Lamisele
Senior Member
- Aug 17, 2022
- 147
- 303
Ww demu wako hagongwi na wengine hilo la kugongwa ni tabia ya mtu haingii akilin upo hospital unafanya uzinzi hilo ni pepo la ngonoNa tatizo kubwa la wanaume wenye ndoa Ni kugongewa wake zao na akina sisi tusioa😂
Juzi Kati nchini Uganda Kuna jamaa alimfumania mkewe hospitilini akiliwa na dogo mwenye miaka 22.
Ndoa ni ubatili mkubwa Sana jamani.