Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Kwa hiyo huna hata hawara mana unawaogopa wanawake wote unawaona kama nyoka. Huna hata mwanamke/hawara/ girlfriend?
 
Kwahiyo umekubali kumpikia?
 
Kiufupi mwanaume asie taka kuoa hana zana za kufanyia kazi inayompeleka kwenye hiyo ndoa anaogopa kuaibika. Ova[emoji1787]

59 seconds rule [emoji38]
Sio kweli. Mbona anakuwa na wanawake kadhaa na anawazalisha na kuwaridhisha na wengine wanakula wake za watu?

Sababu kubwa ni kuogopa majukumu na kuogopa kuchapiwa

Muhimu ni kuwaambia ukweli Wanaume kuwa unaweza kuoa na maisha yakawa marahisi na mepesi kuliko ukiishi peke yako

Hasa kwenye suala la gharama za kawaida za maisha.
 
Ndoa ni kama Gari ukilihitaji kwa wakati wako utanunua (pesa iwepo) ukilichoka waweza kuliuza, likichoka zaidi usishangae likikubwaga mtaroni ๐Ÿ™
Wasiooa wanatumia usafiri wa public au private (wamekodi)
Post hii haihusiani na magari
 
Upo sahihi vijana wengi wanao changia hii mada kama sio wajinga basi ni wapumbavu na walimbukeni wasio na ufahamu mpana wa mambo mbalimbali hapa duniani.
 
Una uelewa kiasi gani wa mambo mkuu ?
 
Ndoa zilikuwa zamani Bibi au Babu ndio wanaamua mchezo Ile familia apana ile familia Yes ila kwa sasa Familia nyingi zimearibika akuna maadili si watoto si baba ,Mama mtu anatamka kabisa asikusumbue mwanangu rudi nyumbani kama ndoa imekushinda wala hujauwa hizi kauli ndio zinazompa kiburi watoto.
 
Wewe ni wakike au wakiume ?
 
Unadhani vipaumbele vyako ndivyo vipaumbele vya watu wote duniani ?
 
Mkuu shida sio ndoa tatizo vijana tunaoa watu wasio sahihi ndio maana tunaona ndoa sio nzuri ila ukibahatika kuoa Binti aliyelelewa na wazazi wote wawili vizur utaenjoy shida tunaoa masterduu hapo ndiyo changamoto.Na mabinti waliolelewa upande mmoja ni changamoto labda ubahatishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ