Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Jambo lenye manufaa hata siku moja huwezi kuta linapigiwa promo, wahuni mkiona mnalizimishwa kuoa ujue huo ni mtego, trust me!
Kama Ndoa ingekua inamnufaisha Mwanaume nawahakikishieni hakuna Mwanamke angekua anakubali kuolewa kirahisi. Kikubwa tutafuteni hela kwa Bidii sana, Hakuna Rafiki mzuri kama pesa mazee.. huyo mke sijui wa kua rafiki sijui nini, mambo ya kizamani hayo.. watoto nitalea hata Yatima nikiwa na hela zangu.. kuzeeka kupo tu.. always trust yourself (Forever young by Jay z)
 
Hatari kabisa, bara letu kwa asilimia kubwa tunakosa wingi wa watu wenye mawazo chanya katika mambo mbalimbali mfano ni hapa nchini.

Ukijaribu kukaa katika makundi mbalimbali ya watu utaona ni kwa namna gani watu wanawaza ujinga muda wote.

Mada za kijinga kijinga zimetamalaki humu jf, wattsapp groups, mitaani vitu vya msingi hatutaki kujua wala kujishughulisha navyo.
Kabisa! Ngoja wachache wafanye wengi wabaki. Kila mtu ashughulikie linalomfaa. Ukiwa mwalimu hapa, watakupoint wewe ni tapeli.
 
Hyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke alikuwa wa hovyo sana. Mie ukitaka kuniua na hizo stress nakuua wewe kwanza yani. Ntapiga kama ngoma hadi damu zitoke mpaka mkunduni. Akirudia tena nafukuzia mbalii
 
Pole kwa kuondokewa na baba.
Ila jamani unaanzaje kujinyonga kwaajili ya mke au mume? Kwani umezaliwa nae? Kwanini umng"ang'anie?
Unashindwa nini kuachana nae ubaki single ama upate mwingine?
Wanaojinyonga ni wabinafsi hawafikirii hata watoto wanaowaacha. Kiufupi hawawapendi watoto wao au wana magonjwa ya akili, am sorry to say this.

Ndoa nzuri zipo. Kama unaona yako haipo sawa achana nayo ubaki single au upate mpenzi mwingine.
Ukishakuwa affected kisaikolojia unapoteza ile nafsi yako unakuwa mfu ungali hai. Psychological torture usiombe ikukute.
 
Unajitoa ufahamu usiniletee mazoea ya kipuuzi. Uliponiita mjinga ulidhani ntakupakata?

tena koma kunizoea
Kwa hiyo tatizo ni kushindwa kufahamu nini maana ya neno mjinga au ujinga ? Ndio maana una tafsiri kuwa ni tusi ?

Mkuu narudia tena wewe ni mjinga jielimishe kuhusu mambo mbalimbali ili ufute ujinga ulio nao kuhusu hayo mambo mbalimbali hasa hasa hili swala la kwa nini kuna wanaume hawa oi ?
Screenshot_20230117-003134.jpg
 
Ndoa ndoano, chambo wewe! 😀

But, hakuna mtu anachukia ndoa wala hapendi ndoa. Ndoa ni tamu sana(Nasema kwa nadharia).

Tatizo ni kwamba vijana, mabinti wanatafuta hela kwanza ndio waingie kwenye ndoa ili wasinyanyasane!
Cha ajabu sasa hela nazo hazipatikani 😀

Nakumbuka kuna binti mmoja aliwahi kunitamkia 'Acha nitafute kwanza hela ndio niolewe. Ukiwa hauna hela mwanaume atakunyanyasa."
Hahahaha hio akili ndio inawacost, mke anataka akipata kazi ndio aolewe ili ukiwa unamtuma naye anamtuma mfanyakazi wa ndani. Mletee baba maji ya kunywa. Akibakia mwenyewe ndo yanaanza mashindano.
 
Mungu atujalie katika haya mambo ya ndoa maana kilamtu anamwona mwenzake n mbaya
 
Mke ni chanzo cha Umaskini pia ni kikwazo cha maendeleo, ndoa zimekuwa miradi wacha kupotosha watu

Tafuta pesa ishi vizuri mtoe mama yako uswahilini mpeleke ushuani fanya wazazi wako wajivunie uwepo wako.

Watoto wa kutosha bila kusahau premarital agreement, Mwanaume halisi anafanya hivyo, sasa wewe uliyesoma uzi wa jamaa jiroge nenda kaoe utakaa ukijuta maisha yako yote.
Halafu watoto wako ubaki nao kiunoni, acheni upuuzi vijana. Tafta mwanamke anayekutii na mwenye hekima oa mjenge familia. Achaneni na mapaka shume wenye kucha bandia na matako ya dukani. Vingereza vingii **** mbovuu ndo mwisho mnatibuana tu baada ya kuwaoa.
 
KMMK


We ni punga kwasababu umepanic peke yako kuliko wachangia mada wote. Kwahiyo unadhani kuna mtu humu anaweza kujua sababu za kila mtu kuoa au kutokuoa. Hiyo mada ya u punga imekugusa sana. Wanaume rijali wamenyamaza mapunga mmepanic
Mkuu narudia tena matusi haya saidii zaidi yana kuaibisha tu, unaweza kuchangia pasipo lugha ya matusi na ukaeleweka tu.

Bado tatizo la ujinga lina kutesa, haufahamu kwa nini matusi/lugha chafu hazifai katika jamii jielimishe mkuu.
 
Mkuu I have been experiencing , situation Kama yako in my family my mother chase away my father while my dady did a lot of stuff kutusomesha kujenga majumba ya Gharama nk lakin vitu vyote my momy amejimilikisha peke yake , that way I hate marrige , and marrige is scam
Mama yako ni mhaya biLa shaka 😀
 
Halafu watoto wako ubaki nao kiunoni, acheni upuuzi vijana. Tafta mwanamke anayekutii na mwenye hekima oa mjenge familia. Achaneni na mapaka shume wenye kucha bandia na matako ya dukani. Vingereza vingii **** mbovuu ndo mwisho mnatibuana tu baada ya kuwaoa.
Mkuu tatizo wwngine wamekosa ile roho ya kiume kutokana na madhila flan flan ndo maana wamepoteza uwezo wa kujiamin

Ila mpango wa shetan n kutokuona ndoa. Na kusipokuwa na ndoa kuzin kutakuwa kwing. Kuzin kukiwa kwing dhambi zitakuwa kawaida hasa ya kuzin


Tukifika hapooo inamaanisha tumejitengenezea njia ya moto na lango la ibilisi lnakuwa lmekamlka
 
Mkuu narudia tena matusi haya saidii zaidi yana kuaibisha tu, unaweza kuchangia pasipo lugha ya matusi na ukaeleweka tu.

Bado tatizo la ujinga lina kutesa, haufahamu kwa nini matusi/lugha chafu hazifai katika jamii jielimishe mkuu.
We bora uniache tu kwasababu umenianza. Ungepita kimya wala yasingekuvaa ukiendelea ntahamia inbox kwako.
 
Back
Top Bottom