Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Na tatizo kubwa la wanaume wenye ndoa Ni kugongewa wake zao na akina sisi tusioa[emoji23]

Juzi Kati nchini Uganda Kuna jamaa alimfumania mkewe hospitilini akiliwa na dogo mwenye miaka 22.

Ndoa ni ubatili mkubwa Sana jamani.
matatzo meng hapo jamaa akienda vunja hyo ndoa mfaidika mkubwa atakua huyo mwanamke Ndoa n Utapeli mtupu
 
asee pole mzee
 
Pole mkuu.
 
Hii ipo sana mtaani na ukweli kama huu wanausemaga wachache
 
Nyakati hizi ukitaka kuishi na mwanamke kwenye ndoa ni lazima ujifanye zoba, ujitie upofu, ujitie kiziwi ndio unaweza kuishi na mwanamke wa nyakati hizi.....lakini ukiishi kama mume ndani ya nyumba hauwezi kudumu naye........

Ndoa ni jambo la msingi kwenye maisha lakini changamoto na varangati yanayotendeka kwenye ndoa yanawaacha vijana dilemma kuamua.......

Nimeshuhudia vijana wengi waliokuwa wamestawi kimaisha lakini wamekuja kuporomoshwa na wake zao..... wengine tumewazika kwa kushindwa kuhimili machungu......

Wapo wanaoishi kwenye ndoa ilimradi lakini kimsingi nafsi zao zimeshakufa na wanatembea kama wafu.........

Zamani nilikuwa nahamasisha vijana wengi Suala la kuoa lakini Siku hizi kijana akinifuata kuniomba ushauri namkwepa sana.....maana kwa namna moja au nyingine nimewaingiza vijana wengi kwenye matatizo nikiwahamasisha waoe.....

Hakuna kijana rijali asiyependa kuoa....,isipokuwa yanayoshuhudiwa mitaani kuhusu wanandoa yanatisha na kutia kinyaa kabisa.......
 
mambo mengi sana yanatokea humo ndani mzee ni mengi sana aloo ni mengiii yan man ni mengi
 
Ukiuliza wanawake 10 walioolewa una ushauri gani kwa msichana anaetaka kuolewa, 7 watakuambia ndoa hapana.. wanajua wanayokutana nayo huko
 
Pole sana broh ila sio zote za hvyo hyo ni zile chache mnoo
 
Very sad [emoji24][emoji174]. Kama n kweli
 
Duuh! baba alikuwa mlemavu au alikuwa Mpole sana? inakuwaje mwanaume anyanyaswe na mkewe kiasi hicho? alizidiwa kipato na mama? hebu dadavua ndugu. Mke wangu hana ubavu hata wa kunisonya!!
 
Pole kwa kuondokewa na baba.
Ila jamani unaanzaje kujinyonga kwaajili ya mke au mume? Kwani umezaliwa nae? Kwanini umng"ang'anie?
Unashindwa nini kuachana nae ubaki single ama upate mwingine?
Wanaojinyonga ni wabinafsi hawafikirii hata watoto wanaowaacha. Kiufupi hawawapendi watoto wao au wana magonjwa ya akili, am sorry to say this.

Ndoa nzuri zipo. Kama unaona yako haipo sawa achana nayo ubaki single au upate mpenzi mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…