Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Hakuna ulazima wa kuoa. Kuoa ni dalili ya kutokujitambua. Kuwa tegemezi kwa binadamu mwenzio. Hakuna amri ya kuoa popote pale.
 
Shida ni kwamba watu Wanataka wote tuwe makondooo tutembee mstari mmoja... Ukitoka pembeni wanakuona shetani au adui........walio mwenye ndoa wanataka watu woteee waoe wawe kama wao..... Ni kama miaka Ile baba akiwa doctor anataka watoto wote wawe madaktari.
We are not the same...... Na ndio maana wengine WA kaamua kuwa mapadri.....na masista.....
 
Hakika
 
Duuuh
 
😂😂😂
 
Halafu sahivi ndoa bila harusi inaonekana ni ya kishamba. Vijana tunaona safari bado! 😀
 
Halafu sahivi ndoa bila harusi inaonekana ni ya kishamba. Vijana tunaona safari bado! 😀
Ubaya ni kuwa Afrika bado ni bara la giza ujinga umetamalaki kwa kiwango kikubwa kuliko elimu.

Watu wapo radhi kugharamia mamilioni ya fedha kwa sherehe ya siku moja huku wakibaki na madeni, wazazi wapo radhi kumuuza binti yao kupitia mahari kwa mamilioni ya fedha haya yote yana onesha namna gani bado watu weusi wa Afrika tulivyo wajinga kupindukia.

Mnafanya sherehe za kagharama huku vijana wenu hawana mbele wa nyuma kimaisha huu ni upumbavu wa sisi watu weusi huku Afrika.
 
Punguzeni umalaya ndo mtaona faida ya kuoa😀😀Mnawaza mtakosa mbususu Kwa wakat mnaotaka mnabanwa
Nikiona wanetu waliooa wakilalamika hapa jf jinsi wanapewa mbususu kama mgawo wa maji nakata tamaa kabisa kuoa

Kabla ya kuolewa mnatoa mbususu safi kabisa mkiingia kwenye ndoa mnaifanya kama silaha ya kuwaadhibu waume zenu 🤔😅
 
Exactly! Niliwahi kuzungumza hii mahali fulani nikaonekana hakuna ninalojua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…