Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Ndio Mkuu , lakini now my dad has 70 yrs is looking young and heathier than ever nilichogundua ndoa ni chanzo Cha uhakika Cha kukua Mapema

Now naishi naye Mimi mwenyewe my daddy
Wajane ni wengi sana mzee kuliko wagane
NDOA NI KIFO
 
Kutokuoa sio kuwa mwanaume ila kutokuoa sababu ya kuogopa wanamke sio sifa ya mwanaume

Mdomo wa mwanamke UNAUJUA WEWE?
Njoo kazini nikuonyeshe wanawake WAPEPETA MIDOMO halafu jiulize "Mumewe anawezaje kukabiliana na huu mdomo?"

#YNWA
 
Wee ungepigwa hivyo ungechekelea? dada ako au mwanao angepigwa hivyo ungeandika uliyoandika?
Wanawake wa sikuhizi wapo legelege sana unapigwa kidg tuu unaanza kupiga mapicha na kupost ili kuleta tension mtaani upate kiki na uuze gazeti

Zamani vipigo vilikuwepo lkn huwezi kuta tension mitaan
 
Kweli kabisa mkuu familia ni kitu Cha mhimu Sana katika maisha ya binadam,mfano mm familia ilisafiri likizo hii ya krismas yaani maisha yalikua magumu sn linyumba unaona halina maana hata kurudi nyumban unaona uvivu,ukizeeka pia familia yako ndio ya kupambana mpaka mwisho ndugu wanaweza wasionekane ila hauwezi ukamtelekeza mzazi labda unatafuta laana.
Familia sio Ndoa
Ndoa sio Familia

Ndoa ni muunganiko wa hairi kati ya mtu Ke na mtu Me walio amua kisheria kuish pamoja hapa kuna option ya kushindwana kila mtu akala njia yake

Familia huu ni muunganiko wa baba mama na watoto au baba na watoto au mama na watoto
 
Watu wa biashara wanaelewa hili:
Risk kubwa = return kubwa
LiRiski likuuuubwa = LiRetun likuuuuuuuuuuuuuuuuubwa

Sijakataa ndoa ni risk kubwa, unawekeza katika mtu mwenye utashi huru. Lakini huyo mtu akitumia uhuru wake kukupenda wewe ni mavuno makubwa mnoooo. Priceless.

Mikikimkiki utayopitia kuwekeza kwenye uhusiano wenye maana itakupa furaha na ikiwa utapata matunda utapata raha pia maradufu. Kwa hiyo we wekeza tu kuna furaha katika kufanya hivyo.
kuna vingi tu vya kukupa furaha tofaut na hyo Ndoa labda uwe una matatzo
 
Mimi mama Yangu alikua chuma ulete, mzee anapiga kazi usiku na mchana, home haonekani,kurudi kila ijumaa..pesa yote anampa bi mkubwa kwa shughuri za maendeleo, biashara, bi mama anakula bata tu,tunakaa nyumba ya kupanga kubwa..mpaka mzee anazeeka hakuna chochote walichofanya zaidi ya kujenga...tena wameahamia uzeeni..nikikumbuka migogoro, drama za bi mkubwa,sina hata hamu ya kuoa...
 
asee
 
Wee ungepigwa hivyo ungechekelea? dada ako au mwanao angepigwa hivyo ungeandika uliyoandika?
Napinga kupigwa hivyo ila ninacho maanisha hapa anatangaza mitandaoni ili iweje? Kama si kutafuta tension nakuuza gazeti.

Hv mama zetu nao wangekuwa wanapigwa halafu wanapost mitandaoni wangedumu kwny ndoa zao?
Ifike wakati changamoto za ndoa zisiwe mitandaoni,zijadiliwe kwenye vikao vya familia.
 
Jamaa yetu anafanya kazi TTCL ,baada ya kuoa tu..mwanamke akamshawishi wakope Bank wajenge wakae kwenye nyumba yao, jamaa bila kujua lengo la mwanamke akakopa,,nyumba kuisha tu wamekaa miezi kama mitatu mwanamke anadai talaka, nyumba iuzwe kila mtu afe na chake..hapo hawana mtoto wala kinda...kweli mwanamke alipata anachokitaka..jamaa yupo okay but tangu hapo kawa mlevi mzuri...Nyie mkaoe tu mimi bado nipo nipo tu..mwaka huu nimepanga nimdanganye mjinga mmoja nimpe mimba nami niwe baba si baba..
 
Ni
Ndoa ni utumwa, kataa ndoa
Ni kama vile kuna watu wana account nyingi ili kupiga debe lao la kukataa ndoa au wengine mnajifanyisha tu humu online ila mnafamilia au mpango huo, haiingii akilini kuwa idadi kubwa na watu humu waikandie ndoa kiasi hiki. Na kama ni kweli idadi ya wahuni ni wengi
 
Mimi mama Yangu alikua chuma ulete, mzee anapiga kazi usiku na mchana, home haonekani,kurudi kila ijumaa..pesa yote anampa bi mkubwa kwa shughuri za maendeleo, biashara, bi mama anakula bata tu,tunakaa nyumba ya kupanga kubwa..mpaka mzee anazeeka hakuna chochote walichofanya zaidi ya kujenga...tena wameahamia uzeeni..nikikumbuka migogoro, drama za bi mkubwa,sina hata hamu ya kuoa...

Unaniangusha chalii yangu
 
Back
Top Bottom