Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

kuna vingi tu vya kukupa furaha tofaut na hyo Ndoa labda uwe una matatzo
Vya kukupa raha(pleasure) ya fasta ndio vingi, ila furaha(happiness) ya kudumu inategemea wengine pia.
Ni heri zaidi kutoa upendo kuliko kupokea penzi✊👊. Fact.
 
Regardless of age, this☝ is so mature.
 
Mzee ukiona watu wanaikataa ndoa usianze kusema sijui account nyingi, ndoa ilikuwa zamani tu lakini kwa life style ya sasa ndoa ni aina mpya ya utumwa, asilimia kama 80 ya ndoa za kisasa hazina furaha. Nasisitiza kataa ndoa ni utumwa
 
Mkikataa kuoa msitembee na mabinti za,watu na kuwapa mimba na kuwaacha huku wana expect ndoa...nyie ndo wa kwanza kuwaponda singo maza humu
 

Polee sanaa🥹🥲
 
Baba yako alikubalije kunyanyaswa na mke wake? Au Mzee alikuwa mtu wa Pwani akakutana na dada mtu kazi ?
 
Kiufupi mwanaume asie taka kuoa hana zana za kufanyia kazi inayompeleka kwenye hiyo ndoa anaogopa kuaibika. Ova[emoji1787]

59 seconds rule [emoji38]
Nimefanya research jf wanawake huwa mnachukia sana wengine kutukana kabisa hawa jamaa wakiletaga mada za kutoa huwa ni kwa nini ?

Ina maana mkuu wanawake hamuwezi ishi bila wanaume?

mbona mnatuaibisha mabinti zetu ujue tunawapeleka shule ili wanaume wasiwababaishe ikiwa ni miongoni mwa sababu mojawapo msiwe watumwa

Utakuta mwanamke anateswa bado anan'ga n'gania hiyo ndoa

Anyway I will put his fucking hands on wall any man dare to beat my daughter
 
Unadhani sisi tunawakomalia waoe mkuu? Walaaa. Tunapingana na sababu zao eti wanahofia wanawake wanaolewa kwa tamaa. Eti wakiachana watagawana mali. Sasa wewe kama baba wa binti niambie hiki
Kitu, je, unamlea mtoto wako aje kuwa tegemezi kwa mwanaume?

Basi the sad part of this ni kwamba baadhi ya wanaume humu jf wana dhana kwamba tunaolewa kwa sababu ya mali zao ambazo wazazi wetu walitusomesha tukazitafute at the same time hawataki wanawake wafanya kazi wanasema ni feminists. Kuna mkanganyiko humu Mkuu usione tunapopoana. Mambo ni mengi😅

Endelea kupekua thread utakutana na hii kauli, “ huyu ataolewa na nani hivi alivyo mjeuri” yaani they think we are desperate for marriage. Of which it’s not true.

Nyinyi kama wazazi/walezi na wakubwa pia waelekezeni vijana kwamba kuna wanawake watafutaji tena sana ndo maana kizazi cha marioo kimeongezeka miaka hii mwanaume anakunja nne mwanamke anatafuta kwa jasho. Ni hayo tu
 
[emoji23][emoji23]Raha ya ngoma uingie ucheze achana na masimuliz ya jf mm mwenyew wanavokataa ndoa jf nawashangaa wakat huku mtaani vijana wanatufata wanatak watupe nusra
Ndoa hazifai kwa sasa labda zaman
 
Mkuu unaona za kijinga kwa sababu umezeeka , kampeni ya kataa ndoa kuna watu apa wapo ndoani wanaona ni nzuri ya nn kufuga ng'ombe wakati unapata maziwa ? Kma ninaweza kuzaa na mke wa mtu kuna haja gan yakuoa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…