Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Mkuu tatizo wwngine wamekosa ile roho ya kiume kutokana na madhila flan flan ndo maana wamepoteza uwezo wa kujiamin

Ila mpango wa shetan n kutokuona ndoa. Na kusipokuwa na ndoa kuzin kutakuwa kwing. Kuzin kukiwa kwing dhambi zitakuwa kawaida hasa ya kuzin

Tukifika hapooo inamaanisha tumejitengenezea njia ya moto na lango la ibilisi lnakuwa lmekamlka
Kuzini unajibebesha mikosi na maroho machafu. Ukifanikiwa kufika 60's lazma utakuwa unajutia upuuzi uliokua unafanya
 
Unataka kuniambia Jeff Bizo,Dangote,Bill get,Elon Musk ni malimbukeni na hawana uelewa wa mambo ya ndoa na vilevile ni waoga wa maisha au sio?

Mkuu wewe kama umeamua kuoa oa lakini usiyoe mifano isiyo na maana-ndoa ni mateso na destruction ndio maana hamna mgunduzi mkubwa au watu wenye akili nyingi hapa Duniani waliwahi kuoa.Mwanamke ndio chanzo cha matatizo na dhambi zote hapa Duniani.

Ndioa ni zaidi ya mateso.
 
Kwaiyo km watu waliuawa wengine tusiolewe kilamtu anaandika story ya maishayake mwenyew Na ukijiwazia mabaya yatakufuata
Kwahiyo ukijiwazia mazuri mabaya hayawezi kukufuata?

Unadhani ambao wamekutana na mabaya walikuwa wanajiwazia mabaya au sio.

Tuko hapa kuambiana uhalisia. Kama unachagua kuolewa/kuoa kuwa tayari Kwa consequences zake na kinyume chake. Kama uko tayari kuvumilia consequences za kutokuoa au kuoa ni Uhuru wako .

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hivi mada ilijuwa nn tena🤣🤣 wakuu huwa hatutukanani jamani
Mkuu we acha tu😀 yani mi nachangamsha genge anakuja kenge wa madoa anadandia mtumbwi wa vibwengo. Kilichomuuma ni mada ya nguvu za kiume inamaana kweli hana😅
 
Jambo lenye manufaa hata siku moja huwezi kuta linapigiwa promo, wahuni mkiona mnalizimishwa kuoa ujue huo ni mtego, trust me!
Kama Ndoa ingekua inamnufaisha Mwanaume nawahakikishieni hakuna Mwanamke angekua anakubali kuolewa kirahisi. Kikubwa tutafuteni hela kwa Bidii sana, Hakuna Rafiki mzuri kama pesa mazee.. huyo mke sijui wa kua rafiki sijui nini, mambo ya kizamani hayo.. watoto nitalea hata Yatima nikiwa na hela zangu.. kuzeeka kupo tu.. always trust yourself (Forever young by Jay z)
Hii comment naomba mods mui-PIN pale juu ili wanaume waione.

#KataaNdoa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tatizo wwngine wamekosa ile roho ya kiume kutokana na madhila flan flan ndo maana wamepoteza uwezo wa kujiamin

Ila mpango wa shetan n kutokuona ndoa. Na kusipokuwa na ndoa kuzin kutakuwa kwing. Kuzin kukiwa kwing dhambi zitakuwa kawaida hasa ya kuzin

Tukifika hapooo inamaanisha tumejitengenezea njia ya moto na lango la ibilisi lnakuwa lmekamlka
Yani wewe kajamba Nani kitambi kama cha bambo inamaana una akili Sana kumshinda Adam au Samson? Kawaulize hao Mwanamke alifanyaje !!!

Maisha ya ndoa yako overrated. Mabaya ni mengi kuliko faida. Leo ukiachana na mkeo Mali zako mnagawana Ila ukiwa huna ndoa mamb shwari.

Ronaldo Hana ndoa ameshaachana na wanawake kadhaa utajiri uko pale pale. Bilgate alikuwa na Mke WA ndoa baada ya talaka utajiri ukayumba.

Sisi mafukara tuendelee kuoana maana hatuna utajiri Sana Sana huwa tunaishia kuuana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Unataka kuniambia Jeff Bizo,Dangote,Bill get,Elon Musk ni malimbukeni na hawana uelewa wa mambo ya ndoa na vilevile ni waoga wa maisha au sio?

Mkuu wewe kama umeamua kuoa oa lakini usiyoe mifano isiyo na maana-ndoa ni mateso na destruction ndio maana hamna mgunduzi mkubwa au watu wenye akili nyingi hapa Duniani waliwahi kuoa.Mwanamke ndio chanzo cha matatizo na dhambi zote hapa Duniani.

Ndioa ni zaidi ya mateso.
Acha kutudanganya Musk ana familia,Bill gate ana familia,Jeff waliachana na mkewe na Dangote ndio hana mke alafu nan alikudanganya fedha ndio Kila kitu kwenye maisha kuna furaha ukiwa na familia kunahuduma ambazo utapata kutoka Kwa mkeo na ukiwa na watoto unajiona ni binadamu uliekamilika.
 
Yani wewe kajamba Nani kitambi kama cha bambo inamaana una akili Sana kumshinda Adam au Samson? Kawaulize hao Mwanamke alifanyaje !!!

Maisha ya ndoa yako overrated. Mabaya ni mengi kuliko faida. Leo ukiachana na mkeo Mali zako mnagawana Ila ukiwa huna ndoa mamb shwari.

Ronaldo Hana ndoa ameshaachana na wanawake kadhaa utajiri uko pale pale. Bilgate alikuwa na Mke WA ndoa baada ya talaka utajiri ukayumba.

Sisi mafukara tuendelee kuoana maana hatuna utajiri Sana Sana huwa tunaishia kuuana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mkuu ni kweli ila utaogopa mpaka liniii?

Ogopa alafu uoga ukusaidie. Ila mwisho wa siku unaogopa ila hamna kilichobadilika zaid unaingia kwenye ndoa na akil za mguu nje mguu ndani.
Kama unaingia ingia jipange kiroho na kimwil kulinda ndoa

Shetan hawez kubali wewe utimile lengo la Mungu
 
Acha kutudanganya Musk ana familia,Bill gate ana familia,Jeff waliachana na mkewe na Dangote ndio hana mke alafu nan alikudanganya fedha ndio Kila kitu kwenye maisha kuna furaha ukiwa na familia kunahuduma ambazo utapata kutoka Kwa mkeo na ukiwa na watoto unajiona ni binadamu uliekamilika.
Yesu Hadi anakufa alikuwa Hana mke akiwa na Miaka 30+

Nani kakwambia kuwa na familia ni Hadi uoe? Unaweza ukazaa ukawa na watoto wako.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ni kweli ila utaogopa mpaka liniii?

Ogopa alafu uoga ukusaidie. Ila mwisho wa siku unaogopa ila hamna kilichobadilika zaid unaingia kwenye ndoa na akil za mguu nje mguu ndani.
Kama unaingia ingia jipange kiroho na kimwil kulinda ndoa

Shetan hawez kubali wewe utimile lengo la Mungu
Kwani ndoa ni lazima ?

Agizo la kuijaza dunia Hilo tunalitekeleza barabara.

Hata mungu ameshatoa angalizo mwanamke ni kuishi nae Kwa akili Sana. Means kama huna muda WA kutumia hizo akili Sana achana nae. Sasa Kwa huu ugumu WA maisha akili imeshajichokea huo muda WA kutumia na kuumiza akili yangu Kwa mwanamke naupatia wapi Mimi.

Huo muda Kwa ulimwengu WA sasa hivi utumie kusaka hela bro. Ukiwa na hela utafuatwa mkuu. Utakuwa mfalme.

Tutofautishe ndoa na familia. Sio kila familia ni lazima iwe ndoa. Dangote ana familia Hana ndoa. Vijana kuweni na familia sio ndoa. Tumepoteza vijana wengi kisa ndoa

Fact. Ukiwa na familia bila ndoa si ndo unazin mkuu au mie sielewi
 
Utoto raha sana[emoji28][emoji28]

Ila twende mbele turudi nyuma, kijana hutaki kuoa/kuolewa utofauti wako na shoga/lesbian ni upi, tena kuna baadhi ya mashoga/lesbians nawajua wameoa/kuolewa.

Mwanaume hatakiwi kuwa na visingizio, kukabiliana na changamoto ndo uanaume[emoji28][emoji28]

ukigongewa nawewe gonga, usipogonga jua utagongewa[emoji3516]

What else[emoji124]View attachment 2483609
Daah huyo jamaa , ni wale beta male a.k.a simp, low value type men..!!!!

Kupitia convo tu hzi , bado hana sifa ya kuoa ....
Watu kama hawa siwezi washauti waoe!
 
Wakaka ambao hamjaoa ila mngependa kuoa na kuwa na familia zenu, tokeni humu MMU sio mahali salama kwenu.
 
Back
Top Bottom