Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Utoto raha sana[emoji28][emoji28]

Ila twende mbele turudi nyuma, kijana hutaki kuoa/kuolewa utofauti wako na shoga/lesbian ni upi, tena kuna baadhi ya mashoga/lesbians nawajua wameoa/kuolewa.

Mwanaume hatakiwi kuwa na visingizio, kukabiliana na changamoto ndo uanaume[emoji28][emoji28]

ukigongewa nawewe gonga, usipogonga jua utagongewa[emoji3516]

What else[emoji124]
 
Mbona sielewi ni vijana wanakula wake za watu au wazee wanakula mademu za watu. Bi.Tozo popote ulipo naomba utoe maagizo hili suala liende likaangaliwa.
 
Na tatizo kubwa la wanaume wenye ndoa Ni kugongewa wake zao na akina sisi tusioa[emoji23]

Juzi Kati nchini Uganda Kuna jamaa alimfumania mkewe hospitilini akiliwa na dogo mwenye miaka 22.

Ndoa ni ubatili mkubwa Sana jamani.
Nimecheka sana hiyo paragraph ya kwanza hadi nimemwaga bia yangu. Watu wananishangaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mbona Mna hasira na wanaume ambao wamechagua kutooa. Kwani wanakuwa wamepunguza nini duniani kwa kutooa.
Plus wanawake Sasa hivi wamesema they don't need a man so why mnawapigia kelele wanaume ambao wamejichagulia kukaa pembeni.
Je wameathiri Uchumi WA duniani
Je wameongeza joto duniani
Waacheni kwanza watasaidia Kupunguza ongezeko LA watu duniani. So resources zitabalance na watu waliopo
Feminist watainjoy zaidi maana they want to be single and do whatever they want.
And mtoa Mada who told you that mtu asiyetaka kuoa Ana sifa zote ulizotaja halo juu Hiyo research yako ulifanya kwa waseja wangapi? And iko lako limechapishwa wapi.
Plus mbona kama unawafoeka hivi..... Waache waishi watakavyo..... Kila mtu anachagua kile apendacho kama ambavyo mtu anachagua kwenda motoni au MBINGUNI
 
Sasa ilikuwaje ateswe na mkewe namna hiyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…