Wajane ni wengi sana mzee kuliko waganeNdio Mkuu , lakini now my dad has 70 yrs is looking young and heathier than ever nilichogundua ndoa ni chanzo Cha uhakika Cha kukua Mapema
Now naishi naye Mimi mwenyewe my daddy
Bwanaeeee usioeee
Kuna mwanamke ana zaidi ya hivyo na hawazi unachowaza wewe.
Kutokuoa sio kuwa mwanaume ila kutokuoa sababu ya kuogopa wanamke sio sifa ya mwanaume
Bwanaeeee usioeee
Kuna mwanamke ana zaidi ya hivyo na hawazi unachowaza wewe.
Hiv unampigaje mtu hivi? Aisee
Ndio mana nikasema kama mtu kakuchosha muache. Kupiga sijui kuua haitabadili chochote sana sana ni kujiletea matatizo.Alitumwa akatomban* huko? Alitumwa awe na mdomo huko?
#YNWA
Wanawake wa sikuhizi wapo legelege sana unapigwa kidg tuu unaanza kupiga mapicha na kupost ili kuleta tension mtaani upate kiki na uuze gazeti
Zamani vipigo vilikuwepo lkn huwezi kuta tension mitaan
Hujawahi kuwa nao umewaona wapi. Sema tu unawaogopa kwahiyo unajistukia stukia ukiwaona. Unahisi mda wote wana midomo kumbe huna cha kuchangia😄Ila usisahau pia "WANA MIDOMO SANAA"
#YNWA
Utamuoa nani na guta sasa🤭😂Piga ua garaza
Hata iwe mtoto wa Billgate anataka ndoa nami SITAKIIIIIIIIIIIIII
SIOIIIIII
#YNWA
😂😂😂 JF ina vitukoUtamuoa nani na guta sasa🤭😂
Familia sio NdoaKweli kabisa mkuu familia ni kitu Cha mhimu Sana katika maisha ya binadam,mfano mm familia ilisafiri likizo hii ya krismas yaani maisha yalikua magumu sn linyumba unaona halina maana hata kurudi nyumban unaona uvivu,ukizeeka pia familia yako ndio ya kupambana mpaka mwisho ndugu wanaweza wasionekane ila hauwezi ukamtelekeza mzazi labda unatafuta laana.
kuna vingi tu vya kukupa furaha tofaut na hyo Ndoa labda uwe una matatzoWatu wa biashara wanaelewa hili:
Risk kubwa = return kubwa
LiRiski likuuuubwa = LiRetun likuuuuuuuuuuuuuuuuubwa
Sijakataa ndoa ni risk kubwa, unawekeza katika mtu mwenye utashi huru. Lakini huyo mtu akitumia uhuru wake kukupenda wewe ni mavuno makubwa mnoooo. Priceless.
Mikikimkiki utayopitia kuwekeza kwenye uhusiano wenye maana itakupa furaha na ikiwa utapata matunda utapata raha pia maradufu. Kwa hiyo we wekeza tu kuna furaha katika kufanya hivyo.
Acha tuuu🤣😂😂😂 JF ina vituko
aseeMimi mama Yangu alikua chuma ulete, mzee anapiga kazi usiku na mchana, home haonekani,kurudi kila ijumaa..pesa yote anampa bi mkubwa kwa shughuri za maendeleo, biashara, bi mama anakula bata tu,tunakaa nyumba ya kupanga kubwa..mpaka mzee anazeeka hakuna chochote walichofanya zaidi ya kujenga...tena wameahamia uzeeni..nikikumbuka migogoro, drama za bi mkubwa,sina hata hamu ya kuoa...
Napinga kupigwa hivyo ila ninacho maanisha hapa anatangaza mitandaoni ili iweje? Kama si kutafuta tension nakuuza gazeti.Wee ungepigwa hivyo ungechekelea? dada ako au mwanao angepigwa hivyo ungeandika uliyoandika?
Ni kama vile kuna watu wana account nyingi ili kupiga debe lao la kukataa ndoa au wengine mnajifanyisha tu humu online ila mnafamilia au mpango huo, haiingii akilini kuwa idadi kubwa na watu humu waikandie ndoa kiasi hiki. Na kama ni kweli idadi ya wahuni ni wengiNdoa ni utumwa, kataa ndoa
Mimi mama Yangu alikua chuma ulete, mzee anapiga kazi usiku na mchana, home haonekani,kurudi kila ijumaa..pesa yote anampa bi mkubwa kwa shughuri za maendeleo, biashara, bi mama anakula bata tu,tunakaa nyumba ya kupanga kubwa..mpaka mzee anazeeka hakuna chochote walichofanya zaidi ya kujenga...tena wameahamia uzeeni..nikikumbuka migogoro, drama za bi mkubwa,sina hata hamu ya kuoa...