Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

Status
Not open for further replies.

Mwanaume alowatoa bikra wanawake saba si wote watakuwa wanatamani awe wao wa milele ? Jitu kama hilo si linawadhulumu ninyi mnaozipenda ? Alafu kuna mabikra wa kutengenezwa sikuiz...Hatari sana....

Bikra mimi hainisaidi chochote, nikikukuta na bikra sikugusi, atleast me nakuwa considerate kidogo, nishapiga chin bikra kama 3 nawaachia ninyi ndugu zangu ila sasa wanaenda kukutana na mabaharia wengine uko..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Dalili ya kwanza ya mtu mwenye upeo mzuri wa kufikiri ni kuwa hataingiza imani na dini kwenye mazungumzo ambayo hakuna aliyetamka dini wala imani.

Ukiisha kufanya hivyo, umefika mwisho wa uwezo wako wa kufikiri na huna substantiated arguments to your opinion.

Is that the case with you?
 

Pole kwa kupoteza bikra tuachie sisi tuondelee kuzitafuta, kuna tofauti kubwa sana ya brand new na used


Sent using IPhone X
 
Bikra ni kiashiria cha ujitunzaji wa mwanamke na kuuthamini mwili wake. Kwa kweli ni heshima sana iki kitu.
Bikra kwa mtu mzima ni kiashiria cha

1. Repulsive ideas about sex. Mtu huyu anaichukulia sex negatively
2. Non curious & explorative mind. Mtu huyu hana nature ya kutamani kujua na kujaribu vitu to a reasonable extent
3. Too religious. Mambo ya kiimani yametawala kichwa chake kuliko mambo ya kidunia.
4. Social issues? Reject? Ila hii ni just a few rare cases
5. Non exposure? Wengine wana bikra kwa bahati mbaya. Wamefungiwa maisha yao yote. Rare.

Hizo zote ni qualities ambazo hazifai kwa mwanamke wa ndoa, kwa mwanaume mwenye akili.
 
Safi sana Mzeebaba na uhakika wanakuelewa vizuri👊. Ukisoma comments za wachangiaji unagundua waoga wamepanic
 
bikra ina thaminiwa mkuu kulingana na jamii yetu. ila ile imani ya wanaume kuwa ukioa bikra ndy hautasalitiwa ndiyo huwa wrong. tatizo halipo kwa wenye bikra, tatizo lipo kwenu nyinyi wanaume waoga.
 
Hakuna kitu kigumu kama kubishana na ukweli na ukweli ni kwamba bikra ina thamani yake bwana na hakuna mwanaume yeyote duniani angependa kuoa mwanamke used aliepitia migegedo mingi na hakuna mwanamke yeyote anaependa bikra yake itolewe na mwanaume ambae hatamuoa mengine yote mnafarijiana tu ila ukweli utabaki kuwa huo.
 
Kweli..wengi wanajihami kwa kutetea bikra kwa sababu wanaogopa kusalitiwa.
Ni waoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ivyo mkuu, tatizo lipo kwa wanaume, hawajiamini, wanaogopa kusalitiwa. eti nikimuanza mimi ndiyo atakuwa wangu tu, amekwambia nani hiyo Sera? ww omba tu upate mtu anayejitambua bs ata km akiwa ni bikra. tena ni bora ukampt Yule ambaye ameshazijua starehe ivyo atatulia kwenye ndoa kuliko huyo bikra anayeanza kujua mapenz kwnye ndoa, kesho na kesho kutwa kampt derevs boda nida anamfikisha kunako, na ww unamparaza paraza tu, haki ya nani, utaomba dunia isimame ushuke kwa jins utakavyodharauliwa. Hawa wanaume hawa hawaelewi.
 
Bikra ingethaminiwa usingezaliwa wewe.

Mama yako angeitunza bikra yake mpaka kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio ukweli mkuu
 
Sidhani kama umeielewa point yangu maana naona umetoka kabisa nje ya mada embu jaribu kusoma tena kwa umakini ndio ujibu
Naelewa umeongea katika muktadha wa bikra kabla ya ndoa.

Na mimi nakueleza, kama bikra ingekuwa na thamani hivyo, isingevunjwa hata kwa ndoa.

Watu wangeitunza maisha yote mpaka wanakufa.

Kizazi chote kingetoweka.

Kwa kuipa thamani bikra.

Ukishakubali bikra itolewe baada ya ndoa, umeishaishusha thamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…