dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
🤣🤣🤣kauli mbiu ni ile ile… aluuta kontinywaaaa
Haibiwi mtu hapa, shenzi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣kauli mbiu ni ile ile… aluuta kontinywaaaa
matatzo meng hapo jamaa akienda vunja hyo ndoa mfaidika mkubwa atakua huyo mwanamke Ndoa n Utapeli mtupuNa tatizo kubwa la wanaume wenye ndoa Ni kugongewa wake zao na akina sisi tusioa[emoji23]
Juzi Kati nchini Uganda Kuna jamaa alimfumania mkewe hospitilini akiliwa na dogo mwenye miaka 22.
Ndoa ni ubatili mkubwa Sana jamani.
asee pole mzeeHyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu.Hyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuwa kitombi ni kosa?Hutaki ndoa, unataka uishije? Au unataka uwe kitombi?
Hii ipo sana mtaani na ukweli kama huu wanausemaga wachacheHyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
haya mambo ni kwa pande zote na kila mtu ana sababu za kukataa.Utaskia eti, yaani mi
Nioe af nije nigawane mali na mwanamke never. Ukimuuliza una mali gani, subwoofer na kitana. Mbafffffff🤣
mambo mengi sana yanatokea humo ndani mzee ni mengi sana aloo ni mengiii yan man ni mengiNyakati hizi ukitaka kuishi na mwanamke kwenye ndoa ni lazima ujifanye zoba, ujitie upofu, ujitie kiziwi ndio unaweza kuishi na mwanamke wa nyakati hizi.....lakini ukiishi kama mume ndani ya nyumba hauwezi kudumu naye........
Ndoa ni jambo la msingi kwenye maisha lakini changamoto na varangati yanayotendeka kwenye ndoa yanawaacha vijana dilemma kuamua.......
Nimeshuhudia vijana wengi waliokuwa wamestawi kimaisha lakini wamekuja kuporomoshwa na wake zao..... wengine tumewazika kwa kushindwa kuhimili machungu......
Wapo wanaoishi kwenye ndoa ilimradi lakini kimsingi nafsi zao zimeshakufa na wanatembea kama wafu.........
Zamani nilikuwa nahamasisha vijana wengi Suala la kuoa lakini Siku hizi kijana akinifuata kuniomba ushauri namkwepa sana.....maana kwa namna moja au nyingine nimewaingiza vijana wengi kwenye matatizo nikiwahamasisha waoe.....
Hakuna kijana rijali asiyependa kuoa....,isipokuwa yanayoshuhudiwa mitaani kuhusu wanandoa yanatisha na kutia kinyaa kabisa.......
Ukiuliza wanawake 10 walioolewa una ushauri gani kwa msichana anaetaka kuolewa, 7 watakuambia ndoa hapana.. wanajua wanayokutana nayo hukoNyakati hizi ukitaka kuishi na mwanamke kwenye ndoa ni lazima ujifanye zoba, ujitie upofu, ujitie kiziwi ndio unaweza kuishi na mwanamke wa nyakati hizi.....lakini ukiishi kama mume ndani ya nyumba hauwezi kudumu naye........
Ndoa ni jambo la msingi kwenye maisha lakini changamoto na varangati yanayotendeka kwenye ndoa yanawaacha vijana dilemma kuamua.......
Nimeshuhudia vijana wengi waliokuwa wamestawi kimaisha lakini wamekuja kuporomoshwa na wake zao..... wengine tumewazika kwa kushindwa kuhimili machungu......
Wapo wanaoishi kwenye ndoa ilimradi lakini kimsingi nafsi zao zimeshakufa na wanatembea kama wafu.........
Zamani nilikuwa nahamasisha vijana wengi Suala la kuoa lakini Siku hizi kijana akinifuata kuniomba ushauri namkwepa sana.....maana kwa namna moja au nyingine nimewaingiza vijana wengi kwenye matatizo nikiwahamasisha waoe.....
Hakuna kijana rijali asiyependa kuoa....,isipokuwa yanayoshuhudiwa mitaani kuhusu wanandoa yanatisha na kutia kinyaa kabisa.......
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ya kununulia bando🤣 ili waje kuanzisha thread jf🤣
Sawa ndo ukatae kisa subwoofer🤣haya mambo ni kwa pande zote na kila mtu ana sababu za kukataa.
Hiyo si sababu ya msingi, huenda ni utoto au ushamba.Sawa ndo ukatae kisa subwoofer🤣
Pole sana broh ila sio zote za hvyo hyo ni zile chache mnooHyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Very sad [emoji24][emoji174]. Kama n kweliHyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! baba alikuwa mlemavu au alikuwa Mpole sana? inakuwaje mwanaume anyanyaswe na mkewe kiasi hicho? alizidiwa kipato na mama? hebu dadavua ndugu. Mke wangu hana ubavu hata wa kunisonya!!Hyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa kuondokewa na baba.Hyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili hnipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si uzi uishie hapa😂 hili ndo jibuNamba moja ni sahihi.
La kuongeze ni kwamba hawana nguvu za kiume.