Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Kwahiyo ndo mnakujaga kuanzisha uzi wa kutukana wanawake kwa experience mlizoona kwa mama zenu?

Basi ndo nimeelewa sasa , nikiona mtu ameanzisha mada ya kutukana mwanamke au kukashfu ntaelewa kayaona kwa mama ake basi anadhani wanawake wote wako hivyo.

Na sisi tuwe tunawa grade wanaume wote sawa. Kwamba baba anabaka mtoto wake wa kumzaa basi wanaume wote ndo wako hivyo. Wababa wangapi wametelekeza wake na watoto kwa ujinga wao. Kwahiyo tuwa group kwamba ni wanaume wote duniani wako hivyo.
Pole kwa yaliyokukuta ila mama yako sio kama wanawake wote.
Wanawakee woteee n wale walee ,haswaa mkishakuwa na hii kitu inaitwa ndoa mnatutwanga nacho sana WANAUMEE .......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyakati hizi ukitaka kuishi na mwanamke kwenye ndoa ni lazima ujifanye zoba, ujitie upofu, ujitie kiziwi ndio unaweza kuishi na mwanamke wa nyakati hizi.....lakini ukiishi kama mume ndani ya nyumba hauwezi kudumu naye........

Ndoa ni jambo la msingi kwenye maisha lakini changamoto na varangati yanayotendeka kwenye ndoa yanawaacha vijana dilemma kuamua.......

Nimeshuhudia vijana wengi waliokuwa wamestawi kimaisha lakini wamekuja kuporomoshwa na wake zao..... wengine tumewazika kwa kushindwa kuhimili machungu......

Wapo wanaoishi kwenye ndoa ilimradi lakini kimsingi nafsi zao zimeshakufa na wanatembea kama wafu.........

Zamani nilikuwa nahamasisha vijana wengi Suala la kuoa lakini Siku hizi kijana akinifuata kuniomba ushauri namkwepa sana.....maana kwa namna moja au nyingine nimewaingiza vijana wengi kwenye matatizo nikiwahamasisha waoe.....

Hakuna kijana rijali asiyependa kuoa....,isipokuwa yanayoshuhudiwa mitaani kuhusu wanandoa yanatisha na kutia kinyaa kabisa.......
Mkuu ndio ukwel huu japo watakupingaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu ina maana unahisi kuwa wanawake wote wapo kama mama yenu
 
nimeoa Mamujee Product kitambo sana, ndoa yetu tamu ina mwaka wa tatu sasa, Feb 13th ni anivesari yetu
yuko submissive 100%
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mamujee Products from Bombei au New Delhi
 
Nyakati hizi ukitaka kuishi na mwanamke kwenye ndoa ni lazima ujifanye zoba, ujitie upofu, ujitie kiziwi ndio unaweza kuishi na mwanamke wa nyakati hizi.....lakini ukiishi kama mume ndani ya nyumba hauwezi kudumu naye........

Ndoa ni jambo la msingi kwenye maisha lakini changamoto na varangati yanayotendeka kwenye ndoa yanawaacha vijana dilemma kuamua.......

Nimeshuhudia vijana wengi waliokuwa wamestawi kimaisha lakini wamekuja kuporomoshwa na wake zao..... wengine tumewazika kwa kushindwa kuhimili machungu......

Wapo wanaoishi kwenye ndoa ilimradi lakini kimsingi nafsi zao zimeshakufa na wanatembea kama wafu.........

Zamani nilikuwa nahamasisha vijana wengi Suala la kuoa lakini Siku hizi kijana akinifuata kuniomba ushauri namkwepa sana.....maana kwa namna moja au nyingine nimewaingiza vijana wengi kwenye matatizo nikiwahamasisha waoe.....

Hakuna kijana rijali asiyependa kuoa....,isipokuwa yanayoshuhudiwa mitaani kuhusu wanandoa yanatisha na kutia kinyaa kabisa.......
Huu ndio ukweli..,
 
Back
Top Bottom