Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sababu kibao kumbe show mbovu na hawawezi kutunza familia.Sasa si uzi uishie hapa😂 hili ndo jibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu kibao kumbe show mbovu na hawawezi kutunza familia.Sasa si uzi uishie hapa😂 hili ndo jibu
Wanawakee woteee n wale walee ,haswaa mkishakuwa na hii kitu inaitwa ndoa mnatutwanga nacho sana WANAUMEE .......Kwahiyo ndo mnakujaga kuanzisha uzi wa kutukana wanawake kwa experience mlizoona kwa mama zenu?
Basi ndo nimeelewa sasa , nikiona mtu ameanzisha mada ya kutukana mwanamke au kukashfu ntaelewa kayaona kwa mama ake basi anadhani wanawake wote wako hivyo.
Na sisi tuwe tunawa grade wanaume wote sawa. Kwamba baba anabaka mtoto wake wa kumzaa basi wanaume wote ndo wako hivyo. Wababa wangapi wametelekeza wake na watoto kwa ujinga wao. Kwahiyo tuwa group kwamba ni wanaume wote duniani wako hivyo.
Pole kwa yaliyokukuta ila mama yako sio kama wanawake wote.
Nshapoagaa mkuu na maishaa yaendeleea..MUNGU mwemaasee pole mzee
Hujakoseaaa mkuu..Hii ipo sana mtaani na ukweli kama huu wanausemaga wachache
Ndo utukolezee wino😂😂😂unatufokea au
Mkuu ndio ukwel huu japo watakupingaa...Nyakati hizi ukitaka kuishi na mwanamke kwenye ndoa ni lazima ujifanye zoba, ujitie upofu, ujitie kiziwi ndio unaweza kuishi na mwanamke wa nyakati hizi.....lakini ukiishi kama mume ndani ya nyumba hauwezi kudumu naye........
Ndoa ni jambo la msingi kwenye maisha lakini changamoto na varangati yanayotendeka kwenye ndoa yanawaacha vijana dilemma kuamua.......
Nimeshuhudia vijana wengi waliokuwa wamestawi kimaisha lakini wamekuja kuporomoshwa na wake zao..... wengine tumewazika kwa kushindwa kuhimili machungu......
Wapo wanaoishi kwenye ndoa ilimradi lakini kimsingi nafsi zao zimeshakufa na wanatembea kama wafu.........
Zamani nilikuwa nahamasisha vijana wengi Suala la kuoa lakini Siku hizi kijana akinifuata kuniomba ushauri namkwepa sana.....maana kwa namna moja au nyingine nimewaingiza vijana wengi kwenye matatizo nikiwahamasisha waoe.....
Hakuna kijana rijali asiyependa kuoa....,isipokuwa yanayoshuhudiwa mitaani kuhusu wanandoa yanatisha na kutia kinyaa kabisa.......
utapeli siyo tu kwa wale tuma kwenye namba hiiNdo utukolezee wino😂😂😂unatufokea au
😀😀Utaoa tu utake usitakeutapeli siyo tu kwa wale tuma kwenye namba hii
ndoa nayo ni utapeli, unalipa unatapeliwa
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]MUNGU mwema maishaa yanasongaa mkuu...Pole sana broh ila sio zote za hvyo hyo ni zile chache mnoo
Duuu ina maana unahisi kuwa wanawake wote wapo kama mama yenuHyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeoa Mamujee Product kitambo sana, ndoa yetu tamu ina mwaka wa tatu sasa, Feb 13th ni anivesari yetu😀😀Utaoa tu utake usitake
Hahahah 🤣🤣🤣Utaskia eti, yaani mi
Nioe af nije nigawane mali na mwanamke never. Ukimuuliza una mali gani, subwoofer na kitana. Mbafffffff🤣
N kweli mkuu niandikee uongo nipatee nn mkuu wangu labdaa humu JFVery sad [emoji24][emoji174]. Kama n kweli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mamujee Products from Bombei au New Delhinimeoa Mamujee Product kitambo sana, ndoa yetu tamu ina mwaka wa tatu sasa, Feb 13th ni anivesari yetu
yuko submissive 100%
Phuck Yeah, wana branch Gofu Industrial Area , Tanga moja🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mamujee Products from Bombei au New Delhi
Huu ndio ukweli..,Nyakati hizi ukitaka kuishi na mwanamke kwenye ndoa ni lazima ujifanye zoba, ujitie upofu, ujitie kiziwi ndio unaweza kuishi na mwanamke wa nyakati hizi.....lakini ukiishi kama mume ndani ya nyumba hauwezi kudumu naye........