijibu comments zangu tu au unataka wa kuku kuna ntakusuuza uliza wenzioUna fahamu sifa na tabia za wanaume wote hapa duniani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We umeleta mbupu hizo kunijibu comments zangu tu au unataka wa kuku kuna ntakusuuza uliza wenzioUna fahamu sifa na tabia za wanaume wote hapa duniani ?
Hakuna ulazima wa kuoa. Kuoa ni dalili ya kutokujitambua. Kuwa tegemezi kwa binadamu mwenzio. Hakuna amri ya kuoa popote pale.1. Wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa hivyo wana experience mbaya (Adverse Childhood Effect).
2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua magumu hawatayamudu au mke atatumia mali zake.
3. Wanauelewa mdogo wa binadamu, wakiamini ili waoe basi wapate mtu ambae hatakua na dosari hata moja, huu ni ujinga, hakuna aliekamilika.
4. Hawana imani ya dini na wamejihalalishia zinaa.
5. Ni malimbukeni wa kufata mkumbo.
6. Wao wenyewe ni wenye tabia mbovu, hivyo kila wanaemuona wanaamini anatabia mbovu kama za kwao.
7. Wanauwezo mdogo wa ku jaji mambo, wakiona mwenzao anasumbuliwa basi wanamini nao itakua hivyo, au waliumizwa huko mbeleni.
Kwanini ni muhimu mwanaume kuoa?
1. Kupata watoto na kuwatengenezea umoja, kuwa na watoto bara na pwani, kila mtoto na mama yake, ni chanzo cha mgawanyiko wa familia nyingi. Unapooa unatulia na familia yako.
2. Kupata safe sex na halali, unapooa, unasex kwa halali na unakua na uhakika wa uwena wake na usalama, hamsaidii mwanaume kusex na wanawake hivyo hovyo.
3. Kupata mashirika wa karibu, kitu amambacho wanaume hawajui, kadri unavyozeeka ndo unahitaji mtu wa karibu sana kua na wewe, mtoto wako wa kike au wakiume hawezi kukuhudumia ukishazeeka, mke wako atafanya hivyo. Pia ni raha kuwa na mwandani wako mnaeshare mambo yenu mbali mbali.
Kuna mambo nakubali si ya kuvumilia hata kidogo, hasa suala la usaliti, lakini kwa asilimia kubwa mambo mengi ni kuvumiliana, hakuna aliekamilika na hatatokea, cha msingi ni kupata ambae anamapunguvu unayoweza kuyavumilia, pia uamini pia wewe mwenyewe unamambo ambayo mwenzio anakuvumilia.
Ndoa ni raha, ndoa inaleta utulivu.
My dedication to my beloved wife is " One friend" by Dan Seals
Afya ya akili ni bora kuliko ndoa
Kuna maisha bila ya ndoa, maisha bora ni maisha bila ya ndoaAfya ya akili ni bora kuliko ndoa
HakikaShida ni kwamba watu Wanataka wote tuwe makondooo tutembee mstari mmoja... Ukitoka pembeni wanakuona shetani au adui........walio mwenye ndoa wanataka watu woteee waoe wawe kama wao..... Ni kama miaka Ile baba akiwa doctor anataka watoto wote wawe madaktari.
We are not the same...... Na ndio maana wengine WA kaamua kuwa mapadri.....na masista.....
Una jiaibisha, matusi haya jengi picha nzuri kwako zingatia hilo.We umeleta mbupu hizo kunijibu comments zangu tu au unataka wa kuku kuna ntakusuuza uliza wenzio
Ndoa ni kifungo huruKuna maisha bila ya ndoa, maisha bora ni maisha bila ya ndoa
DuuuhHyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Utoto raha sana[emoji28][emoji28]
Ila twende mbele turudi nyuma, kijana hutaki kuoa/kuolewa utofauti wako na shoga/lesbian ni upi, tena kuna baadhi ya mashoga/lesbians nawajua wameoa/kuolewa.
Mwanaume hatakiwi kuwa na visingizio, kukabiliana na changamoto ndo uanaume[emoji28][emoji28]
ukigongewa nawewe gonga, usipogonga jua utagongewa[emoji3516]
What else[emoji124]View attachment 2483609
Halafu sahivi ndoa bila harusi inaonekana ni ya kishamba. Vijana tunaona safari bado! 😀Maisha ni mapambano wacha kila mtu apambane namna anavyo weza lakini ubaya ni kutekeleza baadhi ya mambo ki kasumba ili kufurahisha jamii hasa hasa hili swala la ndoa lina waumiza vijana wengi sana wanao fuata mkumbo na kasumba zisizo na maana yoyote ya msingi.
Punguzeni umalaya ndo mtaona faida ya kuoa😀😀Mnawaza mtakosa mbususu Kwa wakat mnaotaka mnabanwaNdoa ni kifungo huru
Ubaya ni kuwa Afrika bado ni bara la giza ujinga umetamalaki kwa kiwango kikubwa kuliko elimu.Halafu sahivi ndoa bila harusi inaonekana ni ya kishamba. Vijana tunaona safari bado! 😀
Nikiona wanetu waliooa wakilalamika hapa jf jinsi wanapewa mbususu kama mgawo wa maji nakata tamaa kabisa kuoaPunguzeni umalaya ndo mtaona faida ya kuoa😀😀Mnawaza mtakosa mbususu Kwa wakat mnaotaka mnabanwa
Exactly! Niliwahi kuzungumza hii mahali fulani nikaonekana hakuna ninalojua.Ubaya ni kuwa Afrika bado ni bara la giza ujinga umetamalaki kwa kiwango kikubwa kuliko elimu.
Watu wapo radhi kugharamia mamilioni ya fedha kwa sherehe ya siku moja huku wakibaki na madeni, wazazi wapo radhi kumuuza binti yao kupitia mahari kwa mamilioni ya fedha haya yote yana onesha namna gani bado watu weusi wa Afrika tuliyo wajinga kupindukia.
Mnafanya sherehe za kagharama huku vijana wenu hawana mbele wa nyuma kimaisha huu ni upumbavu wa sisi watu weusi huku Afrika.