Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

Status
Not open for further replies.
We waache tu hawa, hawajui wakisemacho. Wanatetea kitu kwasbb ni waoga, eti wanaogopa kusalitiwa. Hawana sbb ya maana.
 
bado thamani ya bikira IPO palepale tofauti na hawa manungunyembe
Sawa ipo lkn wengi wa wanaume wa umu wanachong'ang'ania wao kuwa eti ukioa bikra hutasalitiwa, ss hiyo tafiti wameitoa wapi kuwa ukioa bikra hautasalitiwa?. Hii inamaanisha ni waoga, hawajiamini kuoa mtu asiye bikra.
 
Hapana kiranga point yangu ilikuwa ni kwamba mwanamke aliyeolewa akiwa na bikra anakuwa na thamani zaidii,, sijamaanisha eti bikra zitunzwe mpaka kufa hapana bali mwanaume wengi tunajisikia fahari kukuta mwanamke amejitunza mpaka ndoa hiyo ni nature mkuu Yani ndio ipo hivo ndio maana watu wengi wanatumia nguvu nyingi kuupindisha ukweli huu akiwemo mtoa mada
 
Tena ndo hao hao, wanazitoa alafu wanakimbia
 
Hiyo ndiyo inayoharibu bikra za watu na kuwaacha. Alafu wanakuja kusema kuwa wanathamini bikra.
 
Kwani wapi nimesema umemaanisha bikra zitunzwe mpaka kufa?

Hayo ni mawazo yako yanayotokana na malezi yako katika utamaduni wako finyu.

Utamaduni unaomuweka mwanamke chini ya mwanamme.

Kama bikra ni muhimu, kwa nini iwe muhimu kwa mwanamke tu?

Kwa nini hujaongelea bikra ya mwanamme?

Ukweli ni kwamba, hakuna universal values katika mambo haya.

Kuna wengine wanasema hawaoi mpaka wajue mwanamke yukoje kitandani, ili waepuke kuoa mtu wasiyeendana naye.

Sasa watu kama hao nao wataoa bikra?

Kuna wengine wanasema bikra hafai, kwa sababu hajui mambo. Wanataka anayejua mambo.

Sasa hao nao wataoa bikra?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahaha true
 
Hiyo ndiyo inayoharibu bikra za watu na kuwaacha. Alafu wanakuja kusema kuwa wanathmn bikra.

Wenyewe wanawafanyia watoto wa watu majaribio then wanakuja kutafuta bikra na kuziweka thaman daaah ? kwan mtu akiwa hana bikra hana thaman ? hawez kuwa mke bora? Tukileta hapa success stories utashangaa wengi walio happy kwenye ndoa wala hawakuwa na bikra wakati wanaolewa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ahahaha apo ss
 
bikra ina thaminiwa mkuu kulingana na jamii yetu. ila ile imani ya wanaume kuwa ukioa bikra ndy hautasalitiwa ndiyo huwa wrong. tatizo halipo kwa wenye bikra, tatizo lipo kwenu nyinyi wanaume waoga.
Mkuu umeniquote lakini sijaelewa kwanini.

Yaani uliyoyazungumza hayashahibiani na nilichokisema.
 
Wanaume wengi tunapenda wake wenye experience na sio hao wa zero experience ila bikra inaheshima yake kubwa Sana but I prefer mwenye experience rather than mwenye bikra in case nikakutana nayo ni kuitoa tu na kumtupa pembeni narudi kwa mwenye experience

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia (ukisoma zile sheria alipewa Musa awape Israel) kwenye eneo la ndoa anasema kabisa ukioa binti ukakuta sio bikra una ruksa kumrudisha kwa wazazi wake na wewe urudishiwe mahari yako!
 
Hapa ndipo ninapomuheshimu sana Mungu na kuona umuhimu wa kumtii na kuishi amri na sheria zake kila wakati.

Alisema tu "USIZINI" akamaliza hakuongeza zaidi. kuhusu matokeo ya uzinzi tutajua sisi wenyewe.

kama binadamu tungetii hii amri ya Mungu kuwa "USIZINI" kwa hakika mijadala kama hii isingekuwepo kabisa duniani.

Mijadala kami hii ni matokeo ya uzinzi na kutomtii Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…